4/2/2016 comment

 

Hugholin Kimaro : Mbinu za kuipamba lugha ili iwe na mvuto zaidi wa kusoma

Katika lugha ya Kiswahili kuna mbinu kadha wa kadha zinazotumika kuipamba lugha katika usemaji na pia uandishi.  soma zaidi...


5/2/2015 comment

 

Hugholin Kimaro : Maneno yanayokanganya watu sana katika Kiswahili

Ingawa maneno yana maana moja au kufanana, kimaana huenda yasiwe katika ngeli moja. Huenda kwa hakika lisiwe ni tatizo bali ni hali ya kwamba kila lugha inakuwa na kanuni zake ambazo ni lazima  soma zaidi...


26/1/2015 comment

 

Hugholin Kimaro : Vidokezi katika kuchambua fasihi andishi

Ni muhimu kwetu kuzisoma kazi za fasihi andishi kwa makini huku tukichunguza yale mambo muhimu ambayo mwandishi anatilia mkazo.  soma zaidi...


21/1/2015 comment

 

Hugholin Kimaro : Ipo haja kupigia upatu matumizi ya Kiswahili

Kiswahili ni mojawapo ya lugha zilizojizolea sifa kochokocho hasa katika jamii za Afrika Mashariki na ya kati.  soma zaidi...


17/1/2015 comment

 

Hugholin Kimaro : Uborongaji lugha katu hautakuwa burudani

Dhana kwamba ili tamthilia au tangazo fulani la biashara livutie basi lazima liwe na Kiswahili kibovu kibovu lazima ikomeshwe mara moja.  soma zaidi...


8/1/2015 comment

 

Hugholin Kimaro : Changamoto ambazo hukabili Kiswahili shuleni

Kuna changamoto nyingi zinazoikabili lugha ya Kiswahili kama somo katika shule zetu humu nchini. La kutia moyo ni kwamba imebainika, ingawa si mapema sana, kuwa zipo njia za kukabiliana na  soma zaidi...


4/12/2014 comment

 

Hugholin Kimaro : Maana, taratibu za utafiti katika Fasihi Simulizi

Utafiti katika simulizi ni ukusanyaji wa data na habari zihusuzo fasihi simulizi ili kuendeleza na kutekeleza malengo maalumu yaliyokusudiwa na mtafiti na hasa mdhamini wa utafiti huo.  soma zaidi...


1/12/2014 comment

 

Hugholin Kimaro : Hekima ya baba: Kufaulu maishani si kwa kupasi mitihani pekee

“Mwanangu, kunao maelfu ya watu ambao hawana shahada za vyuo vikuu na wamefaulu maishani. Wewe wataka kujitoa uhai kwa sababu umefeli mtihani? Hili ni kosa kubwa. Kazi ya kutoa uhai ni ya Mungu.  soma zaidi...


27/11/2014 comment

 

Hugholin Kimaro : Wahusika na umuhimu wao katika fasihi

Wahusika ni wale washiriki ama waliotajwa katika kazi yoyote ya fasihi. Wanaweza kuwa watu, wanyama, ndege, majini na hata viumbe wengine wasioishi.  soma zaidi...


25/11/2014 comment

 

Hugholin Kimaro : Kiswahili kimeanza kudumazwa Tanzania?

Ingawa Kiswahili ni lugha iliyoimarika sana nchini Tanzania, sasa imeanza kuingiwa na dosari tele za kisarufi, kimsamiati na matumizi yake kwa jumla kutokana na uhuru mwingi wa kukitumia watakavyo  soma zaidi...


17/11/2014 comment

 

Hugholin Kimaro : Tunasubiri asasi ya kusawazisha Kiswahili

Mapema mwaka 2013 tulishauri kwamba Taasisi ya Kenya ya Kukuza Mitalaa ya Elimu (awali ikiitwa Kenya Institute of Education - KIE) ibadilishe mtindo wake wa sasa wa kuteua vitabu vya fasihi ili uwe  soma zaidi...


11/11/2014 comment

 

Hugholin Kimaro : Tahakiki ya hadithi Chozi la Ukweli Mchungu

Chozi la Ukweli Mchungu ni hadithi ya kusikitisha sana kwani inamhusu kijana Kamjeshi ambaye mamaye mzazi anaamua kumuavya na kumtupa ndani ya jaa la taka kwa kusingizia kuwa ilikuwa hatua ya  soma zaidi...


27/6/2014 comment

 

Hugholin Kimaro : Tumwombe Mungu katika changamoto zetu, wala tusilaumiane

Mauaji ambayo tumeshuhudia Mpeketoni na Wajir ni matukio ya kusikitisha ambayo kama viongozi wetu wangekuwa wakiketi na kujadiliana kisha kumwomba Mungu awaongoze, wangepata hekima ya kuikoa Kenya  soma zaidi...


27/1/2014 comment

 

Hugholin Kimaro : Changamoto chache zisitufanye tukatupa ugatuzi

Changamoto za hapa na pale zinazoukumba ugatuzi humu nchini ni jambo la kawaida kwa demokrasia changa wala zisikubaliwe kuua ugatuzi wetu ambao ndio utasambaza maendeleo kote nchini.  soma zaidi...


28/10/2013 comment

 

Hugholin Kimaro : Vita dhidi ya ufisadi Kenya vimekuwa ni sarakasi

Vita vyetu vya kupambana na ufisadi vimekuwa sarakasi isiyoisha wala isiyo na maudhui yoyote muhimu kwa taifa. Wanaothubutu kupambana na ufisadi hupigwa kumbo na kuangushiwa huku mafisadi wakisonga  soma zaidi...


7/10/2013 comment

 

Hugholin Kimaro : Serikali imekosea kuficha ukweli kuhusu Westgate

Sharti suala la usalama lishughulikiwe kwa uwazi na kila mdau awajibike inavyotakikana la sivyo tutaendelea kuangamizwa na maharamia ambao wanaujua fika udhaifu wetu– kukosa mipango madhubuti!  soma zaidi...


20/5/2013 comment

 

Wanaotisha kujiuzulu wajiondoe tujipange

Viongozi wa sasa wanafaa kuwa wazalendo zaidi kwa taifa lao. Nyakati za kuingia bungeni kujitajirisha zimepitwa na wakati.  soma zaidi...


18/3/2013 comment

 

Hugholin Kimaro : Wanawake hawakufaidi kupitia Katiba uchaguzini

Kinamama walikosa nafasi za useneta, ugavana na urais kwenye uchaguzi mkuu uliopita. Ni Bi Martha Karua pekee aliyewania urais na alivunjwa moyo na vikwazo tele alivyokumbana navyo.  soma zaidi...


28/1/2013 comment

 

Hugholin Kimaro : Walioteuliwa watuonyeshe kwa vitendo

Walionusurika shoka la uteuzi katika viti mbalimbali wanafaa sasa kuchukua fursa baina ya sasa na Machi 4, kutudhihirishia kwa vitendo yale watakayotufanyia endapo tutawachagua katika uchaguzi mkuu  soma zaidi...


24/1/2013 comment

 

Hugholin Kimaro : Natumaini kuwa IEBC imejifunza kutokana na uteuzi

Uteuzi wa wagombea ulifikiriwa kuwa kazi rahisi kumbe sivyo. Matokeo yake ni kuwa mipango imefanywa na mambo mengi yametukia kuwa na dosari na ni matumaini yangu kuwa IEBC imejifunza mengi  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu