Ouma Oluga

TAHARIRI

Mvutano wa serikali na madaktari haufai

 Raila Odinga, ODM, CORD

TAHARIRI

Ni mwaka muhimu, tuweke utaifa mbele

KCSE 2016

TAHARIRI

Hongera Matiang’i lakini tunahuzunika kwa 'E’ 33,000

Lori la maafisa wa polisi

TAHARIRI

Polisi hawakustahili kupelekwa bungeni

Fred Outa

TAHARIRI

Seneti idhamirie kumaliza mgogoro

Soma zaidi

MASHAIRI

BORA NIKUPE TALAKA

Mwalimu Julius Nyerere

MASHAIRI

NAMKUMBUKA MWALIMU

MASHAIRI

UTENZI KWA WASIOJIWEZA

miraa

MASHAIRI

MIRAA KWA WANAWAKE, PUMWANI

Sherehe za Eid al-Adha

MASHAIRI

MOLA WAENDE SALAMA WAENDAO MAKA

Soma zaidi

Kwenye Gazeti

Hasira za wanafunzi

soma gazeti

Gazeti la Mwananchi

soma gazeti

Newsletter!

soma gazeti
zaidi

LULU ZA KALE - VIDEO MUHIMU

zaidi

LULU ZA KALE - PICHA MUHIMU

Uhuru Muigai Kenyatta

Uhuru na Muhoho 1976

Kibaki akiwa mwanafunzi

Kenyatta na Mboya

Rais wa kwanza wa Kenya Mzee Jomo Kenyatta.

Moran wa jamii ya Wamaasai wakitumbuiza

Jifunze Kiswahili

Ni madawa ya kulevya au dawa za kulevya?

Taasisi na watu wenye nyadhifa mbalimbali katika jamii wana athari kwa wengine wanapotumia lugha.

soma zaidi..

Dhana ya Vishazi Tegemezi na Vishazi vya Masharti katika sentensi za Kiswahili

-- Thu Feb 23 14:22:30 EAT 2017 -- CHRIS ADUNGO

SENTENSI sharti ya Kiswahili ni aina ya sentensi inayojumuisha vishazi viwili au zaidi vinavyowasilisha hali za mambo hivi kwamba kutokea kwa hali ya jambo moja kunaweka sharti dhidi ya kutokea

soma zaidi..

Uhakiki wa Fasihi una misingi yake katika mwingiliano wa Fani na Maudhui

-- Thu Feb 23 14:10:15 EAT 2017 -- CHRIS ADUNGO

TUKICHUNGUZA hazina ya uhakiki uliofanywa katika taaluma ya fasihi ya Kiswahili na kuiweka katika mizani, upande mmoja ubebe tahakiki zilizozingatia maudhui na mwingine zile zilizoangaza fani,

soma zaidi..

Nafasi ya mazingira katika mabadiliko ya lugha kihistoria

-- Thu Feb 23 14:19:03 EAT 2017 -- CHRIS ADUNGO

MWANADAMU daima hujikuta katika mazingira mbalimbali. Kwa kuyachunguza mazingira hayo, mwanadamu hupata fikira na dhana mbalimbali kuhusu vitu vilivyomo katika mazingira hayo.

soma zaidi..

Utata na uchangamano katika kusafili dhana 'Lahaja za Kiswahili'

-- Thu Feb 23 14:15:14 EAT 2017 -- CHRIS ADUNGO

DHANA ya lahaja ni changamano kwa kuwa hutokana na jinsi mtu anayefasili dhana yenyewe anavyotumia ama kigezo cha isimujamii au cha kiisimu katika ufafanuzi wake.

soma zaidi..

Kiswahili na Mzee Maina

Uendelezaji wa Kiswahili katika enzi za dijitali

KUNA haja ya kushirikisha vyombo mwafaka na wadau mbalimbali wa lugha, ikiwa ni pamoja na wasomi

soma zaidi..

Kanuni za upole ni kinga dhidi ya msuguano usiostahili katika matamshi

-- Thu Feb 23 13:43:06 EAT 2017 -- CHRIS ADUNGO

MISINGI ya kufafanua utegemeano baina ya jamii na kanuni za adabu ya lugha kiisimu ni dhana pana sana kuelezeka. Uwezo na stadi za kutumia na kufasiri elementi za lugha ya adabu ndizo kanuni

soma zaidi..

Kiswahili kina uwezo wa kukidhi mahitaji ya kitaaluma na kimawasiliano ndani na nje ya Kenya

-- Thu Feb 23 13:53:17 EAT 2017 -- CHRIS ADUNGO

PAMOJA na baadhi ya watu kuibeza lugha ya Kiswahili, harakati za wadau kuikuza lugha hiyo kitaifa na kimataifa zimepamba moto.

soma zaidi..

Nafasi ya taaluma za Ukalimani na Tafsiri katika kusambaza tamaduni za jamii

-- Thu Feb 23 13:38:39 EAT 2017 -- CHRIS ADUNGO

DUNIA inabadilika kila uchao huku maendeleo ya sayansi na teknolojia yakishuhudiwa kila kukicha. Ingawa mambo haya yote huwaweka watu pamoja kutoka kila kona ya dunia, wote hawazungumzi lugha moja

soma zaidi..

Vipengele vya Isimujamii vinavyochangia katika urasmi wa lugha

-- Thu Feb 23 13:34:10 EAT 2017 -- CHRIS ADUNGO

KATIKA kuchunguza lugha, wanaisimu hutumia misingi ya kisayansi kama zifanyavyo sayansi nyingine. Maswala katika isimu huelezwa kwa udhahiri usio na utata wowote. Hoja huelezwa bila kuleta vuguvugu

soma zaidi..

Nafasi ya sajili katika kuchunguza jinsi lugha inavyotumika katika jamii

-- Thu Feb 23 13:30:09 EAT 2017 -- CHRIS ADUNGO

SAJILI ni aina ya lugha katika lugha moja kwa kutegemea kazi mbalimbali. Kila taaluma au uwanja wa kikazi hudhihirisha tofauti za kipekee katika matumizi ya lugha.

soma zaidi..

Makala Maalum

Densi imefikisha Street Family mbali

Kwa miaka mitano sasa wanachama wa kikundi cha Street Family wamekuwa wakitumia kipaji chao kama

soma zaidi..

Mr Seed aeleza Bahati alivyokuja kumfaa kimuziki

-- Thu Feb 23 17:49:51 EAT 2017 -- PAULINE ONGAJI

Mr Seed ni mmojawapo wa wanamuziki wa injili wa kizazi cha sasa wenye ushawishi na ambao wamekuwa wakikosolewa kwa mtindo wao wa maisha na muziki ambao kulingana na wakosoaji hauakisi mafunzo ya

soma zaidi..

Bahati hatua moja mbili tatu hadi alipo

-- Thu Feb 23 17:50:46 EAT 2017 -- PAULINE ONGAJI

Tangu mwaka wa 2012, Kevin Mbuvi al-maarufu Bahati amekuwa akiinuka kimuziki hatua baada ya hatua licha ya kukumbwa na ukosoaji sio tu kutoka kwa wanamuziki wenzake bali pia mashabiki.

soma zaidi..

Mwanafunzi anayelenga kuwa mwinjilisti hodari

-- Thu Feb 23 15:03:01 EAT 2017 -- PATRICK KILAVUKA

Onesmus Willy,16, ni mwimbaji wa nyimbo za injili, mwanafunzi wa darasa la nane shule ya msingi ya Bohra na kiongozi wa kikundi cha nyimbo za kusifu na kuabudu kanisa la Light House Chapel, Kianda.

soma zaidi..

Mashairi

Mwanamume si ndevu

Moja ni uvumilivu na kutokata tamaa, Ili mbele kula mbivu, na kuacha kuzubaa, Kujilinda na

soma zaidi..

Dunia tambara bovu

-- Tue Nov 29 13:04:53 EAT 2016 -- Ibrahimu G. Mzava

Mi tuli nimetulia dunia, Mambo yanayotokea, katika hii dunia, Ni wazi yanatishia, kuta watu wanalia, Dunia tambara bovu, limeoza linanuka.

soma zaidi..

Riziki ni majaliwa, kuipata si ngekewa

-- Tue Nov 29 12:46:59 EAT 2016 -- Dotto Rangimoto Chamchua

Hakumuumba kilema, akamkosesha mwendo, Huyo ni Mola Karima, mfalme wa vishindo,

soma zaidi..

Namkumbuka Mwalimu

-- Mon Oct 24 14:42:39 EAT 2016 -- Ignas Joachimu Komba

Leo siku imetimu kumkumbuka Mwalimu, Naifahamisha kaumu hili tukio muhimu,

soma zaidi..

Mtu ananitukana

-- Sun Nov 06 12:47:11 EAT 2016 -- Stephen Dik

Naapa mbele ya umma, kuwa mwalimu wa hadhi, Nina vyeti chungu zima, na vyeo vya usitadhi,

soma zaidi..

MWENYEKITI  MAGUFULI

-- Thu Jul 28 15:00:33 EAT 2016 -- Abdallah Bin Eifan

Ninatunga kumi beti, shairi kwa Kiswahili, Nawasalimu umati, kawajalia Jalali,

soma zaidi..

VIWANDA: Nguvukazi ya vijana

-- Thu Jul 28 15:05:04 EAT 2016 -- Khamisi Mari (Better King)

Twakumbusha viwanda, vimekosa muamala, Wamevurundavurunda, mliyowapa dhamana,

soma zaidi..

Mke mzuri tabia

-- Thu Jul 28 15:09:48 EAT 2016 -- Kimani Eric Kamau

Mabibi ni mama zetu, si vyema kuwaingilia, Wengine ni dada zetu, hatarini wajitia,

soma zaidi..

 Furaha ya Ndoa Watoto

-- Thu Jul 28 15:54:01 EAT 2016 -- Yahya O Barshid (YOB)

YOB nasema, ya ndoa huwa watoto, Oa mke hata kama, kwa mapenzi motomoto,

soma zaidi..

HISTORIA NA UTAMADUNI

History and Origin of Swahili

Swahili is a Bantu language with a lot of

soma zaidi

Wajue Wasekuye

Wasakuye hukaribiana sana na makabila ya

soma zaidi

Tofauti kati ya Marama na Abawanga

Wabawanga sawa na Wabantu wengine walitoka

soma zaidi

Waelmolo waongezeka polepole licha ya uvumi

Waelmolo wanatoka Ziwa Turkana na ni kabila

soma zaidi

Wakasaurien wanaamini wako katika ‘Kenya mpya’

Wakasaurien ni watu warefu, wazito, weusi na

soma zaidi

Kabila kubwa la Abaluhya

Asili ya Wamaragoli ni Uganda. Katika Kenya

soma zaidi

Hofu na mashaka za Waturkana

Waturkana hatimaye walitengana na ndugu zao

soma zaidi

Wagarri - Wasichana wao huposwa kwa majani chai

Wagarri ana desturi tofauti sana na makabila

soma zaidi

Historia ya Wapokot

Kulingana na historia, Wapokot waliwasili humu

soma zaidi

Wasagwe ni kama wametoweka!

Wasagwe ni watu waliopenda kufuga wanyama sana

soma zaidi

Waterik ‘wamemezwa’ na Wakalenjin

Waterik wanaopatikana viungani vya mji wa

soma zaidi

Watiriki wanaishi Mkoa wa Magharibi

Tumepata fursa mwanana ya kugusia machache

soma zaidi

Wasuba kutoka visiwa vya Rusinga na Mfang’ano

Wasuba sio tu wanapatikana katika visiwa vya

soma zaidi

Mila na tamaduni za Wadorobo

Ogiek ama Wadorobo hupenda kukaa pamoja huku

soma zaidi

Merille ni kama hawako tena

Sehemu ambayo Merille wanaishi ni kando kando

soma zaidi

Mila na tamaduni za Wapokomo

Wapokomo hupatikana wilayani Tana River mkoani

soma zaidi

Huduma za Kutafsiri


Original Text
Source Language Target Language :

BURUDANI