27/2/2012 comment

 

Freddy Macha :  Faraj Katalambula alichangia sana kuendeleza fasihi na Kiswahili

Kifo cha Faraji Katalambula kilichosababishwa na maradhi ya kisukari kilipita kimya kimya. Na hii si mara ya kwanza kwa waandishi stadi sana wa Kiswahili kufariki na habari zao kuyoyoma na  soma zaidi...


2/12/2013 comment

 

Freddy Macha : Mshindi wa taji la urembo ana azma ya kuiendeleza Tanzania

Malkia Kassu malkia wa Tanzania na  bara zima la Afrika amesema anataka kuiwakilisha nchi yake na kuwasaidia wanaokabiliwa na hali ngumu ya maisha. Namtakia kila la kheri.  soma zaidi...


22/2/2013 comment

 

Freddy Macha : Ufanisi wa Tanzania maonyesho ya mitindo London unatia moyo

Ingawa Tanzania haikuwa mshindi wa mwanzo katika maonyesho ya mitindo ya London Fashion Week, ilichaguliwa kati ya Kumi Bora jambo ambalo linatia moyo.  soma zaidi...


12/4/2012 comment

 

Freddy Macha : Said Ahmed astahili kongole kwa kuendeleza Kiswahili

Profesa Said Ahmed Mohammed ambaye toka 1997 amekuwa  mhadhiri wa fasihi ya Kiafrika chuo cha Bayreuth, Ujerumani ameandika vitabu vingi vya Kiswahili. Anasaidia pia kujenga fasihi si tu Afrika  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu