Yaliyokubalika juzi, yalikanwa jana, yaliyokanwa jana, yanakubalika leo. Rais Obama alipokubali ndoa za watu wa jinsia moja alifahamu kwamba jamii ya Amerika ina raia wa kila nui. Tunaomkashifu soma zaidi...
Suala la kutaja saa kwa Kiswahili limekuwa tata kwani hakujaafikiwa njia moja Kenya na Tanzania. Hatufai kuona ugumu wa kuketi na kuafikiana kuhusu suala hili la saa na kuliingiza upya katika soma zaidi...
Ingawa ni muhimu kuwapa nafasi wachezaji wanaosakata soka humu nchini, itakuwa muhimu iwapo wachezaji nyota, kama kina George 'Blackberry’ Odhiambo, wasisahaulike kwa kuachwa nje ya timu ya taifa soma zaidi...
Tunatarajia kwamba wapenzi na wakereketwa wa Kiswahili watajifungata masombo kuunga mkono vyombo hivi viwili – wavuti wa SWAHILI HUB na Chaukidu ili kuviwezesha kuendeleza Kiswahili. soma zaidi...
Jumapili, hotuba yake ilijaa cheche za moto zikielekezwa kwa rafiki yake wa zamani Waziri Mkuu Raila Odinga. Alimtaka astaafu pamoja na Rais Kibaki. Anasahau pia amekuwa nguzo kuu katika ODM. soma zaidi...
Misongamano ya magari jijini Nairobi ni kizuizi na laana kuu kwa utimizaji wa malengo ya mwaka 2030. Iwapo raia watatumia masaa manne kusafiri maili 6 kufika kazini, basi tusjihadae kwamba soma zaidi...
Tutagurumisha vifaru hadi Kismayu kukabili Al-Shabaab lakini iwapo makundi haya haramu yanapunga hewa katika jiji kuu, tutakuwa tunajihadaa. soma zaidi...
Huenda kuna mkono wa Uhuru Kenyatta na Rais Mwai Kibaki hata ingawa si kwa njia ya moja kwa moja katika kuchochea hatua ya Musalia Mudavadi kukigura chama cha ODM. soma zaidi...
Msimamo wa ‘Pwani si Kenya’ unaangamiza kabisa uwezo wa wengi walio kando kuunga mkono juhudi za kusaka haki kwenye nyanja tofauti za maisha ya wapwani, Kujitenga ni balaa hasa kwa MRC, pwani soma zaidi...
Ni bayana kwamba siasa za Kenya zimejikita katika misingi ya ukabila. Hili huenda likawakosesha Wakenya kiongozi anayewafaa Rais Kibaki atakapostaafu baada ya uchaguzi mkuu ujao. soma zaidi...
Ukatili wa kuzima upinzani kwa kutumia polisi kama ilivyofanyika katika mkutano wa Limuru 2B ulishuhudiwa mno nyakati za utawala wa kiimla wa Daniel Moi hasa dhidi ya wanaharakati wa kupigania soma zaidi...
Twisheni au masomo ya ziada hufanyika huku maafisa wa elimu na wakaguzi wakiyafumbia macho. Ingefaa walimu watakaobainika kufanya twisheni kwa lengo la biashara wachukuliwe hatua kali za kisheria. soma zaidi...
Ikiwa kuna uhuru wa kufika kwenye kidimwi, kisha upate fununu kwamba mtu anapanga kwenda haja katika kidimbwi hicho, utasubiri afanye hivyo au utamnyima ruhusa? Kumbuka, jukumu la polisi pia ni soma zaidi...
Musalia Mudavadi, tayari alikuwa amedumisha uaminifu kwa chama. Suala la uteuzi kuwa mgombeaji wa urais lilipozuka lilileta mkwaruzano lakini sio kwa uzito wa kumfanya ajiondoe kwani aliahidiwa soma zaidi...
Ili kujikomboa na kuanza kuboresha maisha ya wengi, jumuia ya Afrika Mashariki sharti tutoke kwa ndoto na kuwa macho. Huku tukipambana dhidi ya jinamizi, tuamke kutoka usingizi wa ndoto nzuri ili soma zaidi...
Wazungu ndio wenye upungufu mkubwa wa utaalamu, waliofurika mapendeleo, utepetevu na hata ubaguzi kwenye uendeshaji wa kazi yao viwanjani. Taja Uingereza, usisahau Uhispania, na Italia kote soma zaidi...
Kenya ina uhaba mkubwa wa watu wanaoweza kurithi Rais Mwai Kibaki. Vijana tuiowatarajia kufuta mipaka ya donda sugu la ukabila – hususan akina Uhuru Kenyatta, Wiliam Ruto tayari wamekwisha jibanza soma zaidi...
Vita vikizuka tena Sudan, mataifa yote ya eneo zima yataathiriwa vikali kutoka na zigo la wakimbizi na ukosefu wa usalama, Hata kiongozi wa waasi wa LRA Joseph Kony atapata maficho tena. soma zaidi...
Badala awali ambapo wahudumu wangeguswa na utu na kelele za wateja na kuteremsha bei, sasa kila mhudumu hujihisi ametenda haki kwa “Serikali imesema bei iwe juu.” Maana ya tume kama hii ni nini soma zaidi...
Kunao wenye thakili, za daima waishipo, Kuwapo hapo ulipo, satuwa ndake Jalali! soma zaidi...
Japo baadhi ya wakufunzi wazawa wa humu nchini wamekuwa wakifana, haipingiki kuwa kwa jumla makocha wa kigeni, yaani watokao ng’ambo hasa, wamekuwa wakifanikisha timu kuwazidi. soma zaidi...
Profesa Said Ahmed Mohammed ambaye toka 1997 amekuwa mhadhiri wa fasihi ya Kiafrika chuo cha Bayreuth, Ujerumani ameandika vitabu vingi vya Kiswahili. Anasaidia pia kujenga fasihi si tu Afrika soma zaidi...
Bw Uhuru Kenyatta amekimbilia muungano wa makabila ya Gikuyu, Embu, Meru Association (GEMA) hatua ambayo imeharibu sio tu taswira yake ya utaifa bali pia inahujumu mshikamano wa Wakenya wote na soma zaidi...
Tukiendelea kutenga baadhi ya viongozi tutaendelea kugawanya nchi na mwishowe tutaangamia kama wafanyavyo panya wanaotoboa mashimo kwenye mashua ikiwa baharini. Mashua itazama na hata wakiruka wa soma zaidi...
Tazama viongozi wa dini wakijibanza kwa wanasiasa bila kulaani uovu wa siasa zao, kuwafanyia sala washukiwa wa Ghasia za 2007 kana kwamba sala za maskini waathiriwa si kwa Mungu huyo huyo. soma zaidi...
Ili kudhibiti ubora wa elimu inayotolewa katika vyuo hivi kuna haja ya serikali kuangalia uwezekano wa kuwa na mitalaa inayofanana kwa vyuo vyote kwa kozi zinazofanana. Kwa kufanya hivyo wahitimu soma zaidi...
Je, Yesu ana nafasi gani katika historia ya binadamu maana kwa kweli Yesu aliishi ulimwenguni katika Mashariki ya Kati, hasa katika maeneo ya nchi ya Israel, Palestina na Jordan. Je, tunajifunza soma zaidi...
Ukiangalia Kamatusa na Gema, ujanja ni ule ule. Wanasiasa wakichochewa na tamaa ya mamlaka wameanza kujizolea mashabiki na kutia raia katika makundi ya ‘sisi’ na ‘hao wengine’. Kimsingi, katika soma zaidi...
Wakuu wa NCPB kuambia wakulima wakati huu kwamba wameshindwa kusafirisha mbolea ni kuwakejeli. Wanafaa kuchukuliwa hatua kali kuhakikisha kwamba mwaka ujao hawalemazi na kutesa wakulima kwani soma zaidi...
Kimsingi, mienendo ya Uhuru Kenyatta na Wiliam Ruto ni kuibua hisia kwamba, endapo hawatakuwa kwenye debe Uchaguzi Mkuu ufikapo, Kutakuwa na sokomoko tena. Sijui ni nani amewadanganya viongozi hawa soma zaidi...
Laana ya mafuta sio mzaha babu. Badala ya maneno ya wimbo ‘O Rabbi usinipe mapenzi na wapendao hakuna’ Waturkana kheri wangeimba ‘Rabbi sinipe mafuta na wanaonijali hakuna’ soma zaidi...
Ni jambo la kusikitisha zaidi kwamba hata kabla ya mafuta kuanza kuzalishwa huko Turkana tayari kuna kinyang’anyiro cha ardhi sehemu hiyo ambapo Waturkana wanaporwa ardhi yao - na hivyo mafuta soma zaidi...
Ingawa Kiswahili ni lugha iliyoimarika sana nchini Tanzania, sasa imeanza kuingiwa na dosari tele za kisarufi, kimsamiati na matumizi yake kwa jumla. soma zaidi...
Jinsi Shirikisho la Soka nchini, FKF linavyoshauri, suluhu mwafaka baina ya pande hizi mbili, HSMB na Tusker, ni kuketi chini pamoja na wachezaji ili kufikia maelewano juu ya suala hili soma zaidi...
Wakenya sharti waanze kujiuliza ni kwa nini duru hii Rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu hawakuzozana hadharani kuhusu mabadiliko hayo. Huoni kuwa hilo si jambo la kawaida. soma zaidi...
Eugene Wamalwa kwa kutilia mchuzi pakavu pa shoga zake wa G7, atasukuma chombo cha haki ya Kenya mrama. Atakuwa shujaa, lakini kwa muda mfupi tu na kwa watu wachache mno. Wamalwa amefika kilele, na soma zaidi...
INAKUBALIKA kuwa soka ya Kenya ilikofikia ni mbali. Aidha haipingiki kuwa maendeleo haya yametokana hasa na klabu mbili kubwa nchini, AFC Leopards na Gor Mahia. soma zaidi...
Baraza la Jiji linafaa kutayarisha sheria ndogo ambazo zitapelekea kukamatwa na kuhukumiwa kwa yeyote ambaye mabango ya kumuunga mkono yataonekana bila idhini. soma zaidi...
Mkutano wa kundi la Gema siku chache zilizopita mjini Limuru ni kielelezo cha jinsi upofu wa wafuasi hawa na ushabiki wao unaweza sio tu kuwavurugia mambo bali pia kuamsha balaa katika taifa hili. soma zaidi...
Si watu wengi wanaofahamu kwamba vyeti vya shahada walivyo navyo ni mali ya vyuo vikuu walikosomea – na vyuo hivyo vina mamlaka ya kuwapokonya shahada hizo endapo itabainika kwamba walitumia mbinu soma zaidi...
Iweje bara la Afrika limeozeana kwa ufisadi, na je kuna tofauti gani kati ya ufisadi Afrika na maovu yayo hayo tunayoshuhudia kwingineko ulimwenguni. soma zaidi...
Viongozi wafaa watambue kwamba hatufanyi uchaguzi kwa ajili yao. Tunaufanya kujenga nchi yetu. Wanaolalamika kwamba maoni yao hayakuzingatiwa wajue hata wakiondoka, nchi itaendelea. Demokrasia huwa soma zaidi...
Ishara zipo kwamba Tanzania ina hofu kujirusha dimbwini ilhali haina hakika urefu maji na kama kuna madude wala-watu mle. Huku wanachama wengine wakifungua mipaka kwa majirani kundini, Tanzania soma zaidi...
Ni haki na wajibu wa kila mwananchi kutumia fursa iliyopo kupiga kura. Kupiga kura ni uzalendo, ni kushiriki katika kazi ya kulea demokrasi na maendeleo. soma zaidi...
Hatua ya kukikweza hadhi Kiswahili kuwa lugha rasmi haitambui tu nafasi ya lugha hii muhimu nchini bali pia hadhi yake kama chombo ambacho kimepigiwa upatu kuwa lingua franka barani Afrika. soma zaidi...
Kenya ni muhimu kuliko wanasiasa binafsi – wawe ni Bw Raila Odinga, Uhuru Kenyatta na Wiliam Ruto. Kwa hiyo, kucheza karata za kisiasa zinazoegemea ukabila ni hatari kwa usalama wa taifa hili – soma zaidi...
Waziri Mkuu Raila Odinga si jaji wala nabii wa kujua ikiwa Bw Ruto na Bw Kenyatta wana hatia na kuwahukumu. Hali kwamba ni maadui zake kisiasa haifai kumfanya awachukie bila kusahau kwamba ni raia soma zaidi...
Prof Anyang’ Nyong’o anaonyesha ujeuri na kiburi anapokataa kulegeza kamba na kushauriana na wauguzi ili mwananchi wa kawaida akome mateso, haoni balaa inayoendelea hospitalini, na kama yuaiona, soma zaidi...
Kwa kutosikiliza vilio vya wauguzi waliogoma, serikali imekataa kutambua mchango muhimu unaotekelezwa na wauguzi hawa kwa nchi yetu tukufu. soma zaidi...
Jamii lazima iendelee kupambana kuhakikisha wanawake wanajishindia uwezo wa kuwa na fursa sawa na wanaume kwa kila hali. Tena ikumbukwe kwamba harakati za ukombozi wa wanawake si za kuwafanya soma zaidi...
Baraza linafaa kukiri kwamba linao udhaifu mkubwa katika ulinzi wa mitihani yake na litafute mbinu za kuudhibiti. Liwe na maafisa wanaozingatia maadili ya kikazi zaidi, liepuke kushirikisha walimu soma zaidi...
Ni matumaini yangu kwamba Serikali itasikiliza kilio cha wafanyakazi hao ambao wameumia kwa miaka mingi. soma zaidi...
Kuidhinishwa kwa ukahaba kutaiondolea nchi yetu fedheha inayohusishwa na baadhi ya visa vya aibu kama vile mapenzi ya hadharani ilivyokuwa katika vile visa vya Muliro gardens-Kakamega. soma zaidi...
Wanalalamika kwamba Serikali imekosa kutimiza mkataba waliotia saini lakini wenyewe ni wa kulaumiwa. Walipokuwa wakitia saini mkataba huo, viongozi wa Chama cha Wahudumu wa Sekta ya Afya (KHPS) soma zaidi...
Tahadhari inapaswa kuchukuliwa ili kujiepusha na tafsiri ambayo inakera – hasa kwa sababu ama inafanywa na watu wasiofahamu utendakazi wa lugha za tamaduni husika au kwa sababu ya uzembe. soma zaidi...
Jeshi la Kenya limemeza chambo, na labda kuna kina yakhe fulani wanasherehekea nchini Nairobi, kwenye maofisi ya serikali. Hatimaye kwa kutumia uwepo wetu nchini Somalia, watapata madola kutoka kwa soma zaidi...
Nilipokuwa ninasherehekea mchango wa mwandishi huyu katika ulingo wa fasihi ya Kiswahili, sikujua mauti yalikuwa yamekwisha kumpigia simu yiyo hiyo – ‘Simu ya Kifo’. soma zaidi...
Waziri Mkuu Raila Odinga na Rais Kibaki wameochangia kuwepo kwa utata wa sasa kuhusu tarehe ya uchaguzi. Huwezi kusubiri makatibu hawa wajiuzulu kuambatana na Kifungu 43 (5) cha sheria hizo bila soma zaidi...
Haishangazi kwamba ajenda kuu ya wapinzani wa Raila Odinga kwenye kinyang’anyiro cha Ikulu katika uchaguzi mkuu ujao ni kumzuia asiwe rais. soma zaidi...
Hali ilivyo sasa katika baadhi ya shule za umma si ya kuridhisha sana ambapo masomo ni duni, walimu huja na kutoka shuleni wapendavyo na hali ya miundo misingi yake ni ishara ya kupungukiwa maarifa soma zaidi...
Wengi wanasubiri kuona ni kwa vipi wageni hao watakavyojizatiti msimu huu ama wataishia kunawa na wasile na hivyo kuyaaga mashindano hayo mwishoni mwa mwaka huu jinsi ilivyokuwa kwa wageni wa soma zaidi...
Kenya bado hatufanyi maendeleo endelevu maana wachache tu ndiyo wanaoishi maisha bora huku wengi wakididimia katika hali ya ufukara, ujinga na ukosefu wa kila hali. soma zaidi...
WAAFRIKA hatuna la kujivunia kutokana na wimbi la mageuzi tunayoshuhudia katika baadhi ya mataifa yetu kwani daima yanaendelea kufanyika kwa manufaa ya mataifa hayo makubwa. soma zaidi...
Sababu za wataalamu hao kututahadharisha ni kwamba mara nyingi mvua nyingi zinyeshapo na kusababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi maafa na uharibifu wa mali vimetokea. soma zaidi...
Kifo cha Faraji Katalambula kilichosababishwa na maradhi ya kisukari kilipita kimya kimya. Na hii si mara ya kwanza kwa waandishi stadi sana wa Kiswahili kufariki na habari zao kuyoyoma na soma zaidi...
Kalonzo alipoteza hekima yote na kuvunja miiko ya siasabora. Wakati wa kura ya maoni kuhusu katiba, Kalonzo alishindwa kuamua waziwazi, akasalia anacheza mdundo wa ndiyo mchana na usiku akasakata soma zaidi...
Githae akumbuke kuna Katiba Mpya na taratibu mpya za kufuatwa asije akajikuta taabani kama mtangulizi wake mwaka uliopita. Ni jukumu lake pia kukabiliana na kiwango cha mfumko. soma zaidi...
Mataifa kama vile Singapore, India, Korea Kusini na Malaysia ambayo yamelipua fataki ya kasi katika ustawi kiuchumi yalikuwa katika kiwango sawa na Kenya miaka ya sitini. Ruwaza iliyosukuma mataifa soma zaidi...
Ikiwa tarehe ya uchaguzi itabaki kuwa siri, huenda kusiwe na nafasi ya kutekeleza Sheria za Uchaguzi. soma zaidi...
Siwiji alobingika, ambaye ataka tengwa, Atwambe amelimka, mjuzi asiyepingwa, soma zaidi...
Inasikitisha kuwa baadhi ya wanafunzi bora katika mtihani wa KCPE hawatajiunga na shule za kitaifa kufuatia sera ambayo serekali inaitumia kuwateua wanafunzi. Sera hii imewaathiri wanafunzi wengi soma zaidi...
NIMESEMA mara nyingi na yamkini nitaendelea kulalamika kwamba Wakenya ni watu wasiotosheka. Ni sawa tu na wana wa Israeli, katika Biblia. Baada ya kukombolewa kutoka minyororo ya utumwa misri, soma zaidi...