30/11/2017 comment

 

FATAKI: Ni makosa kupima uzuri wa binti kwa msingi wa rangi ya ngozi na makalio yake

Mojawapo ya mambo ambayo yaligonga vichwa vya habari juma lililopita ni uzinduzi wa kibao Melanin chao Sauti Sol kwa ushirikiano na msanii Patoranking kutoka Nigeria.  soma zaidi...


8/11/2017 comment

 

Ukisikia akisema ‘sitaki kuitwa baba’ basi jua dume hilo linataka kukuchuna ngozi tu

Ikiwa wewe ni shabiki wa burudani na hasa wa mwanamuziki wa R&B kutoka Amerika Ne -Yo basi unajua kwamba juma lililopita alitangaza kuwa yeye na mkewe Crystal Renay wanatarajia mtoto wao wa pili.  soma zaidi...


18/1/2017 comment

 

FATAKI: Ukijigeuza pipa kwa kila mtu kutupa taka, usimlaumu mwenzio

Juma lililopita kulikuwa na binti mmoja aliyechapisha ujumbe kwenye kikundi kimoja kwenye mtandao wa Facebook ulioandamana na picha ya kaka fulani.  soma zaidi...


14/9/2016 comment

 

Urembo na unyenyekevu si kinga dhidi ya mume mkorofi

Kuna mwanadada anadai mwanamke kunyenyekea hakutamgeuza kijakazi, suala ambalo nakubaliana nalo ila swali langu ni je, kunyenyekea huku hakupaswi kutoka pande zote mbili?  soma zaidi...


3/8/2016 comment

 

Ukitaka kuheshimiwa usiwe mwepesi wa kugawa

Huenda dhana kuwa idadi ya wanawake ni ya juu zaidi kuliko ya wanaume ndio sababu imefanya baadhi ya mabinti kushusha hadhi zao huku wakidhani kuwa hiyo ndio mbinu pekee ya kujinasia mume upesi.  soma zaidi...


20/4/2016 comment

 

Visketi vitavutia 'mafisi' tu, sio watu wa maana

Binti fulani alikuwa amevalia sketi fupi huku mapaja yote yakiwa nje na hata nusura makalio yamwagike chini.  soma zaidi...


13/1/2016 comment

 

Ikiwa ni sura na makalio, hata sokwe amejaliwa

Naandika kuhusu mabinti wazembe vyuoni ambao badala ya kutia bidii kusomea mitihani, wako radhi kukugawa tunda ili wapite mtihani.  soma zaidi...


6/1/2016 comment

 

Mkono birika utazidi kuwasononesha

Siku chache kabla ya Krismasi, mtandao wa kijamii ulifurika habari za kaka fulani kutoka Saudi Arabia aliyenunulia barafu yake ya moyo magari matano kumdhihirishia penzi.  soma zaidi...


7/10/2015 comment

 

Wastaarabu wapo, makinika kumsaka

Ikiwa wewe ni mmoja wa madume ambao wanajiuliza kinachowasukuma mabinti warembo mikononi mwa akina babu wa Kizungu basi kaa kitako nikufahamishe.  soma zaidi...


30/9/2015 comment

 

Urembo si vipodozi na nywele bandika

Akipokea tuzo, Viola Davis alikuwa kaunda nywele zake halisi za Kiafrika bila kemikali, mtindo ambao wengine watautaja kuwa wa utumwa.  soma zaidi...


23/9/2015 comment

 

Maisha ni nipe nikupe hakuna cha bure

“Kim Kardashian alimnunulia Kanye West Ferrari, Beyonce akamnunulia mumewe Jay Z ndege ya kibinafsi, na binti yetu hapa Kenya akamnunulia mumewe gari la thamani ya Ksh10 milioni, ilhali wewe  soma zaidi...


16/9/2015 comment

 

Usomi usikuzuie kujiweka nadhifu

Ikiwa wewe ni binti wa taaluma yaani Career Woman, haupaswi kuacha taaluma yako izime sifa zako za kike za kujipodoa na kujiweka nadhifu kila wakati.  soma zaidi...


9/9/2015 comment

 

Si kila anayekukosea anakuonea gere

Baada ya kurushiwa cheche za matusi na binti mmoja huku kosa langu likiwa kumshauri akae vizuri ili aache kuwaonyesha watu chupi, nimeanza kumwelewa kaka mmoja aliyesema kuwa ukitaka kulinasa penzi  soma zaidi...


2/9/2015 comment

 

Huku kupapatikia mapambo kumezidi

Kuna mwanamume ambaye ameteta kuwa alimuoa mkewe akiwa mrembo wa kutamaniwa lakini baada ya harusi alipomtazama binti huyo bila mapambo sura ilikuwa tofauti.  soma zaidi...


26/8/2015 comment

 

Tabia za Wakenya zinazoudhi wengi

Ni vigumu kupuuza tabia mbovu zinazoonyeshwa na baadhi yetu na ambazo zinatishia kupaka tope jina letu safi sisi Wakenya.  soma zaidi...


12/8/2015 comment

 

Usiwe na muda na watu waliojaa dharau

Umewahi kutembea barabarani na kukumbana na binti msiyefahamiana lakini kwa mshangao wako anakukodolea jicho la dharau na kusonya?  soma zaidi...


5/8/2015 comment

 

Hamna ‘Mr Right’ hapa duniani, ni wajibu wako kumuunda utakavyo

Kama binti mmoja alivyosema hakuna 'Mr Right’ hapa duniani na hivyo ni wajibu wako kumuondoa upande wa kushoto na kumvuta upande wa kulia kwa kumsafisha, kuwafukuza hao vimada wa mtaani  soma zaidi...


22/7/2015 comment

 

Tulilia usawa na bado tunawanyemelea

Kinachonishangaza ni kuwa kuna vipusa ambao bado wana zile fikra duni kuwa wanapaswa kufanyiwa kila kitu na mwanamume.  soma zaidi...


15/7/2015 comment

 

Kuwa kama kichujio, usitie yote moyoni

Katika masuala ya mahusiano na mapenzi, kuna walimu na weledi bandia hasa mabinti ambao hukutana kujadiliana wanayokumbana nayo katika mahusiano yao.  soma zaidi...


28/1/2015 comment

 

Tahadhari dada usivue kupe ukisaka dhahabu

Baadhi yetu kina dada tunapokutana na wanaume hawa hudhani kuwa tumegundua mgodi wa dhahabu hasa kutokana na dhana potovu kuwa hawa ndugu huwapumbaza vipusa kwa zawadi pasipo kuangalia gharama.  soma zaidi...


21/1/2015 comment

 

Mtazila lakini nanyi mtaliwa kinyama

Kama ada siku hizi, mitandao ya kijamii imekuwa ikichangia mada zinazojadiliwa redioni, televisheni na hata katika ukumbi huu wa fataki.  soma zaidi...


14/1/2015 comment

 

Enyi kaka msilaumu jiko kwa upishi duni

Hivi majuzi toleo la gazeti maarufu nchini lilichapisha mtandaoni utafiti ulioonyesha kuwa idadi ya vipusa wa Kenya wanaowatema akina kaka wa humu nchini na kuwakimbilia wanaume wa asili ya kizungu  soma zaidi...


7/1/2015 comment

 

Anika utupu wako tu ikiwa utavutia

Picha za msosholaiti akiwa uchi wa mnyama zimetawala mtandao wa kijamii wiki hii. Kama vipusa wengine waliojipa jina hili, binti huyu aliamua kutuanikia makalio na uke wake mtandaoni.  soma zaidi...


31/12/2014 comment

 

Mwaka mpya ni wakati wa kujikung'uta

Msimu wa Krismasi unakaribia kuisha na kama kawaida mwaka mpya uanzapo Alhamisi kila mtu atatarajia kurejelea maisha yake ya kawaida  soma zaidi...


17/12/2014 comment

 

Usikubali kula ganda na muwa ungalipo

Juzi nilisoma nukuu kwenye facebook ambapo binti mmoja alikuwa akitoa sifa za kaka anayemtamani maishani.  soma zaidi...


10/12/2014 comment

 

Wanaume wanazidi kupoteza hadhi kila uchao

Japo nafurahia hatua ambayo mabinti wamepiga kwa upande wa mafanikio, nina hofu kuwa huenda karne moja tokea sasa mapambano yakawa kuwanasua wanaume kutoka utumwa mikononi mwa mabinti.  soma zaidi...


26/11/2014 comment

 

Mpango wa kando daima atasalia kando

Mjadala wa mpango wa kando wanikumbusha kisa cha binti aliyemwandama mwanamume kwa kuwa alimwona na Range Rover Sport na alipompachika mimba ndipo binti akagundua hana pesa alivyomdhania na  soma zaidi...


19/11/2014 comment

 

Hata tujifunike blanketi, hamtazima uchu ng'o!

Limekuwa juma la masikitiko na huzuni hasa kwa jinsia ya kike kuokana na tabia ya kipumbavu miongoni mwa baadhi ya wanaume.  soma zaidi...


12/11/2014 comment

 

Ukiona vyaelea, mwenzangu jua vimeundwa

Nimechoshwa na watu walio na mazoea ya kila mara kutoa masharti kuhusu aina ya mpenzi anayewafaa.  soma zaidi...


5/11/2014 comment

 

Unafiki ulioje kukejeli malikia wa Uganda?

Juma lililopita mitandao ya kijamii pamoja na vyombo vya habari vilitawaliwa na habari za Leah Kalanguka.  soma zaidi...


28/10/2014 comment

 

Mabinti na ustaarabu

Ubinti na ustaarabu  tangu jadi umekuwa ukihusishwa na urembo au fashoni, huku suala la tabia nzuri likipuuzwa.  soma zaidi...


20/8/2014 comment

 

Usisalie kioja ukifuata mitindo

Nafahamu kuwa fashoni inamhitaji binti wa kisasa kupaka rangi zinazoonekana kwa mbali kama vile nyekundu, lakini sharti ufahamu wakati upi wa kutumia pambo la aina hii.  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu