Imepakiwa Tue Feb 06 12:50:04 EAT 2018
comment

 

Mke wangu ametoroka na rafiki yangu wa mtaani

Mwanamke ambaye tumekuwa wapenzi kwa miaka miwili alihama ghafla mtaani bila kuniambia na mwanamume rafiki yangu pia amehama na nimechunguza nikagundua wameenda kuishi pamoja; nifanyeje?  soma zaidi...


Imepakiwa Wed Jan 31 10:38:17 EAT 2018
comment

 

Mke tuliyeachana amenitenganisha na watoto

Tuliachana na sasa amenikataza kuwaona au kuwasiliana na watoto tuliozaa pamoja; nifanyeje?  soma zaidi...


Imepakiwa Tue Jan 23 07:50:40 EAT 2018
comment

 

Mtoto amekataa kabisa kutoka chumbani mwetu

Tabia ya mtoto inatunyima raha zetu chumbani ingawa mama yake haonekani kujali; nifanye nini?  soma zaidi...


Imepakiwa Sat Jan 20 18:03:30 EAT 2018
comment

 

Marafiki wa mpenzi wanamchochea aniache

Mpenzi wangu amebadili ghafla mipango yetu ya ndoa baada ya kushauriwa na marafiki zake atafute mwanamume mwenye kazi nzuri kwa sababu mimi ni kibarua tu; nishauri.  soma zaidi...


Imepakiwa Tue Jan 16 14:46:38 EAT 2018
comment

 

Ana familia na anasisitiza kuwa anataka kunioa

Mwanamume mwenye mke na watoto watatu anataka kuanzisha rasmi mipango ya kunioa; nifanyeje?  soma zaidi...


Most Popular