28/6/2016 comment

 

Bitugi Matundura : Matoleo mengi ya kamusi ni ithibati lugha inakua

Ukweli ni kwamba, katika taaluma ya elimu, mikabala ya kutaja jambo lile lile ni mingi jinsi ilivyo idadi ya watu ulimwenguni.  soma zaidi...


23/6/2016 comment

 

Bitugi Matundura : Uandishi wa kazi za kibunifu hauhitaji nguvu za uchawi

Kwa takriban kipindi cha miaka mitano ambacho nimefundisha nimekuwa nikishuhudia 'utasa’ wa waandishi chipukizi waliopitia katika mikono yangu – kwa misingi kwamba, hapajakuwapo hata mwanafunzi  soma zaidi...


7/4/2016 comment

 

Bitugi Matundura : Kuna haja ya kufufua leksikoni ambayo ilikufa?

Jukumu kubwa la vyombo vilivyotwikwa mamlaka ya kustawisha lugha katika mataifa mbalimbali limekuwa ni kubuni istilahi kukidhi mahitaji ya elimu na mawasiliano.  soma zaidi...


24/3/2016 comment

 

Bitugi Matundura : Kuua lugha asili ni sawa na kuteketeza maktaba

LUGHA na utamaduni ni mambo yanayokurubiana. Lugha ni kibebeo cha utamaduni mbali na kuwa chombo kinachosheheni fikra, imani na matamanio ya watu.  soma zaidi...


10/3/2016 comment

 

Bitugi Matundura : Ipo haja ya dharura ya kukisanifisha upya Kiswahili

Mtaalamu Abdalla Khalid katika The Liberation of Swahili from European Appropriation anahisi kwamba uteuzi wa Kiunguja ulikuwa ni njama ya chini kwa chini iliyoendelezwa na Wazungu ili kuendeleza  soma zaidi...


4/2/2016 comment

 

Bitugi Matundura : Udhanaishi katika riwaya na tungo za Kezilahabi

Udhanaishi ni falsafa ambayo inamulika kwa kina masuala ya maudhui ya kifo, uhuru wa mtu binafsi, wajibu wa binadamu duniani, ubinafsi, kukata tamaa, udhaifu wa binadamu, furaha, ukengeushi na  soma zaidi...


7/1/2016 comment

 

Bitugi Matundura : Mbinu za uundaji wa istilahi katika Kiswahili

Lugha huundiwa istilahi ili utamaduni wake ukidhi dhana ambazo hapo awali zilikuwa hazimo katika utamaduni huo.  soma zaidi...


19/2/2015 comment

 

Bitugi Matundura : Matatizo ya uainishaji wa tanzu za kifasihi

Makala haya yanalenga kuangalia upande wa pili wa sarafu ambao mwandishi Alex Ngure hakuumulika katika makala yake. Mitazamo na ufafanuzi wa dhana  ‘riwaya’ (Taifa Leo, Februari 16, 2015) labda kwa  soma zaidi...


17/2/2015 comment

 

Bitugi Matundura : Mawanda ya taaluma ya  isimujamii

Isimujamii ni tawi la isimu linalochunguza uhusiano na mtagusano au mwingiliano baina ya lugha na jamii, matumizi ya lugha hiyo pamoja na miundo na mikondo ambayo kwayo watumizi wa lugha hiyo  soma zaidi...


30/1/2015 comment

 

Bitugi Matundura : Mwandishi alipotosha wasomaji kuhusu matbaa

Nilivunjika moyo baada ya kukamilisha kusoma makala ya Alex Ngure na kugundua kwamba ilikuwa inapwaya na kwa maoni yangu kuonekana chapwa. Mwandishi alipotosha wasomaji kwa kuwasilisha fahiwa  soma zaidi...


29/1/2015 comment

 

Bitugi Matundura : Mazrui awataka wataalamu waunde msamiati unaofaa karne ya 21

Prof Alamin Mazrui anatoa wito kwa wataalamu wa Kiswahili kujifungata masombo kuunda msamiati na istilahi za Kiswahili ambazo zitatufaa zaidi katika Karne ya 21.  soma zaidi...


24/1/2015 comment

 

Bitugi Matundura : Kiswahili na maazimio ya hadi mwaka 2030

Lugha ni mojawapo wa raslimali kubwa ambayo inaweza kutumiwa na jamii yoyote ile iwayo katika kutekeleza na kupiga hatua kubwa za kimaendeleo.  soma zaidi...


13/1/2015 comment

 

Bitugi Matundura : Kenya yahitaji asasi ya kudhibiti istilahi mpya

Mojawapo ya juhudi kuu  zinazoendelea kufanywa hivi  leo na wataalamu wa Kiswahili ni ukuzaji wa istilahi. Mawanda ya matumizi ya Kiswahili, sawa na lugha nyingine yoyote ulimwenguni yanaendelea  soma zaidi...


1/7/2014 comment

 

Bitugi Matundura : Abdulaziz ana ndoto kuu kuhusu Kiswahili

Prof Abdulaziz anatabiri kwamba, miaka ishirini hivi ijayo, Kiswahili kitakuwa kimefikia hadhi ya kutekeleza mambo yote ya taifa letu ikiwemo elimu, sayansi na kadhalika.  soma zaidi...


13/12/2013 comment

 

Bitugi Matundura : Mandela ametufunza jinsi ya kuandika historia

Watakapohesabiwa basi watu walioacha taathira kubwa mno ulimwenguni, Mzee Nelson Mandela hatakosa kuhesabiwa. Atatoka wapi mwingine kama yeye?  soma zaidi...


31/10/2013 comment

 

Bitugi Matundura : Lugha ya Kiswahili itafaa Afrika Mashariki

Si suala la mjadala tena kwamba lugha inayofumbata hisia za wenyeji wengi wa Afrika ya Mashariki ni Kiswahili. Kwa hiyo, ni upumbavu wahakiki kuifumbia macho fasihi ya Kiswahili ambayo inazidi  soma zaidi...


3/10/2013 comment

 

Bitugi Matundura : Uwazi unahitajika katika tuzo ya fasihi

Ingawa tuzo ya Tuzo ya Fasihi ya Jomo Kenyatta imekuwa ikitolewa kwa zaidi ya miongo mitatu sasa, pana haja ya kuanza kuuliza maswali fulani ya kimsingi ambayo labda majibu yake yatatusaidia  soma zaidi...


19/9/2013 comment

 

Bitugi Matundura : Daya yetu ni haki na maridhiano

Mkabala wa ukweli na maridhiano ambao ulifanikiwa Afrika Kusini na Rwanda – ambazo zilikuwa na tatizo sawa na la Kenya ndio utakaonasua Kenya kutokana na lindi la masaibu tunayoyashuhudia hivi  soma zaidi...


17/6/2013 comment

 

Bitugi Matundura : Makosa katika matumizi ya Kiswahili

Ili kuepuka makosa ambayo yanakiparaganya Kiswahili, wanafunzi, watumiaji wa lugha hii, walimu na hata wanahabari wanapaswa ama kufanya utafiti wanapokuwa na shaka kuhusu neno fulani, kuangalia  soma zaidi...


20/5/2013 comment

 

Bitugi Matundura : Makabila mengi ni baraka au laana?

Mataifa mengi barani Afrika yameshindwa kubuni na kutekeleza sera za lugha zinazotambua umuhimu wa lugha za Kiafrika. Lugha za kigeni kama vile Kiingereza hutumika pakubwa katika kuendesha masuala  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu