zaidi

LULU ZA KALE - PICHA MUHIMU

Uhuru Muigai Kenyatta

Uhuru na Muhoho 1976

Kibaki akiwa mwanafunzi

Kenyatta na Mboya

Rais wa kwanza wa Kenya Mzee Jomo Kenyatta.

Moran wa jamii ya Wamaasai wakitumbuiza

Makala Maalum

Siku ya kusherehekea Kiswahili yavutia mshairi mashuhuri

Mwalimu Wallah amemwalika mshairi maarufu kutoka Tanzania, Mrisho Mpoto anayetazamiwa kuwazuzua

soma zaidi..

Faida za kuoa na kuolewa kwa mwanadamu

-- 9/10/2015 -- HAWA ALI

Uteuzi wa mwenza katika ndoa ni jambo muhimu sana ambalo linatakiwa lizingatiwe au sivyo tutaingia katika balaa kubwa katika maisha yetu ya hapa duniani.

soma zaidi..

Ubakaji ni chukizo kwa Allah

-- 9/10/2015 -- ALI HASSAN

Imedhihirika wazi kuwa visa vya ubakaji vinazidi kuongezeka nchini siku hadi siku, kikubwa zaidi ni kuwa visa hivyo vya ubakaji vinahusisha wanetu, mabinti zetu, mama zetu, shangazi wakibakwa na

soma zaidi..

‘Ndovu alivyomla mwanawe’ shoo ya Morgan Heritage

-- 9/10/2015 -- WANDERI KAMAU

Kilichodhihirika katika shoo babukubwa ya kundi maarufu la Reggae kutoka Jamaica la Morgan Heritage ni kuwa wapenzi wa muziki huo si wenye mafarakano, kama wengi wanavyowachukulia.

soma zaidi..

Utahini wa karatasi ya kwanza, Insha-102/1

-- 7/10/2015 -- ONSARIGO VICTOR

Vipengele muhimu vya kuzingatia mtahiniwa anapoandika insha ni pamoja na urefu, muundo, njeu au wakati, nafsi, maadili, sarufi na hijai.

soma zaidi..

Tabia mbovu za vijana zimechangiwa na wazazi

-- 7/10/2015 -- WANDERI KAMAU

Kudorora kwa maadili miongoni mwa wanafunzi hasa wakati wa likizo kumeibua maswali kuhusu ni nani hasa anayepaswa kulaumiwa.

soma zaidi..

Kujichua hukufanya mateka

-- 7/10/2015 -- BENSON MATHEKA

Baadhi ya watu, wanaume kwa wanawake, wametekwa na tabia ya kujichua sehemu za siri ili kufika kileleni badala ya kutafuta wapenzi wa kuzima ashiki zinapowapanda.

soma zaidi..

50% wanaacha shule, Benki ya Dunia yabaini

-- 7/10/2015 -- OUMA WANZALA

Benki ya Dunia imeitaka Serikali ya Kenya kushughulikia idadi kubwa ya wanafunzi wanaowacha shule kati ya darasa la sita na kidato cha nne.

soma zaidi..

Kwa miaka 15 amesimama kidete kama mtetezi wa haki

-- 7/10/2015 -- LEONARD ONYANGO

Seneta Emma Getrude Mbura anafahamika zaidi kutokana na harakati zake za kupigania maslahi ya Wakenya wanaofanya kazi za nyumbani nchini Saudi Arabia na mataifa ya Mashariki ya Kati.

soma zaidi..

Mke wa zamani wa Susumila amtaka awajibike

-- 6/10/2015 -- THOMAS MATIKO

Ruth Jimmy, mke wa zamani wa msanii mkali kutoka Mombasa Susumila, sasa amemshtumu mwanamuziki huyo kwa kuanza kuwatelekeza wanawe wawili baada ya ndoa yao kuingia mdudu.

soma zaidi..

Tuzo za Bingwa zinavyoupa mziki wa Kenya hadhi

-- 6/10/2015 -- PAULINE ONGAJI

Tuzo za Bingwa Awards zilianzishwa kwa minajili ya kuokoa muziki wa Kenya ambao kulingana naye ulikuwa unazidi kumezwa na nyimbo za kigeni na hasa kutoka Nigeria.

soma zaidi..

Masaibu ya kuendesha serikali ya ‘nusu mkate’

-- 4/10/2015 -- CHARLES WASONGA na LEONARD ONYANGO

Kuahirisha tangazo kuhusu mabadiliko kwenye baraza la mawaziri ni dhihirisho tosha kuwa ni serikali ya muungano, maarufu kama “nusu mkate,” wadadisi wanasema.

soma zaidi..

Sababu zinazofanya uwanja wa siasa telezi kwa Raila

-- 4/10/2015 -- BENSON MATHEKA

Wadadisi wa siasa za Kenya wasema Raila Odinga hujikwaa mwenyewe kila mara licha ya umaarufu na mchango wake katika kuleta mageuzi nchini.

soma zaidi..

Tangazo la Wetang’ula la ‘Raila Tosha 2017’ laibua mgawanyiko

-- 4/10/2015 -- WYCLIFFE MUIA

Seneta wa Bungoma Moses Wetangula anaamini matamshi yake kuwa ataongoza jamii ya Waluhya kumpigia kura kinara wa ODM Raila Odinga katika uchaguzi mkuu wa 2017, au hotuba yake ilichochewa na hadhira

soma zaidi..

Utabiri wa Hardwick wa watu weusi kutawala Hollywood watimia

-- 2/10/2015 -- PAULINE ONGAJI

Gary Hardwick, Produsa Mwamerika anayefahamika kwa uandishi wa filamu, Deliver Us from Eva na The Brothers, mbali na vipindi vya televisheni kama vile In the House, aliashiria kuwa waigizaji kutoka

soma zaidi..

Nini baada ya Hija?

-- 2/10/2015 -- ALI HASSAN

Inasikitisha kuziona nchi za Kiislamu zikilumbana kufuatia mauaji yaliyotokea majuzi kwenye ibada ya hija, badala ya kusherehekea ufanisi wa ibada hii, nguzo kuu kwenye dini.

soma zaidi..

Ujana moshi kiini cha Waithaka kuutumia vizuri

-- 28/9/2015 -- PAULINE ONGAJI

Katika umri wa miaka 25 pekee tayari Isaac Waithaka anamiliki kampuni ya shughuli za kitalii ya Homeview Adventures ambapo kufikia sasa tayari ana wafanyakazi tisa, magari manne na wateja sio tu

soma zaidi..

Ushirikina katika siasa Tanzania wawatishia zeruzeru

-- 28/9/2015 -- DERICK LUVEGA

Kabla ya Septemba 10, Bw Enock Jamenya, 56, ambaye ni zeruzeru, alikuwa buheri wa afya ila kwa sasa jamaa wake wanaomboleza kifo chake baada ya kuvamiwa na watu waliotaka sehemu zake za mwili

soma zaidi..

Mwanamuziki Freddy Macha kunogesha tafrija jijini London

-- 27/9/2015 -- FREDDY MACHA

Mwanamuziki mkazi London, Freddy Macha, anatazamiwa kutumbuiza kwa ngoma na muziki wa gitaa, kwenye tafrija ndogo ya kutangaza na kuuza picha za watoto wa Kitanzania kwa kusudio la kuwasaidia

soma zaidi..

Msanii mdogo kiumri mwenye mawaidha na nasaha tele

-- 26/9/2015 -- PATRICK KILAVUKA

Ingawa dhahabu huchimbwa, talanta huchipuka na inapokuzwa, inakuwa yenye msaada kwa wengi, kwa mujibu wa msanii mdogo Stacy Waithera.

soma zaidi..

Kis Da OB aeneza Injili kwa mtindo wa Reggae

-- 26/9/2015 -- BERNADINE MUTANU

Ingawa Augustine Muinde Kioko anakanusha kujiegemeza kwa mtindo maalum wa uimbaji, ni rahisi kugundua nyimbo zake nyingi zinachukua mtindo wa Reggae ya Injili. 

soma zaidi..

Msanii Lazy Rapper ni mkakamavu aliyeupa uzembe kisogo

-- 25/9/2015 -- PAULINE ONGAJI

Ian Aswani wengi watamwita Lazy Rapper si eti ni mzembe – ni utaratibu wake wakati akifoka jukwaani.

soma zaidi..

Penzi la dhati au hadaa?

-- 23/9/2015 -- BENSON MATHEKA

Ulimwenguni kote hakuna mwanamke anayependa kuolewa na kisha kutemwa baada ya muda inavyofanyika siku hizi.

soma zaidi..

Aliambukizwa ‘virusi’ vya Uanahabari miaka ya 70 na hadi sasa athari zingalipo

-- 23/9/2015 -- CHARLES WASONGA

Dorothy Kweyu ambaye amekuwa mwandishi na mhariri mtajika wa magazeti ya Daily Nation na Sunday Nation tangu Machi 31, 1979.

soma zaidi..

HISTORIA NA UTAMADUNI

History and Origin of Swahili

Swahili is a Bantu language with a lot of

soma zaidi

Merille ni kama hawako tena

Sehemu ambayo Merille wanaishi ni kando kando

soma zaidi

Mila na tamaduni za Wapokomo

Wapokomo hupatikana wilayani Tana River mkoani

soma zaidi

Hofu na mashaka za Waturkana

Waturkana hatimaye walitengana na ndugu zao

soma zaidi

Kabila kubwa la Abaluhya

Asili ya Wamaragoli ni Uganda. Katika Kenya

soma zaidi

Waelmolo waongezeka polepole licha ya uvumi

Waelmolo wanatoka Ziwa Turkana na ni kabila

soma zaidi

Tofauti kati ya Marama na Abawanga

Wabawanga sawa na Wabantu wengine walitoka

soma zaidi

Huduma za Kutafsiri


Original Text
Source Language Target Language :

BURUDANI