Mon Aug 08 10:49:12 EAT 2016 comment

 

Sylvester Mukele : KIZAAZAA: Leicester imetuza wachezaji BMW, Kenya ijifunze kitu

Ilikuwa shukrani ya aina yake mwishoni mwa wiki baada ya mmiliki wa klabu ya Leicester City kununua magari 19 aina ya BMW na kuwatuza wachezaji wa timu hiyo iliyonyakua taji la Ligi Kuu ya  soma zaidi...


Mon Apr 04 17:01:19 EAT 2016 comment

 

Sylvester Mukele : Arsenal na Harambee Stars hujiona paka mbele ya simba

KATIKA mojawpao ya mafunzo ya saikolojia ya maisha, washiriki huhimizwa kujitazama kama wao ni simba japokuwa kihalisia wao ni paka tu.  soma zaidi...


Fri Feb 21 13:19:32 EAT 2014 comment

 

Sylvester Mukele : Natakia vipusa wa Kenya kila la kheri FIVB

Kenya ikifuzu, itakuwa mara nyingine taifa hili kuwa miongoni mwa timu chache zitakazowakilisha bara katika mashindano ya dunia.  soma zaidi...


Mon Jun 17 11:40:37 EAT 2013 comment

 

Sylvester Mukele : Harambee Stars ilenge Urusi 2018

Ni dhahiri kwa sasa kwamba Harambee Stars haiwezi kufuzu kwa Kombe la Dunia Brazil 2014 na itakuwa busara kuu kuelekeza jitihada zote katika kufuzu kwa fainali za 2018 zitakazofanyika nchi Urusi.  soma zaidi...


Fri May 31 17:36:05 EAT 2013 comment

 

Sylvester Mukele : Wajerumani wamedhihirisha soka ina wenyewe

Asili ya soka si Uingereza au kwingineko kama inavyodhaniwa, bali Ujerumani ndicho kitovu cha mchezo huu.  soma zaidi...


Mon Apr 22 08:52:02 EAT 2013 comment

 

Sylvester Mukele : Ingwe iliharibia njia klabu ndogo za kikabila

Utovu wa nidhamu wa mashabiki wa AFC Leopards, siyo siri, haufikishi kandanda ya taifa hili popote; badala yake unairudisha nyuma. Ni tukio linalovurugia timu za kijamii sifa wala haliamshi hamu ya  soma zaidi...


Mon Mar 18 14:28:08 EAT 2013 comment

 

Sylvester Mukele : Usishangae kuona Benin na Congo Kombe la Dunia

Dalili zimeonyesha huenda mwaka huu kukazuka mshangao mkubwa kwani baadhi ya timu dhaifu na za wastani kama vile Congo na Benin zinaonekana kuchukua hatua kubwa kuelekea kufuzu kwa Kombe la Dunia.  soma zaidi...


Mon Mar 11 17:40:06 EAT 2013 comment

 

Sylvester Mukele : Harambee Stars haina uwezo wa kutatiza Nigeria

Nafasi ya Kenya kufanikiwa itakapokutana na Nigeria ni ndogo inapozingatiwa kuwa timu pinzani ni kali. Ni muujiza tu unaoweza kuokoa nchi yetu hasa matokeo ya awali yanapozingatiwa.  soma zaidi...


Thu Feb 14 15:07:52 EAT 2013 comment

 

Sylvester Mukele : Mbinu za Nandwa ndizo tiba ya Harambee Stars

Katika mechi zote ambazo zimetazamwa na mashabiki wa Harambee Stars kocha James Nandwa akiwa usukani, imebainika kuwa hana wasiwasi wala uoga anapopanga vijana wake katika uwanja.  soma zaidi...


Fri Feb 08 17:00:00 EAT 2013 comment

 

Sylvester Mukele : Harambee Stars wanastahili kufinyangwa kama kikosi cha raga 7s

Ili Kenya ipige hatua katika soka, inafaa kuiga vijana wa raga ya wachezaji saba kila upande. Hiki ndicho kikosi kilichofika fainali ya raga ya IRB Sevens mjini Wellington nchini New Zealand mnamo  soma zaidi...


Fri Feb 01 11:37:20 EAT 2013 comment

 

Sylvester Mukele : Makocha wa Kiafrika bado wanagaragara

Ni kweli kwamba wakufunzi wenye asili ya Kiafrika hawana ufundi wa kutosha na ni kama wana bahati mbaya katika kila wafanyalo.  soma zaidi...


Thu Jan 24 12:17:19 EAT 2013 comment

 

Sylvester Mukele : Ivory Coast ina nafasi bora zaidi AFCON

Tangu ipoteze mechi ya fainali dhidi ya Zambia mapema mwaka jana, timu hii haijashindwa katika mechi yoyote na nina imani kwamba itashinda taji la Taifa Bingwa Afrika (AFCON) mwaka huu.  soma zaidi...


Mon Jan 14 14:16:02 EAT 2013 comment

 

Sylvester Mukele : Wagombea wananoa kwa kututoa sera kuhusu michezo

Katika sera za wanasiasa wanaowania nyadhifa mbalimbali uchaguzini, lazima waeleze jinsi gani watakavyoimarisha soka kuanzia mashinani, lazima waonyeshe jinsi gani.  soma zaidi...


Wed Dec 26 15:00:39 EAT 2012 comment

 

Sylvester Mukele : Ingwe haiendi popote kama haitajua tatizo

AFC Leopards imo taabani msimu ujao kutokana na mizozo ya kila mara katika uongozi wake. Mizozo hii ndiyo iliyoinyima taji msimu wa 2012 na wala si kwa sababu ya kocha Koops kama baadhi  soma zaidi...


Fri Nov 30 14:42:31 EAT 2012 comment

 

Sylvester Mukele : Kenya ina fursa ya kujifufua kupitia Cecafa

Kenya ina nafasi ya kufuzu kwa hatua ya robo fainali hasa baada ya kutiwa katika kundi gumu isipokuwa linalojumuisha limbukeni Sudan Kusini.  soma zaidi...


Fri Nov 16 15:37:07 EAT 2012 comment

 

Sylvester Mukele : Heko Supersport kwa kufanikisha ligi

Shukrani lazima ziwaendee wale waliochangia pakubwa kuieneza na 'kuifufua’ ligi ya soka Kenya msimu uliomalizika majuzi. Kampuni ya runinga ya SuperSport inastahili hongera zisizopimika.  soma zaidi...


Fri Nov 09 16:12:46 EAT 2012 comment

 

Sylvester Mukele : Msimu huu unaonekana kuwa wa Chelsea na Man Utd

Siyo siri kuwa Chelsea na Manchester United zimedhihirisha uwezo mkubwa wa kushinda taji la Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu.  soma zaidi...


Fri Nov 02 13:48:27 EAT 2012 comment

 

Sylvester Mukele : Bado kuna matumaini katika soka Kenya

Baadhi ya viongozi wa soka wakati huo walipendelea kupeleka Harambee kucheza na mataifa hayo dhaifu kwa ajili ya kujipa pesa tu kutoka huko pamoja na kuimarisha mahusiano yao ya kibiashara.  soma zaidi...


Wed Oct 24 14:27:02 EAT 2012 comment

 

Sylvester Mukele : Kenya ijipe miaka miwili ndipo ifikie Uganda

Lazima Kenya ipite Uganda kwenye soka.  soma zaidi...


Mon Oct 15 15:41:28 EAT 2012 comment

 

Sylvester Mukele :  Kufika kwa Bafana ni ishara mpira unanoga

Kuna vipimo kadha muhimu ambavyo huonyesha kuwa taifa limezingatia kwa makini makuzi ya kandanda nchini mwake.  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu