19/4/2016 comment

 

MGENI WETU : Jinsi ya kujizolea alama ya 'A' kwa Kiswahili katika mtihani wa KCSE

KARATASI ya Pili katika mtihani wa kidato cha nne wa Kiswahili KCSE huwa na sehemu nne; yaani Ufahamu, Muhtasari, Matumizi ya Lugha na Isimujamii.  soma zaidi...


26/10/2015 comment

 

MGENI WETU : Umuhimu wa upangaji wa lugha katika jamii

Upangaji wa lugha ni juhudi za kimakusudi katika kusuluhisha matatizo yote kuhusu lugha na ambayo ni muhimu kwa ukuaji wa lugha husika.  soma zaidi...


24/7/2015 comment

 

MGENI WETU : 'Tangia' si neno sanifu la Kiswahili

Pengine matumizi ya 'tangia’ kwa maana ya kubainisha wakati fulani hudhamiriwa  kuongezea 'umbuji’ fulani katika mazungumzo ya waja bali si sanifu asilani!  soma zaidi...


21/7/2015 comment

 

MGENI WETU : Tofauti kati ya bunilizi na matini ya kawaida

Ni muhimu kutofautisha kati ya uandishi wa kubuni na uandishi wa matini kwa jumla kwa kuwa aghalabu huwa rahisi kufikiria kwamba uandishi wa namna yoyote ni sawa na kwamba kila mtu aliye na ufahamu  soma zaidi...


31/1/2015 comment

 

MGENI WETU : Mbinu za ufundishaji na mustakabali wa Kiswahili

Baadhi ya  mbinu za ufundishaji  wa  Kiswahili  hususan  katika shule  za  msingi, zinazotarajiwa (shule hizo) kukiandalia Kiswahili msingi imara, zinaweza kuchangia katika kudidimiza  matumaini  soma zaidi...


31/1/2015 comment

 

MGENI WETU : Fasihi ya watoto na saikolojia

Kama ilivyo katika sanaa nyinginezo, mvuto ni kitu cha kimsingi sana katika fasihi.  soma zaidi...


23/1/2015 comment

 

MGENI WETU : Maana, dhima ya kejeli katika fasihi ya Kiswahili

Kejeli ni mbinu pana ya kifasihi ambayo huchukua nafasi kubwa na kutoa mchango wake si katika mazungumzo tu bali pia katika kueleza taratibu za maisha ya binadamu.  soma zaidi...


23/1/2015 comment

 

MGENI WETU : Baadhi ya dhana za kiisimu huhitaji istilahi zilizo faafu

Uelewa wa  lugha  katika  mazingira  yoyote   huelekezwa  na   mitazamo,  hulka,  mikabala  na imani   za  watu.   soma zaidi...


22/1/2015 comment

 

MGENI WETU : Ni upotoshaji kudai kuwa Kiswahili, Kiarabu ni sawa

Mjadala kuhusu asili ya Kiswahili umezamiwa na wataalamu mbalimbali na wametumia vigezo mbalimbali kuthibitisha madai yao.  soma zaidi...


20/1/2015 comment

 

MGENI WETU : Malezi yatakayozalisha waandishi baadaye

Wataalamu wa elimu-jamii na pia wa saikolojia wanatuambia kuwa kuna haja ya kuwachunguza watoto ili kujua wanayowaza na umuhimu wake.  soma zaidi...


31/12/2014 comment

 

MGENI WETU : Kanuni ielekezayo matumizi ya viambishi vikanushi

Viambishi 'hu’ na 'hau’ hutumiwa katika ukanushaji wa nafsi ya pili umoja na ngeli za vitu visivyokuwa na uhai katika mtawalia huo.  soma zaidi...


19/12/2014 comment

 

MGENI WETU : Matbaa zinapuuza kazi za chipukizi

Ingawa waweza kuviona vitabu luluki madukani, ni vya watu wachache mno vilivyopigwa chapa ukilinganisha na idadi kubwa ya watu wanaoandika miswada na kuwapelekea wachapichaji.  soma zaidi...


19/12/2014 comment

 

MGENI WETU : Vyombo vya habari vinadidimiza Kiswahili

Wadau wa lugha ya Kiswahili wanaendelea kulalamika kwamba mchango wa vyombo vya habari kufikia sasa wahitaji kupigwa msasa zaidi ili uweze kuikuza lugha kwa njia ifaayo  soma zaidi...


17/12/2014 comment

 

MGENI WETU : Matumizi ya maneno sawa na sawia yana maana tofauti

Katika mazungumzo ya kawaida, kauli 'sawa’ inaweza kuwa ni thibitisho kwamba, anayeitamka anaridhia maoni, wazo au jambo fulani linalosemwa au kupendekezwa.  soma zaidi...


17/12/2014 comment

 

MGENI WETU : Chimbuko na asili ya lugha ya binadamu

Hakuna maafikiano yoyote miongoni mwa wanaisimu kuhusu ni wapi, lini, namna gani au nani hasa alianzisha lugha.  soma zaidi...


8/12/2014 comment

 

MGENI WETU : Makosa yanayotokea tunapouunda vishazi

Msomi wa lugha awe awavyo, hana jukumu na wala hawezi kutoa mwongozo wa vipi lugha itumike kwa wenye lugha hiyo. Kikubwa anachoweza kukifanya, kwa mafanikio kabisa, ni kueleza namna wenye lugha yao  soma zaidi...


5/12/2014 comment

 

MGENI WETU : Mazingira ni mhimili wa uundaji wa Vitendawili

Sawa na vipera vingine vya fasihi simulizi ambavyo hatuwezi kuvitenganisha na amali za jamii husika, ndivyo vilivyo pia vitendawili ambavyo hutegemeana mithili ya kiko na digali na  soma zaidi...


5/12/2014 comment

 

MGENI WETU : Serikali, sera ya lugha katika enzi ya utandawazi

Historia ya Kiswahili imetudhihirishia namna gani lugha za Kibantu, Kiarabu, Kiingereza, Kipashia, Kireno, Kihindi, Kijerumani na hata lugha nyingine za Kiafrika, zilizowahi kuwa na mtagusano na  soma zaidi...


3/12/2014 comment

 

MGENI WETU : Vizingiti vya Kiswahili kuzingiziwa mtandaoni

Ustawi wa maisha ya binadamu tangu enzi ya ustaarabu wa mawe umepitia hatua nyingi za kiteknolojia. Teknolojia  ya mwanzo kabisa katika maendeleo ya utamaduni wa binadamu ilianza kwenye bonde la  soma zaidi...


3/12/2014 comment

 

MGENI WETU : Asili na dhima ya msemo kata kauli au kalima

Msemo 'kata kauli’ na 'kata shauri’ ni matamko mawili ya Kiswahili ambayo huwakanganya watumizi wayo. Baadhi ya watunzi wa kamusi za misemo na nahau wanaielezea  soma zaidi...


14/11/2014 comment

 

MGENI WETU : Hofu ya mauaji pwani

Kama ilivyo ada ya kila kukitokea mauaji ya Mashekhe wetu, zimekuwa lalama na kelele zisizokuwa na maana; pana haja ya kuwepo ulinzi wa viongozi wa kidini.  soma zaidi...


11/11/2014 comment

 

MGENI WETU : Dhima ya tamathali za usemi katika Mashairi

Tamathali za semi ni aina ya matumizi ya lugha yanayohusishwa sana na ushairi na lugha nathari.  soma zaidi...


31/10/2014 comment

 

MGENI WETU : MAWAIDHA YA KIISLAMU: Tusipuuze ibada ya zaka

Mwenye kujua ya kuwa kuna haki ya Mwenyezi Mungu katika mali yake, basi kwa mtu huyo malimkwake huwa ni neema. Mali isiwe sababu ya mja kupotea.  soma zaidi...


24/2/2012 comment

 

MGENI WETU : Tathmini ya ligi ya kandanda ya Kenya 2012

Wengi wanasubiri kuona ni kwa vipi wageni hao watakavyojizatiti msimu huu ama wataishia kunawa na wasile na hivyo kuyaaga mashindano hayo mwishoni mwa mwaka huu jinsi ilivyokuwa kwa wageni  wa  soma zaidi...


5/7/2013 comment

 

MGENI WETU : Mandela ni kiongozi aliyewagusa wengi duniani

Tarehe 18, Julai kila mwaka ni siku ya kimataifa ya Nelson Mandela. Lengo kuu ya kusherehekea siku hii ni kutambua mchango wa Mandela ulimwenguni kote. Mwaka huu ina umuhimu zaidi ikizingatiwa  soma zaidi...


4/1/2013 comment

 

Mauya Omauya : Hakuna tofauti kati ya shetani na mwanasiasa Kenya

Siasa ni mchezo wa paka na panya. Teuzi za wagombea vyeo katika Uchaguzi Mkuu ujao zimeahirishwa hadi Januari 17 ili washinde wasihame usiku.  soma zaidi...


20/11/2014 comment

 

MGENI WETU : Tudumishe vazi la Kiislamu

Malumbano makali yameibuka kuhusu mavazi. Karne ya ishirini na moja hii. Vijana wetu wanataka kwenda na wakati. Yameibuka mavazi ainati. Siku za hivi karibuni, cheche ya moto ni kama imeamua  soma zaidi...


20/12/2013 comment

 

MGENI WETU : KINAYA: Uhuru na Ruto wanacheza 'ligi ndogo', siasa zao ni duni

“Sikujua mchezo wa wanasiasa machachari niliopigia debe kwa fujo mapema mwaka huu haujatimu kiwango cha ligi ya premia. Uliwasikia juzi walivyomzomea na kumdhihaki Mbunge wa Nandi Hills, Bw Alfred  soma zaidi...


30/1/2015 comment

 

MGENI WETU : Mazingatio katika kujibu maswali ya fasihi

Licha ya mwendelezo wa uchambuzi wa kazi za kifasihi, ambao tumekuwa tukiangazia katika ukumbi huu, ni muhimu kuangazia jinsi ya kujibu maswali ya fasihi, ambayo kwa muda mrefu yamekuwa  soma zaidi...


27/12/2014 comment

 

MGENI WETU : Lugha ya wanyama katika mawasiliano

Ukweli usiopingika ni kwamba, wanyama huwasiliana. Suala iwapo wanatumia lugha kufanikisha mawasiliano yao ni la kuzua mjadala.  soma zaidi...


27/12/2014 comment

 

MGENI WETU : Tuzo kuzitambua kazi za Kiswahili pekee

Kuzinduliwa kwa shindano la Cornell Kiswahili Prize for African Literature, ni mwamko mpya katika kutambua kazi za fasihi ya Kiswahili.  soma zaidi...


4/7/2014 comment

 

MGENI WETU : KINAYA: Utakwenda Uhuru Park au Ikulu kwa Uhuru?

Miaka kadha iliyopita watu fulani unaojua walijaribu kuandaa Sabasaba wakatwangwa kwa marungu na Mzee Kirungu, wakaiahirisha hadi Nanenane, hata hiyo ikazimwa!  soma zaidi...


29/1/2015 comment

 

MGENI WETU : Ni muhimu mwandishi kutofautisha matbaa mbalimbali

Ni muhimu mwandishi kubaini ni mashirika gani ya uchapishaji ambayo hupendelea tanzu fulani kuliko nyingine. Kwa mfano kuna mashirika ambayo huchapisha fasihi ya watoto kwa wingi.  soma zaidi...


8/12/2014 comment

 

MGENI WETU : Mchango wa wakoloni katika uundaji wa lakabu

Lakabu ni jina la msimbo au la kupanga ambalo mtu hujibandika au hubandikwa kutokana na sifa zake za kimaumbile , kitabaka, kitabia au kimatendo.  soma zaidi...


2/5/2014 comment

 

MGENI WETU : KINAYA: Duale, Wetang'ula na wewe nani mjinga?

Ole wako hohehahe uliyejitokeza ukitarajia kipato kiongezwe! Ulikwenda miayo wakikihutubia, wakaondoka upesi kwenda kula nawe ukapiga mguu hadi Kawangware, Kibera, Mathare, Korogocho, Mukuru na  soma zaidi...


11/2/2015 comment

 

MGENI WETU : 

 soma zaidi...


25/2/2015 comment

 

MGENI WETU : BARA NA PWANI!!!

Shairi la Swila Mchiriza sumu linalolinganisha bara na pwani  soma zaidi...


10/1/2015 comment

 

MGENI WETU : Ufaafu wa mtindo wa uandishi

Baadhi ya wasomi wanahoji kwamba mtindo ni mbinu za kujieleza tu, zilizojengwa kwa madhumuni ya kuweka nguvu; kushawishi wasomaji kuzama katika mbubujiko wa maneno yanayojenga utanzu wa kazi yoyote  soma zaidi...


10/1/2015 comment

 

MGENI WETU : Maandalizi ya mapema siri ya kupasi mtihani

Matokeo ya mtihani wa KCPE yalitangazwa majuzi, bila chereko na mbwembwe ambazo huandama shughuli hiyo. Hata hivyo, haikuwa vigumu kubaini baadhi ya wanafunzi na shule zilizofua dafu.  soma zaidi...


29/5/2014 comment

 

MGENI WETU : KINAYA: Kwani Maina Njenga ni nguruwe mchafu?

Hivi Maina Njenga amenusurika kifo mara ya ngapi sasa? Sijui, lakini huo wa wiki jana unaonekana muujiza. Ikiwa huamini ni muujiza, hebu niambie risasi iliyokusudiwa kumaliza mtu inawezaje kufuma  soma zaidi...


23/3/2015 comment

 

MGENI WETU : Riwaya Kidagaa: Maudhui zaidi

Tunaendeleza uchambuzi wa  maudhui  katika  riwaya  ya  Kidagaa Kimemwozea.   soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu