Imepakiwa  18/3/2012 Comments :0

 

Hezekiel Gikambi :  Tukumbatie Kiswahili kwa dhati na kukionea fahari

Hatua ya kukikweza hadhi Kiswahili kuwa lugha rasmi haitambui tu nafasi ya lugha hii muhimu nchini bali pia hadhi yake kama chombo ambacho kimepigiwa upatu kuwa lingua franka barani Afrika.  soma zaidi...


Imepakiwa  24/2/2012 Comments :0

 

Mwandawiro Mghanga :  Tuhakikishe uchaguzi mkuu ujao unaleta maendeleo endelevu

Kenya bado hatufanyi maendeleo endelevu maana wachache tu ndiyo wanaoishi maisha bora huku wengi wakididimia katika hali ya ufukara, ujinga na ukosefu wa kila hali.  soma zaidi...


Imepakiwa  3/2/2012 Comments :0

 

Hezekiel Gikambi :  JE, UCHAGUZI UTAKAOKUJA UTALETA MAENDELEO ENDELEVU?

Inasikitisha kuwa baadhi ya wanafunzi bora katika mtihani wa KCPE hawatajiunga na shule za kitaifa kufuatia sera ambayo serekali inaitumia kuwateua wanafunzi. Sera hii imewaathiri wanafunzi wengi  soma zaidi...


 

BLOGU

NTVKenya
BLOGU

NTVKenya