2/5/2013 comment

 

Mathias Momanyi : Uchawi huanza nawe pamoja na imani yako

Haimaanishi kila unapozidiwa na maradhi eti ni mwisho wa kurasa zako humu duniani. Haimaanishi kila unapomwona paka amenaswa kibuyuni kwa milio tofauti tofauti eti ni majini au maajabu ya Musa!  soma zaidi...


11/4/2013 comment

 

Mathias Momanyi : Maradhi yawashangaza walimu Shangaa

Vitanda vya wanafunzi wengi Shangaa vimeshambuliwa na kunguni wanaotuliza ngozi kwenye magodoro zaidi ya mia saba. Afya za wanafunzi wengi Shangaa zinaashiria balaa na unyonge wa kustaajabisha.  soma zaidi...


12/3/2013 comment

 

Mathias Momanyi : Teknolojia imepiga wengi chenga

Ukuaji wa teknolojia na kasi ya kuasisi vifaa vya elektroniki, tayari umewabwaga wakenya, nikiwemo. Sisemi kuwa Wakenya hawajasoma lakini hawajaifahamu vyema mikakati ya kuidhibiti mitambo.  soma zaidi...


1/2/2013 comment

 

Mathias Momanyi : Miaka yawazidia wanafunzi Shangaa

Shuleni Shangaa, wanafunzi wazee wenye vitambulisho wangali madarasani. Huzungumza kwa sauti ya ubeji na kumsalimu mwalimu wao kwa jina "Mzeiya". Sare zinawaruka msomaji wangu! Kutokana na urefu  soma zaidi...


25/1/2013 comment

 

Mathias Momanyi : Michecheto Sangaa wanaposubiri matokeo ya KCPE

Siku ya Jumatatu mambo yatakuwa tebwere Shangaa kwa wapenzi watahiniwa wa mwaka uliopita. Kwa wengine mambo ni mswaki huku wengine wakiikwea milima ya jitimai.  soma zaidi...


24/1/2013 comment

 

Mathias Momanyi : Hasara ya uteuzi wa vyama kuandaliwa Shangaa

Shuleni Shangaa ambapo uteuzi wa vyama vya kisiasa uliandaliwa, madawati ya wanafunzi yamevunjwavunjwa. Viti vilikaliwa ndivyo sivyo, Kamusi kadha wa kadha zimeibwa. Ubaoni pameandikwa jumbe za  soma zaidi...


14/1/2013 comment

 

Mathias Momanyi : Miili minene ya wanafunzi balaa darasani

Wanafunzi sasa wameripoti Shangaa wakiwa wanene ajabu! Wengi wana vinena na mashavu yaliyoshobwekea ndani. Mashavu yana vidu, mabega kama mfumbati. Wanafunzi wanene hupata taabu sana kuelewa  soma zaidi...


30/11/2012 comment

 

Mathias Momanyi : Maombi ya watahiniwa siku hizi yamejaa vituko

Watoto wa siku hizi labda hawahudhurii madrasa, semina za maadili wala vikao vya mashababi vya Jumamosi na Jumapili. Wazazi mko wapi?  soma zaidi...


3/11/2012 comment

 

Mathias Momanyi : Nyani alivyotimka na karatasi za mtihani wa KCSE

Nasikitika kusema kuwa walimu walifurahia sana kupata mwanya huu wa kuwaruhusu wanafunzi kusomea mtihani badala ya kujiandaa kufanya mtihani. Do! Haki iko wapi? Tumlaumu nani katika mkasa huu?  soma zaidi...


22/9/2012 comment

 

Mathias Momanyi : Shangaa: Uchumi wazorotea walimu baada ya mgomo

Walimu wa Shangaa waliufakamia mgomo wakayasusia masomo wakasusia vipindi madarasani na sasa ngoma i karibu kuwapasukia viwambo.  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu