Mon Jun 11 09:06:29 EAT 2018 comment

 

Mke mwenye busara

Mwanamke mwenye busara anaelewa wajibu kama; wajibu kama mama iwapo umejaliwa watoto na mipaka ya ndugu, jamaa na marafiki.  soma zaidi...


Tue Feb 20 08:45:29 EAT 2018 comment

 

Mke alikataa kuja nyumbani nikaoa mwingine

Mke wangu alipata kazi mbali na nyumbani na anaishi huko; ni siku nyingi hajaja nyumbani na nikimuuliza anadai hana pesa; nishauri.  soma zaidi...


Tue Feb 06 12:50:04 EAT 2018 comment

 

Mke wangu ametoroka na rafiki yangu wa mtaani

Mwanamke ambaye tumekuwa wapenzi kwa miaka miwili alihama ghafla mtaani bila kuniambia na mwanamume rafiki yangu pia amehama na nimechunguza nikagundua wameenda kuishi pamoja; nifanyeje?  soma zaidi...


Wed Jan 31 10:38:17 EAT 2018 comment

 

Mke tuliyeachana amenitenganisha na watoto

Tuliachana na sasa amenikataza kuwaona au kuwasiliana na watoto tuliozaa pamoja; nifanyeje?  soma zaidi...


Tue Jan 23 07:50:40 EAT 2018 comment

 

Mtoto amekataa kabisa kutoka chumbani mwetu

Tabia ya mtoto inatunyima raha zetu chumbani ingawa mama yake haonekani kujali; nifanye nini?  soma zaidi...


Sat Jan 20 18:03:30 EAT 2018 comment

 

Marafiki wa mpenzi wanamchochea aniache

Mpenzi wangu amebadili ghafla mipango yetu ya ndoa baada ya kushauriwa na marafiki zake atafute mwanamume mwenye kazi nzuri kwa sababu mimi ni kibarua tu; nishauri.  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu