Imepakiwa 8 saas Iliyopita
comment

 

KEN WALIBORA : Wanafunzi wayachukulie kwa uzito maneno ya wenyeji na wageni wajao shuleni, ni hazina kuu ya mafao kwao

Katika siku za hivi karibuni nimeendelea kuitika miito mbalimbali ya kuwahamasisha wanafunzi katika shule za pembe kadha humu nchini Kenya kuhusu fasihi na lugha.  soma zaidi...


Imepakiwa Fri May 19 19:25:19 EAT 2017
comment

 

MGENI WETU : Tuthamini Uafrika wetu

Waafrika kwa hakika wamefunzwa kujidharau na kuona kuwa kila kitu chao hakifai.  soma zaidi...


Imepakiwa Fri May 19 18:52:39 EAT 2017
comment

 

MGENI WETU : Giza

Giza ni hali inayoogopewa na wengi pengine kutokana na kuwa linaficha mengi mabaya ili yasiwe wazi kwa walimwengu kuyashuhudia.  soma zaidi...


Imepakiwa Fri May 19 18:43:55 EAT 2017
comment

 

MGENI WETU : Umuhimu wa dini

Katika dini watu huelekezwa namna ya kufuata maadili mema kama vile ukarimu, upole, huruma, upendo na udugu hasa miongoni mwao.  soma zaidi...


Most Popular