Imepakiwa  12/3/2012 Comments :0

 

Kennedy Opindi :  Serikali ilinoa kwa kuwafuta kazi wauguzi

Kwa kutosikiliza vilio vya wauguzi waliogoma, serikali imekataa kutambua mchango muhimu unaotekelezwa na wauguzi hawa kwa nchi yetu tukufu.  soma zaidi...


Imepakiwa  11/3/2012 Comments :0

 

Kennedy Opindi :  Kukubaliwa ramsi kwa makahaba kutafaa nchi

Kuidhinishwa kwa ukahaba kutaiondolea nchi yetu fedheha inayohusishwa na baadhi ya visa vya aibu kama vile mapenzi ya hadharani ilivyokuwa  katika vile visa vya Muliro gardens-Kakamega.  soma zaidi...


Imepakiwa  17/2/2012 Comments :0

 

Kennedy Opindi :  Walimu kutia saini kandarasi za utendakazi ni hatua bora

Hali ilivyo sasa katika baadhi ya shule za umma si ya kuridhisha sana ambapo masomo ni duni, walimu huja na kutoka shuleni wapendavyo na hali ya miundo misingi yake ni ishara ya kupungukiwa maarifa  soma zaidi...


 

BLOGU

NTVKenya
BLOGU

NTVKenya