21/6/2015 comment

 

Peter Mwai : Uhuru asiwapite wakazi wa kaskazini anapowazuru wengine

Ningefurahi sana kumuona Rais Kenyatta akizuru na kukizindua hospitali ya kisasa Mandera, Lodwar au hata mjini Marsabit ambako ingawa hakuna kura nyingi, wakazi hutatizika zaidi.  soma zaidi...


29/5/2015 comment

 

Peter Mwai : Uhuru, kujipendekeza kwa umma pekee hakutoshi

Vitendo vya Rais Kenyatta kujinyenyekeza na kutangamana na watu vingelitumiwa kama kigezo cha utendakazi wa Rais, basi angeibuka nambari wani. Lakini ukweli ni kwamba haya huwa ya kufurahisha macho  soma zaidi...


8/5/2014 comment

 

Peter Mwai : Jubilee imesaliti maskini kwa kupuuza maafa ya pombe

Hatua ambazo zinachukuliwa na serikali hii siku baada ya siku, zinabainisha kwamba hamna tofauti kubwa sana kati ya serikali hii na serikali za awali. Ni serikali ya mabwanyenye ambao lengo lao ni  soma zaidi...


5/4/2013 comment

 

Peter Mwai : Magavana wamenoa kwa kulilia bendera

Magavana wameonyesha ulafi kwa kutaka kupeperusha bendera za Serikali ya Kitaifa kwenye magari yao. Inashangaza kwani bendera hizi ni za serikali ya kitaifa ambayo wenyewe wanadai kwamba hawafai  soma zaidi...


22/3/2013 comment

 

Peter Mwai : Wananchi pia wana maswali ya kujibu kuhusu uchaguzi

Wengi wametayarisha maswali wanayosema IEBC inafaa kujibu. Mtazamo wangu ni kwamba wananchi wenyewe na wanasiasa ndio wenye maswali makuu ya kujibu na ambao wanawajibika kwa yaliyotokea wakati wa  soma zaidi...


15/3/2013 comment

 

Peter Mwai : Uhuru na Ruto wateue vijana katika nyadhifa kuu

Matarajio yangu ni kwamba muungano wa Jubilee utatafuta wataalamu wa kuteuliwa kuwa mawaziri ambao watawezesha kutimizwa kwa ahadi nyingi walizotoa. Wakuu wake wasichague wazee waliokaa uongozini  soma zaidi...


8/3/2013 comment

 

Peter Mwai : Changamoto uchaguzini ni ishara za kutojiandaa vyema

Kila ishara zinaonyesha kwamba wakuu wa IEBC hawakutathmini maandalizi ya uchaguzi mkuu kwa kina na kujiandaa kwa baadhi ya changamoto ambazo zimeshuhudiwa.  soma zaidi...


2/3/2013 comment

 

Peter Mwai : Siri ya kuwa na siku njema Machi 4

Ukitaka siku yako iwe sawa, rauka muda wa kufunguliwa kwa vituo na kupiga kura yako kabla foleni hazijaanza kuwa ndefu. Uamuzi kuhusu nani utapigia ni wako binafsi! Kumbuka, ukipiga kura, jiendee  soma zaidi...


14/2/2013 comment

 

Peter Mwai : Dawa ya ukabila si maneno na ahadi tupu

Ninashangaa mbona wanasiasa hawawezi kuchukulia sisi sote kuwa Wakenya wenye haki sawa. Unapoanza kudai mwingine ni mkabila, tayari unatumia mizani ya kikabila. Hata wewe unaugua!  soma zaidi...


8/2/2013 comment

 

Peter Mwai : Wanasiasa wajadili sera zao kuhusu ardhi

Hakuna aliyekatazwa kujadili kuhusu sera ambazo atatumia kuhakikisha mamilioni wasio na ardhi wanaipata, na wale waliopokonywa wanairejesha. Lakini ni hatia kushambulia familia moja, au kundi ndogo  soma zaidi...


1/2/2013 comment

 

Peter Mwai : Kalonzo alinoa kuhusu maafisa wa utawala wa mkoa

Kwa kudai kwamba kuna njama ya kutumia idara nzima ya utawala wa mkoa kusaidia muungano wa Jubilee katika kampeni Bw Kalonzo Musyoka anawaweka hatarini maelfu ya maafisa ambao wamo kila pembe ya  soma zaidi...


4/1/2013 comment

 

Peter Mwai : Sheria mpya, nyani wale wale, vifo zaidi

Suluhisho la kupunguza ajali za barabarani ni kusafishwa kabisa kwa kikosi cha polisi kutoka juu kuelekea chini. Wakati umefika kwa wakuu kuchukulia kwa uzito ripoti za ulaji rushwa zinazotolewa na  soma zaidi...


28/12/2012 comment

 

Peter Mwai : Sera si kusema tu, ni kutenda

Kila uchao, tunawasikia wagombea wakuu wakiahidi kuwa kampeni zao zitaangazia sera. Lakini hakuna hata mmoja ambaye amekuwa akifanya hivyo na wimbo umekuwa ule ule wa ukabila, umri, vijana,  soma zaidi...


21/12/2012 comment

 

Peter Mwai : Misukosuko Jubilee ni matokeo ya ubinafsi

Vitimbi katika muungano wa Jubilee vimenifanya kukubaliana na Kiongozi wa Narc Kenya, Bi Martha Karua kwamba miungano yote iliyofanywa kabla ya uchaguzi mkuu haikuwa na azma ya kulinda maslahi ya  soma zaidi...


23/11/2012 comment

 

Peter Mwai : Serikali ilikosa kutuma majeshi Baragoi na Garissa

Kutumiwa kwa wanajeshi Baragoi na Garissa kulikuwa ukiukaji wa Katiba. Nina wasiwasi kwamba huenda wanajeshi 'wakajituma’ eneo lolote Kenya hasa kipindi hiki Kenya inapoelekea uchaguzini na  soma zaidi...


16/11/2012 comment

 

Peter Mwai : Vitambulisho visiwe kisingizio katika usajili

Ukweli ni kwamba wengi wa wanaolia kwamba hawana vitambulisho ndio wale wale wanaokosa kuvichukua vinapowasilishwa afisi za usajili wa watu wilayani na katika tarafa.  soma zaidi...


9/11/2012 comment

 

Peter Mwai : Kenya inahitaji kukomaa kidemokrasia kama Amerika

Kukomaa kisiasa kumeifanya hali Amerika kuwa kwamba wachanganuzi wanaweza kutumia vigezo vya asili na rangi kubashiri na pia kutabiri matokeo. Kura za maoni nazo huwa na ufasaha ajabu.  soma zaidi...


26/10/2012 comment

 

Peter Mwai : Utata kuhusu usajili wa wapiga kura ni hatari

Wapiga kura wasajiliwe kwa njia nyingine  soma zaidi...


19/10/2012 comment

 

Peter Mwai : Idara ya polisi iheshimu haki za kibinadamu

Ni jambo la kuchekesha kusikia wakuu wa usalama wakisema wanatumia tu nguvu kiasi.  soma zaidi...


21/9/2012 comment

 

Peter Mwai : Tume ilionyesha utepetevu katika chaguzi ndogo

Chaguzi ndogo katika maeneo bunge ya Ndhiwa, Kangema na Kajiado Kaskazini zilishuhudia visa vya ghasia, wizi wa kura na kucheleweshwa kwa matokeo. Ni matumaini yangu kwamba wakuu wa IEBC  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu