18/3/2012 comment

 

Hezekiel Gikambi : Tukumbatie Kiswahili kwa dhati na kukionea fahari

Hatua ya kukikweza hadhi Kiswahili kuwa lugha rasmi haitambui tu nafasi ya lugha hii muhimu nchini bali pia hadhi yake kama chombo ambacho kimepigiwa upatu kuwa lingua franka barani Afrika.  soma zaidi...


3/2/2012 comment

 

Hezekiel Gikambi : JE, UCHAGUZI UTAKAOKUJA UTALETA MAENDELEO ENDELEVU?

Inasikitisha kuwa baadhi ya wanafunzi bora katika mtihani wa KCPE hawatajiunga na shule za kitaifa kufuatia sera ambayo serekali inaitumia kuwateua wanafunzi. Sera hii imewaathiri wanafunzi wengi  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu