31/12/2017 comment

 

Jombi alimwa kupatwa akimega tunda la jirani Krismasi

KALAMENI mmoja kutoka eneo hili, atavuka mwaka akiuguza majeraha, kufuatia kichapo kikali alichopata baada ya kupatikana akitafuna tunda la jirani yake.  soma zaidi...


28/12/2017 comment

 

Mke taabani kwa kukosa kuandaa busaa Krismasi

Wenyeji wa eneo hili walipigwa na butwaa polo alipomzomea vikali mke wake kwa kukosa kuandaa busaa ya Krismasi.  soma zaidi...


17/12/2017 comment

 

Mhubiri mashuhuri afumaniwa akirina asali ya mke wa askari kando ya barabara

NDEIYA, Limuru KIOJA kilizuka hapa, baada ya mhubiri mashuhuri kufumaniwa akichovya asali ya mke wa afisa mmoja wa polisi kando ya barabara.  soma zaidi...


17/12/2017 comment

 

Pasta abomolea mwanawe nyumba kuigeuza ‘danguro’

BANANA, Kiambu PASTA wa hapa, alibomoa nyumba aliyomjengea mwanawe, akimlaumu kwa kuitumia kama danguro.  soma zaidi...


17/12/2017 comment

 

Ahepa mkewe kuhusu bajeti kali ya Krismasi

KIZAAZAA kilizuka eneo hili, baada ya kipusa kumpa polo bajeti ya krismasi. Kulingana na mdokezi, polo alimzomea kipusa huku akimkumbusha jinsi maisha yalivyomkalia vibaya mwaka mzima.  soma zaidi...


28/11/2017 comment

 

Amzomea mumewe kumuachia kijibaridi usiku kucha

SIAKAGO, EMBU DEMU mmoja kutoka sehemu hii alishangaza wapangaji plotini kwa kukemea mumewe kwa kumuacha kwenye baridi na kwenda kuhudhuria kesha kanisani bila kumwarifu.  soma zaidi...


28/11/2017 comment

 

Pasta pabaya kwa kuahidi miujiza hewa

WAUMINI wa kanisa moja mjini hapa walizua kasheshe walipomzomea pasta wao peupe baada ya miujiza aliyokuwa amewaahidi kukosa kutimia!  soma zaidi...


15/11/2017 comment

 

Mganga amuonya vikali mhubiri kumvurugia kazi

TABIBU wa mitishamba eneo hili alitishia kumchukulia hatua kali mhubiri mmoja akidai amekuwa akimharibia kazi kwa kudai yeye ni tapeli.  soma zaidi...


15/11/2017 comment

 

Marafiki watibuana sababu ya kidosho

URAFIKI wa makalameni waliokuwa wakiishi katika chumba cha kupanga sehemu hii ulifikia kikomo waliporushiana makonde wakizozania demu mgeni katika ploti.  soma zaidi...


15/11/2017 comment

 

Akasirikia pasta kwa kukataa kumfanya mpishi wake

KIOJA kilishuhudiwa sehemu hii mama mmoja aliponunia pasta wake kwa kutomchagua kuwa mpishi jikoni kila Jumapili.  soma zaidi...


8/11/2017 comment

 

Sms ya mpango wa kando usiku yalisha demu kichapo

MWANADADA wa hapa alilazimika kuhepa usiku kuepuka kichapo mumewe alipogundua alikuwa na mpango wa kando.  soma zaidi...


6/11/2017 comment

 

Lofa mtafuna ‘vifaranga’ afurushwa na wananchi

Jamaa alilazimika kutoroka hapa baada ya wakazi kuapa kumwadhibu wakimlaumu kwa kuwadhulumu kimapenzi wasichana wa umri mdogo.  soma zaidi...


6/11/2017 comment

 

Kisura atimua dadake kwa kunyemelea mumewe

Kipusa aliyeolewa na mzungu mjini hapa alimtimua dada yake aliyekuwa akiishi naye akidai alikuwa na njama za kumnyemelea mumewe. Kipusa huyo alianza kwa kushuku tabia ya dada yake ya  kuvalia  soma zaidi...


2/11/2017 comment

 

Mpishi wa hoteli akutwa ameficha mahamri kwa suruali

KALAMENI mmoja kutoka sehemu hii alikiona cha mtema kuni alipofumaniwa na mwenye hoteli jikoni akiwa ameficha mahamri kwenye mifuko ya suruali yake.  soma zaidi...


2/11/2017 comment

 

Mimba ni yangu, polo apayuka kuzima harusi

Kalameni mmoja kutoka eneo hili aliwashangaza wengi aliposimamisha harusi akidai kwamba bi harusi alikuwa na mimba yake.  soma zaidi...


1/11/2017 comment

 

Demu azaba fisi kofi kwa kumpapasa matiti baani

KIZAAZAA kilishuhudiwa kwenye kilabu moja mjini hapa kalameni alipoangushiwa kichapo na mhudumu wa kilabu hiyo akimlaumu kwa kumpapasa matiti.  soma zaidi...


1/11/2017 comment

 

Pasta apiga marufuku mke aanikaye ushuhuda wa ndoa kanisani

PASTA wa kanisa moja mjini hapa alishangaza waumini kwa kudai kwamba mke wake hajui kuficha siri za nyumbani.A  soma zaidi...


1/11/2017 comment

 

Kalameni ahama ploti mke kuolewa na jirani

JAMAA wa hapa aliamua kuhama ploti baada ya kugundua mkewe waliyetengana naye alikuwa ameolewa na jirani yake.  soma zaidi...


2/10/2017 comment

 

Mapolo wazuia pasta akijisaidia kwenye choo cha klabu

Kyondoni, MASINGA WALEVI kutoka sehemu hii, walishangaza wengi walipomzuia pasta kuingia kwenye choo cha kilabu kwa haja ndogo.  soma zaidi...


2/10/2017 comment

 

Azomea vipusa kumkejeli kwa kufulia mchumba wake sidiria

KALAMENI mmoja mjini hapa, alishangaza wapangaji plotini alipowazomea vipusa wawili waliomkejeli kwa kumpata akifua nguo za mwanamke nje ya chumba chake.  soma zaidi...


2/10/2017 comment

 

Aanikwa hadharani na mpenzi wake wa zamani kwa kuwa ovyo kitandani

Suna, MIGORI WENYEJI wa eneo hili, walibahatika kutazama sinema ya bure baada ya mrembo kumzomea vikali mchumba wake wa zamani.  soma zaidi...


8/7/2017 comment

 

Amlipa kimada laki moja asitoboe siri

JOMBI wa hapa alilazimika kutoa zaidi ya Sh100,000 kwa mpango wake wa kando kumshawishi asimharibie ndoa yake. Inasemekana jamaa huyo alikuwa ameweka kimada licha ya kuwa na mke nyumbani na watoto  soma zaidi...


30/5/2017 comment

 

Pasta asahau Biblia kwa hawara baada ya kuonjeshwa asali

PASTA wa mji huu alijipata kwenye kona mbaya alipoenda kutoa huduma ya maombi kwa nyumba ya mwanamke moja bila kufahamu kwamba alikuwa hawara.  soma zaidi...


30/5/2017 comment

 

Pasta amramba kofi muumini mpenda anasa kwa kusinzia

KASISI wa kanisa moja eneo hili aliwaacha wafuasi vinywa wazi alipomtimua muumini aliyesinzia alipokuwa akihubiri neno la Mungu.  soma zaidi...


29/5/2017 comment

 

Atandikwa na sponsa kwa kunyemelea asali

SINEMA ya bure ilishuhudiwa katika duka moja mtaani hapa kalameni alipoangushiwa mangumi mazito na buda kwa kumpata akitongoza mpango wake wa kando katika biashara aliyomwekea.  soma zaidi...


29/5/2017 comment

 

Kidosho mwizi wa penzi plotini afurushwa

KIZAAZAA kilizuka hapa wanawake walipoungana na kumtimua mwanadada mmoja wakimlaumu kwa kuwanyakua wanaume wa wenyewe.  soma zaidi...


25/5/2017 comment

 

Kizaazaa kipusa kupata chupi kwa sanduku la polo baada ya harusi

KIZAAZAA kilitokea katika boma moja mtaani hapa kipusa alipotisha kumpa jamaa talaka saa chache baada ya kufunga pingu za maisha alipopata chupi ya mwanamke kwenye sanduku la nguo la polo.  soma zaidi...


25/5/2017 comment

 

Afurusha walevi kwa kumkosesha usingizi

KISANGA kilizuka hapa mama alipovamia kilabu kimoja usiku na kuwatimua walevi akiwalaumu kwa kumkosesha usingizi kwa kelele.  soma zaidi...


24/5/2017 comment

 

Aonja kofi la mkewe kwa kuzubaia kidosho

KULITOKEA kisanga kwenye steji ya kuabiri matatu eneo hili jombi alipopigwa kofi kali na mkewe kwa kuwakodolea macho vipusa.  soma zaidi...


24/5/2017 comment

 

Kalameni ashambuliwa na kisura kwa kununulia rafiki keki

KIOJA kilizuka katika chuo hiki baada ya polo kushambuliwa na mrembo kwa kumnunulia rafiki yake keki siku yake ya kuzaliwa.  soma zaidi...


24/5/2017 comment

 

Jombi aacha mlo hotelini kuhepa mke na mwanawe

JOMBI aliwaacha wateja katika hoteli moja eneo hili wakiangua kicheko alipoacha chakula alichoagiza na kutoroka baada ya kumuona mkewe na mtoto.  soma zaidi...


24/5/2017 comment

 

Jombi atandikwa kofi na mke kwa kumwaga mtama

KIOJA kilizuka eneo hili baada ya polo kuzabwa kofi kali na mkewe akimlaumu kwa kuwafichulia ndugu zake tabia zake.  soma zaidi...


22/5/2017 comment

 

Jombi auza bidhaa za nyumba na ploti ili aponde raha

AKIRIAMET, TESO KALAMENI mmoja kutoka eneo hili aliwashangaza wengi alipouza ploti ili apate hela za kuponda raha.  soma zaidi...


22/5/2017 comment

 

Aliyepoteza mchujoni pia apoteza msupa

Masaibu ya polo aliyepoteza katika kura za mchujo hivi karibuni yalizidi kuongezeka kisura mpenzi wake wa kando alipomtema.  soma zaidi...


22/5/2017 comment

 

Mama amshtaki polo kwa kumnyima asali

MAMA wa hapa alishangaza wanakijiji kwa kumshtaki mumewe kwa wazee wa jamii akidai alikataa tendo la ndoa alipofika nyumbani baada ya kuwa mbali naye kwa zaidi ya miezi mitatu.  soma zaidi...


21/5/2017 comment

 

Kioja wasanii wawili kupigania steji ya magari

WAKAZI wa mji huu juzi waliwaonya wasanii wawili walio na mazoea ya kuzozania sehemu ya kituo cha magari wanayotumia kuwatumbuiza mashabiki.  soma zaidi...


21/5/2017 comment

 

Kipusa adai malipo kwa kuishi na jombi

WENYEJI wa eneo hili walibahatika kutazama sinema ya bure kipusa alipomlazimisha polo kumlipa fidia kwa muda aliokaa naye.  soma zaidi...


18/5/2017 comment

 

Akataa mlo baada ya kusikia jirani 'aliokoa jahazi' kwake

KALAMENI aliyekataa kumpatia mkewe pesa za kununua chakula alikasirika kusikia ya kwamba mwanamume jirani yake aliokoa jahazi.  soma zaidi...


18/5/2017 comment

 

Polo achemka kisura kumrushia mistari

SINEMA ya bure ilishuhudiwa kwenye basi linalohudumu barabara hii kalameni alipozusha akiteta kuwa kimwana aliyeketi kando yake alikuwa akimkatia ilhali ana mke.  soma zaidi...


17/5/2017 comment

 

Ashindwa ampe mke yupi zawadi aliyopewa na rafikiye

MZEE mwenye wake wawili alitokwa na kijasho aliposhindwa ni mke yupi wa kumpa zawadi aliyotunukiwa na rafiki yake  soma zaidi...


17/5/2017 comment

 

Mzee wa kanisa ajuta kuonja tunda haramu

POLO wa hapa alipata aibu ya mwaka pale ilipobainika kuwa alivamiwa na kuadhibiwa baada ya kumfumaniwa akichovya asali kutoka mzinga wa mwanamume mwingine na wala hakuwa amepata ajali jinsi  soma zaidi...


11/4/2017 comment

 

Buda achemka kufumania mkewe kilabuni na mapolo

KIZAAZAA kilizuka hapa polo alipomzaba mkewe makofi makali baada ya kumpata ndani ya kilabu akiketi kati kati ya makalameni akitazama mpira. Inasemekana mkewe alikuwa amekamata chupa ya pombe  soma zaidi...


15/3/2017 comment

 

Landilodi mashakani kwa kutupa chambo plotini

KIOJA kilitokea sehemu hii landilodi alipokabiliwa vikali na wapangaji na mkewe kwa tabia ya kunyemelea wake wa watu plotini.  soma zaidi...


2/3/2017 comment

 

DONDOO: Kimada na mama boi wapapurana hadharani

KIZAAZAA kilizuka eneo hili baada ya kidosho kumvamia mke wa polo akimlaumu kwa kumzuia mumewe kumuoa mke wa pili.  soma zaidi...


10/10/2016 comment

 

Jombi na mkewe wagongana kilabuni kila mmoja akiwa na mpango wa kando

Kizaazaa kilizuka katika baa moja eneo hii baada ya jamaa na mkewe kukutana kila mmoja akiwa na mpango wa kando.  soma zaidi...


26/9/2016 comment

 

Polo watwangana kwa sababu ya githeri

Makalameni waliokuwa kazini hapa Zimmerman waliwashangaza wapita njia baada ya kupiganana wakizozania githeri.  soma zaidi...


4/9/2016 comment

 

Jombi amtoroka 'mpango wa kando' ndotoni uchi

WAKAZI wa hapa walishabikia kisa cha kushangaza jombi alipochomoka nyumbani uchi wa mnyama akiwa kwenye ndoto akidai alikuwa akikimbizwa na mpango wa kando.  soma zaidi...


30/8/2016 comment

 

Seremala ala makofi kwa kumtamani kidosho

Kioja kilitokea kwenye matatu moja inayohudumu eneo hili la Wang'uru jombi alipoangushiwa kichapo kikali na buda kwa kukatia mwanadada akiahidi kumfungulia biashara.  soma zaidi...


29/8/2016 comment

 

Kisura azabwa konde kwa kumtemea mate X wake

DEMU mmoja sehemu hii alijipata pabaya alipozabwa kofi kwa kumtemea mate jamaa baada ya kumtema.  soma zaidi...


25/8/2016 comment

 

Buda na kipusa wazua sinema ya bure kwa baa

KIOJA kilizuka katika baa moja inayopatikana eneo hili baada ya polo na kipusa kuraruliana nguo hadharani wakizozania bili ya pombe.  soma zaidi...


24/8/2016 comment

 

King'asti msomi atimuliwa kwa kuposwa na taniboi

KIPUSA mmoja kutoka hapa alilazimika kutoroka kwao baada ya wazazi wake kumkataa mpenzi wake walipogundua kwamba alikuwa makanga wa matatu.  soma zaidi...


23/8/2016 comment

 

Kipusa amgeuka pasta mumewe siku ya harusi

KIOJA kilitokea hapa demu alipokataa kufunga harusi baada ya kugundua kwamba mchumba wake ambaye ni pasta alikuwa na mpenzi mwingine.  soma zaidi...


18/8/2016 comment

 

Nataka harusi rasmi, mama watoto awakia polo

MWANADADA mmoja kutoka hapa alizomewa vikali na mumewe alipomtaka wafunge ndoa kanisani ilhali hakuwa tayari kufanya hivyo.  soma zaidi...


12/8/2016 comment

 

Kalameni ajuta kurina asali ya bawabu

Kalameni wa hapa alijipata pabaya alipofumaniwa akichovya asali kutoka mzinga wa jirani yake ambaye ni bawabu.  soma zaidi...


10/8/2016 comment

 

Kalameni na kipusa wake wafumaniwa wakila uroda shambani

Jombi mmoja na kidosho wake walijipata pabaya hivi majuzi walipofumaniwa na bwanyenye mmoja wakila uroda kwenye ua wa boma lake.  soma zaidi...


9/8/2016 comment

 

Kipusa afumania rafiki mnafiki akimwibia penzi

Kioja kilizuka katika baa moja hapa mtaani Mwiki baada ya kipusa kumfamania mpenzi wake akijivinjari na kidosho rafiki yake.  soma zaidi...


8/8/2016 comment

 

Yaya na shambaboi wafumaniwa na mdosi wakila busu

Kipusa aliyekuwa akifanya kazi katika boma moja kijijini hapa alipigwa kalamu alipofumaniwa akipigana mabusu na shamba boi ambaye alikuwa mpango wa kando wa bosi wake.  soma zaidi...


7/8/2016 comment

 

Mke ala makonde kwa kufagia minofu ya nguruwe peke yake

JOMBI aliwaacha wenyeji wa eneo hili vinywa wazi baada ya kumpa mkewe kichapo kikali akidai alimmalizia kitoweo cha nyama ya nguruwe.  soma zaidi...


4/8/2016 comment

 

Pasta afumaniwa akimchuna ngozi kondoo wake

PASTA wa kanisa moja eneo hili alipokezwa kichapo cha mbwa koko na wakazi alipofumaniwa akirushana roho na mke wa muumini wa kanisa lake katika chumba chake kanisani.  soma zaidi...


4/8/2016 comment

 

Apigwa kalamu kwa kung'ara kuliko bosi

Kipusa mmoja mjini hapa alipoteza kazi kwa kuvalia vizuri kuliko mke wa mdosi wake.  soma zaidi...


12/6/2016 comment

 

Polo aliyedhani ndoa ni asali tu ajua ukweli

POLO wa eneo hili alijipata pabaya alipokataa kuwajibikia mimba aliyompachika mwanadada akisema alikuwa akisingiziwa.  soma zaidi...


29/5/2016 comment

 

Mpango wa kando alijileta chumbani singekataa tunda, buda ahadithia

BUDA wa mtaa huu aliwaacha majirani midomo wazi alipokiri kwamba alianza mpango wa kando na kipusa jirani kwa sababu alijileta kwake mwenyewe.  soma zaidi...


23/5/2016 comment

 

Jombi arudi ocha kusaka aliyemroga

Kalameni aliwashangaza wenyeji wa eneo hili aliporejea kutoka jijini kwa lengo la kumsaka mtu aliyeshuku alimroga. Inasemekana kuwa lengo la polo lilikuwa ni kumwadhibu aliyemroga.  soma zaidi...


21/5/2016 comment

 

Mama afumaniwa juu ya paa kwa jirani akifanya sarakasi

Kulizuka kioja katika mtaa hapa baada ya mama mmoja kupatikana kwenye paa la nyumba ya mwenyewe usiku akifanya vituko vya uchawi.  soma zaidi...


20/5/2016 comment

 

Polo arukwa na akili baada ya Sportpesa kunyonya hela zake

MAMA kutoka eneo hili aliwashangaza wakazi kwa kutisha kumripoti mumewe kwa polisi akidai alichanganyikiwa baada ya kupoteza pesa nyingi kwenye mchezo wa bahati nasibu.  soma zaidi...


19/5/2016 comment

 

Vimada wang'ang'ania polo kama mpira wa kona mbele ya mke wake

Kioja kilizuka mtaani hapa vipusa wawili walipomenyana vikali wakimng’ang’ania polo mbele ya mke na watoto wake.  soma zaidi...


18/5/2016 comment

 

Walishana bakora kukosa kuelewena kuhusu ukali wa pombe

Kulizuka hali ya taharuki katika boma la mama pima mmoja wa hapa Wire, Oyugis walevi walipoanza kulishana bakora baada kukosa kuelewana kuhusu ukali wa pombe waliokuwa wakiteremsha.  soma zaidi...


17/5/2016 comment

 

Nusura pasta avunjike guu baada ya kufumaniwa akimla kondoo

PASTA anayehubiri katika kanisa moja mjini hapa nusura avunjike mguu akitorokea dirishani alipofumaniwa akizini kwa mshirika wa kanisa lake.  soma zaidi...


16/5/2016 comment

 

Jombi adinda kulipa mahari akidai mke ni mvivu

Kalameni kutoka eneo hili, alishangaza mashemeji wake baada ya kuwaeleza kuwa wasitarajie mahari yoyote kwa sababu dada yao alikuwa mvivu.  soma zaidi...


15/5/2016 comment

 

Demu aanika wazi ufisi wa polo kwa harusi

Kizaazaa kilizuka katika kanisa moja eneo hili kipusa alipomtaka pasta kusimamisha harusi akidai alikuwa na mimba ya bwana harusi.  soma zaidi...


14/5/2016 comment

 

Aibu ya mwaka kwa mwalimu kudaiwa madeni na wanakijiji hadharani

Shughuli katika shule moja ya msingi zilisimama kwa muda wa saa mbili baada ya mwalimu mmoja kudaiwa madeni na wanakijiji wa eneo hili.  soma zaidi...


14/5/2016 comment

 

Polo amzaba makonde mke kwa kutumiwa jumbe za mahaba Facebook

Jombi mmoja kutoka eneo hili alimwadhibu mkewe vibaya kwa madai kuwa amejiunga na mtandao wa kijamii. Mwanamume huyo mwenye umri wa miaka, 55, alishangwa na hatua ya mkewe, 32, ya kujiunga na  soma zaidi...


9/5/2016 comment

 

Jombi ajuta kuwatuma watoto karo kwa wakwe zake

Jombi mmoja kutoka eneo hili aliyekuwa na mazoea ya kuwatuma wanawe kwa wakwe zake kuchukua karo na mahitaji mengine alijipata pabaya baada ya kuzomewa na wanakijiji.  soma zaidi...


9/5/2016 comment

 

Kalameni afurushwa chamani kwa dai ni mpishi

Mwanamume mmoja kutoka mji huu alitimuliwa kwenye kikao cha wazee kwa madai hupenda kuingia jikoni kwa lengo la upishi.  soma zaidi...


9/5/2016 comment

 

Jombi alisha watoto mijeledi kwa kufikiri walimwita 'punda'

Watoto wa familia moja katika kitongoji hiki wanajuta baada ya kuadhibiwa vikali na baba yao kwa kutumia lugha ambayo haelewi.  soma zaidi...


6/5/2016 comment

 

Kalameni amlisha demu kipigo baada ya kumfumania na mpango wa kando

Mwanadada kutoka eneo hili alijipata pabaya mumewe alipompokeza kichapo na kumtema baada ya kumfumania katika hali ya kutatanisha na buda aliyeshuku kuwa mpango wake wa kando.  soma zaidi...


3/5/2016 comment

 

Machozi yamtoka ajuza kuona ndevu za pasta zinafanana na beberu wake aliyeibwa

Ajuza mmoja katika sehemu hii aliwashangaza waumini na mhubiri kwa kuwa na huzuni wakati wa ibada. Mwanamke huyo alifika kanisani mapema ilivyo desturi yake lakini hakuwa mchangamfu.  soma zaidi...


3/5/2016 comment

 

Machozi yamtoka ajuza kuona ndevu za pasta zinafanana na beberu wake aliyeibwa

Ajuza mmoja katika sehemu hii aliwashangaza waumini na mhubiri kwa kuwa na huzuni wakati wa ibada. Mwanamke huyo alifika kanisani mapema ilivyo desturi yake lakini hakuwa mchangamfu.  soma zaidi...


26/4/2016 comment

 

Mbwa wararua polo akinyemelea demu

POLO wa hapa alipata majeraha aliposhambuliwa na mbwa wakali akimsubiri kipusa aliyekuwa akimmezea mate.  soma zaidi...


21/4/2016 comment

 

Jombi ampa mke kichapo kwa kukumbatia mwanasiasa

Mwanamke mmoja aliye na tabia ya kumpiga busu mwaniaji yeyote wa kiti cha siasa alipata aibu ya mwaka baada ya kupata kichapo kutoka kwa mumewe hadharani.  soma zaidi...


21/4/2016 comment

 

Polo ajuta kwa kupelekea wakwe chupi kama nyongeza ya mahari!

MATHAKWAINI, NYERI Jombi mmoja eneo hili anajuta baada ya kuwapelekea wakwe zake mavazi ya ndani yakiwa nyongeza ya mahari.  soma zaidi...


21/4/2016 comment

 

Muziki mchafu wa pasta wafanya waumini kususia ibada

WAUMINI wa kanisa moja katika eneo hili walisusia ibada ya Jumapili baada ya pasta kuwa na mazoea kuabiria bodaboda zinazocheza muziki uliokiuka maadili na mafundisho ya dini.  soma zaidi...


18/4/2016 comment

 

Jombi ampa mkewe red card kwa kuhepesha pesa

MATULO, Webuye MAMA wa hapa alipata talaka baada ya mumewe kugundua kwamba aliiba pesa zake na kumpelekea mama yake mzazi.  soma zaidi...


17/4/2016 comment

 

Polo alimwa na mke kwa kukataa kutoa namba siri ya ATM

DANDORA, Nairobi JOMBI wa mtaa huu alijipata pabaya baada ya mkewe kumkabili bila huruma na kumjeruhi alipokataa kumpa nambari ya siri ya ATM yake.  soma zaidi...


17/4/2016 comment

 

Mke arukia kalameni kula kwa demu jirani

TENKWEN, Bomet KALAMENI wa eneo hili alipata aibu ya mwaka alipozomewa na mkewe baada ya kupatikana akila ugali katika nyumba ya kipusa jirani yao.  soma zaidi...


4/4/2016 comment

 

Polo mtanashati afanya demu na mdosi wapigane

KIOJA kilishuhudiwa mjini hapa demu alipotwangana na mke wa mwajiri wake waking’ang’ania barobaro aliyekuwa mteja katika hoteli waliyokuwa wakichapa kazi.  soma zaidi...


3/4/2016 comment

 

Mke alishwa talaka kwa kupakulia mume chakula cha kitoto

JOMBI mmoja wa hapa aliwaacha majirani vinywa wazi kwa kumtaliki mkewe akimlaumu kwa kuwa na mazoea ya kumpakulia ugali ambao hakuweza kushiba.  soma zaidi...


3/4/2016 comment

 

Aibu kwa mzee wa kanisa baada ya kufichuka alizaa na kiruka njia

KIOJA kilizuka katika kanisa moja mjini hapa mzee wa kanisa alipotupiwa mtoto na mpango wake wa kando ibada ikiendelea.  soma zaidi...


2/4/2016 comment

 

Mama azuia mwanawe kuoa muuza-baa mke wa pili

Polo wa hapa Lita, Machakos alijipata katika njia panda pale jaribio lake la kuoa mke wa pili lilipotibuliwa na mama yake aliyetisha kumlaani.  soma zaidi...


30/3/2016 comment

 

Fundi alishwa makonde kwa kuvalia viatu vya kastoma

FUNDI mmoja wa viatu mtaani hapa, alijipata pabaya baada ya kupatikana akivaa viatu vya kastoma.  soma zaidi...


28/3/2016 comment

 

Utingo mdaganyifu akutana na saizi yake

UTINGO mmoja alijipata pabaya baada ya kukabwa koo na abiria wa kike aliyekasirika baada ya kugundua kwamba alimdanganya.  soma zaidi...


15/3/2016 comment

 

Makalameni wazima ulaghai wa mganga

Ujanja wa mganga mmoja wa eneo hili la Kitale ulifikia kikomo baada ya kuvamiwa na mapolo wawili kwa kuwalaghai Sh10,000 akidai angemtibu ndugu yao.  soma zaidi...


29/2/2016 comment

 

Pasta alimwa makonde kwa kurushia mistari kisura wa muumini

MHUBIRI wa kanisa moja mtaani hapa, nusra ajikatie tikiti ya bure ya kwenda jongomeo alipofumaniwa kwa kidosho na mpenzi wa mwanadada huyo.  soma zaidi...


16/2/2016 comment

 

Mama aungama kula tunda na shamba-boi

Mama wa hapa aliwaacha wakazi kinywa wazi alipoungama kwamba alizini na shamba boi kulipiza kisasi tabia ya mumewe ya kula uroda na yaya.  soma zaidi...


15/2/2016 comment

 

Uganga wazua ngumi kati ya wake-wenza

Wakazi wa eneo hili walitazama sinema ya bure pale wake-wenza walipochapana makonde mmoja alipomlaumu mwenzake kwa kwenda kwa mganga kumzuia mume wao kutembelea  boma lake.  soma zaidi...


14/2/2016 comment

 

Polo aangushiwa kichapo kwa kukiri alimramba maiti

Kioja kilitokea katika ibada moja ya mazishi mtaani hapa jamaa alipoangushiwa kichapo kikali kwa kufichua kwamba marehemu alikuwa mpango wake wa kando licha ya kuwa mke wa mtu.  soma zaidi...


11/2/2016 comment

 

Pasta na polo vitani waking'ang'ania mjane

Sinema ya bure ilishuhudiwa kwenye boma moja mtaani hapa pasta na kapera walipolishana makonde waking’ang’ania mjane.  soma zaidi...


11/2/2016 comment

 

Weita atiwa adabu kwa kuwapora walevi

Mhudumu wa baa katika soko hili aliamua kumkubali Yesu kuwa mwokozi wa maisha yake alipopokezwa kichapo na walevi walipogundua hila yake ya kuwaongezea bili kila wakati wakilewa chakari.  soma zaidi...


11/2/2016 comment

 

Mpangaji ajipata bila makazi asubuhi kwa kudharau landilodi

Polo alifukuzwa katika ploti aliyokuwa akiishi baada ya kumrushia landilodi kodi ya nyumba alipoenda kumdai.  soma zaidi...


11/2/2016 comment

 

Apokonywa mkewe kilabuni na jamaa mwenye mfuko mzito

Jombi alijuta baada ya kupokonywa mke na mwanamume mwingine alipoandamana naye kujivinjari katika kilabu maarufu mjini hapa.  soma zaidi...


9/2/2016 comment

 

Mwanadada pabaya kutumia pasta SMS ya mapenzi

Kizaazaa kilizuka eneo hili la Kauti, Kathiani mke wa pasta wa Kanisa moja alipojawa na hasira za mkizi na kumcharaza muumini wa kike kwa kumtumia mumewe arafa ya mapenzi.  soma zaidi...


4/2/2016 comment

 

Akamatwa akiruka ua wa jirani usiku

Siku ya arobaini ilifika kwa polo wa eneo hili la Makongeni, Thika alipokamatwa akijaribu kuruka ua kuingia kwa jirani kuwanyemelea mabinti usiku.  soma zaidi...


3/2/2016 comment

 

Jombi mpenda chupa ala viboko kutelekeza

Buda wa hapa Ngandu, Nyeri alijuta baada ya kuchapwa vikali na mkewe kwa kukosa kufika mbele ya kikao cha wazee wa kijiji.  soma zaidi...


2/2/2016 comment

 

Demu amchemkia polo kwa kumtongoza hadharani

Umachachari wa polo wa hapa ulimtia mashakani alipozomewa na kidosho kwa kufanyia mzaha maumbile yake ya kuvutia.  soma zaidi...


2/2/2016 comment

 

Agutushwa na makofi ya mkewe kwa kulowesha kitanda

Kalameni wa hapa anajuta baada ya kupokezwa kichapo kikali na mkewe kwa kwenda haja ndogo kitandani.  soma zaidi...


1/2/2016 comment

 

Binti azomewa na kina mama kwa kutovaa sidiria

Demu mmoja mtaani hapa alijipata pabaya, akina mama walipomuaibisha mbele ya umma wakidai alikuwa na mazoea ya kutovalia sidiria.  soma zaidi...


29/1/2016 comment

 

Jombi alishwa mijeledi na chifu kwa kumbeza

Kalameni aliyejidai jasiri zaidi alijipata pabaya baada ya kumtusi chifu wa eneo hili.  soma zaidi...


29/1/2016 comment

 

Purukushani polo akilazimishwa kumpenda mkewe

Rabsha zilizuka katika boma eneo hili, jamaa alipolazimishwa na wazazi wake kuandamana na mkewe mjini baada ya kumtelekeza mashambani.  soma zaidi...


29/1/2016 comment

 

Atwangwa kwa kupatikana ndani ya mzinga wa rafiki yake

Kalameni wa hapa nusura ajikatie tiketi ya bure  kwenda ahera alipofumaniwa akichovya asali ya mke wa rafiki yake.  soma zaidi...


26/1/2016 comment

 

Polo amtandika mkewe kwa kupeleka hela kwao kisiri

Kizaazaa kilizuka eneo hili baada ya polo kumwadhibu mkewe alipogundua kwamba alipeleka pesa alizonuia kujenga nyumba kwao kisiri.  soma zaidi...


26/1/2016 comment

 

Mbunge achomolewa pochi akipanda jukwaani

Mbunge mmoja nusura atokwe na machozi wachomozi walipotoweka na pochi lake alipokuwa akipanda jukwaani kujiunga na wanasiasa wenzake wakati wa mkutano wa hadhara.  soma zaidi...


26/1/2016 comment

 

Jombi afurusha kina mama waliofika kwake kumwombea

Jombi wa hapa aliwashangaza wengi kwa kuwatimua akina mama walioenda kumuombea akiwa mgonjwa.  soma zaidi...


26/1/2016 comment

 

Demu atemwa kwa kuzidiwa na tamaa

Mwanadada kutoka mtaa huu, hakuamini macho yake alipotemwa na mumewe kwa kuwa na tamaa ya kutaka kila kitu.  soma zaidi...


24/1/2016 comment

 

Polo asusia pilau akishuku ina sumu

Kioja kilizuka katika nyumba moja mtaani hapa  jombi aliposusia pilau akishuku kwamba viungo vilivyowekwa na mkewe vilikuwa sumu.  soma zaidi...


23/1/2016 comment

 

Meidi afichua siri za 'Baba Boi' asifutwe kazi

Buda wa eneo hili alitamani ardhi ipasuke immeze akiwa hai baada ya meidi kumweleza mkewe kwamba alikuwa akialika wanawake nyumbani akiwa kazini.  soma zaidi...


23/1/2016 comment

 

Jombi sasa ni skwota baada ya kuuza shamba alipe mganga

Polo amepiga kambi katika mitaa ya mji huu baada ya kukosa makao alipouza shamba lake ili amlipe mganga aliyemhudumia.  soma zaidi...


23/1/2016 comment

 

Demu azua kizaazaa kilabuni kwa kuzaba mpenziwe makofi

Kizaazaa kilizuka katika baa kipusa alipompiga mpenzi wake kwa kumpata akisakata densi na kidosho mwingine.  soma zaidi...


22/1/2016 comment

 

Polo ajuta kudandia lori la polisi usiku

Polo wa hapa Kiangoma, Nyeri alilazimika kukesha kwenye seli kwa kudandia lori bila kujua lilikuwa la polisi.  soma zaidi...


18/1/2016 comment

 

Washangaa kugunua polo hupigwa na mke, si majambazi

Polo wa hapa aliwaacha wakazi vinywa wazi walipogundua kwamba aliwahadaa alikuwa amevamiwa na majambazi baada ya kutwangwa na mke wake.  soma zaidi...


16/1/2016 comment

 

Siri ya kalameni Krismasi yafichuka

Jombi wa mji huu wa Thika alijipata pabaya baada ya mkewe kugundua kuwa mwisho wa mwaka jana wakati wa likizo ya Krisimasi, alikuwa kwa mpango wa kando.  soma zaidi...


13/1/2016 comment

 

Demu azirai kupata baba mkwe lojing'i

Mwanadada mmoja wa Kiambu Mjini alipoteza fahamu na kuanguka alipoingia ndani ya lojing’i kushiriki mipango ya kando na kumpata baba mkwe akiwa bawabu wa gesti hiyo.  soma zaidi...


13/1/2016 comment

 

Wamrukia ndugu yao kufuatia kifo cha baba

Kizaazaa kilitokea hapa Miwani, Machakos jombi alipotandikwa na ndugu zake wakidai alifahamu kilichosababisha kifo cha baba yao.  soma zaidi...


13/1/2016 comment

 

Mke wa polo akosa kurudi baada ya kwenda Krismasi

Kalameni wa mtaa huu wa Huruma, Nairobi anahuzunika baada ya mkewe kutorudi mjini tangu mwaka jana alipoenda kuwasalimia wazazi wake msimu wa Krismasi.  soma zaidi...


13/1/2016 comment

 

Polo akaripia mkewe kwa kutupa ugali uliobaki jioni

Jombi wa hapa Ndere, Siaya aliwashangaza wakazi kwa kumgombeza mkewe kwa sababu ya kutupa ugali kiporo.  soma zaidi...


13/1/2016 comment

 

Atandikwa kwa kumpiga bawabu wake

Kalameni wa hapa Webuye anauguza majeraha baada ya kushambuliwa na majirani kwa kumpiga na kumjeruhi bawabu wake alipoingilia mzozo wake na mkewe.  soma zaidi...


12/1/2016 comment

 

Aibu kwa mama kuhepesha hela za matanga

Mama wa hapa alipata aibu ya mwaka alipokamatwa baada ya kutoroka na pesa za chama cha mazishi.  soma zaidi...


12/1/2016 comment

 

Ajuta kutolipa vidosho wa kunengua kiuno

Kioja kilitokea kwenye klabu kimoja mtaani hapa buda alipovamiwa na vidosho kwa kudinda kuwalipa hela alizowaahidi baada ya kumnengulia kiuno.  soma zaidi...


11/1/2016 comment

 

Polo afungiwa stoo kwa kuibia hoteli sukari

Kalameni wa eneo hili, alijipata taabani baada ya kufungiwa stoo  siku nzima alipopatikana akiiba sukari katika hoteli.  soma zaidi...


11/1/2016 comment

 

Polo, dadake wazozania kuzika maiti ya mama yao

Kizaazaa kilizuka katika eno hili, wakati jamaa na dadake walipozozana huku kila mmoja wao akitaka kwenda kuuzika mwili wa mama yao.  soma zaidi...


11/1/2016 comment

 

Jombi ang'oa mlango mke alipokataa kuufungua

Kalameni wa eneo hili, aliwashangaza majirani alipong’oa mlango wa nyumba yake akimlaumu mkewe kwa kukataa kumfungulia baada ya kutoka kazini usiku.  soma zaidi...


11/1/2016 comment

 

Mama aonywa dhidi ya kumnyima mumewe mlo

Mama wa hapa, alionywa vikali na wazee wa kijiji dhidi ya tabia yake ya kumnyima mumewe chakula.  soma zaidi...


11/1/2016 comment

 

Atumbukia mtaroni akihepa anayemdai

Polo wa mtaa huu, alijipata pabaya alipotumbukia ndani ya mtaro uliojaa maji taka akihepa kulipa deni.  soma zaidi...


10/1/2016 comment

 

Polo afutwa kwa kumtongoza mke wa bosi wake

Kalameni anayefanya kazi kwenye kampuni moja mjini hapa alijipata pabaya alipopigwa kalamu kwa kumtania kimapenzi mke wa bosi wake.  soma zaidi...


10/1/2016 comment

 

Jombi atupwa jela kwa kuua mbwa wa mdosi

Kalameni mmoja eneo hili alishtuka baada ya kurushwa korokoroni kwa madai ya kumuua mbwa wa mdosi wake.  soma zaidi...


9/1/2016 comment

 

Atoroka nyumbani kuhepa kulipa karo

Kalameni kutoka mtaa huu wa Dandora, Nairobi ameshangaza wakazi kwa kutoroka nyumbani katika kile ambacho mkewe alisema ni kuhofia kumlipia mwanawe karo ya shule ya upili.  soma zaidi...


7/1/2016 comment

 

Harusi 'bomba' ya rafike yafanya mlevi kuasi pombe

Kalameni aliwaacha wakazi wa hapa Kanyama, Karatina wakivunjika mbavu kwa kicheko alipotangaza hadharani nia yake ya kuacha mvinyo na kuoa.  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu