8/11/2017 comment

 

Ukarimu wetu waume umeibua sampuli ya wanawake wasiojua shukrani ni kitu gani

DUNIA ya leo imejaa wanaume wasiopenda kufanya la tija. Uzembe huo ndio mwanzo wa maafa kwa vizazi vijavyo! Tuyaweke wazi mambo yalivyo.  soma zaidi...


1/11/2017 comment

 

MWANAMUME KAMILI: Vichuna mlivyojiweka bahari kwa yeyote apigaye mbizi, ndoa sasa zitadumu vipi?

JINSI vipigo vya ngoma vinavyobadili mrindimo ndivyo tulivyo sisi majisifu tunaopenda kuponda wenzetu ila hatutaki kubadili ulimbukeni wetu. Hii yetu ni dunia ya kulalama na kulaumiana.  soma zaidi...


20/4/2016 comment

 

Ikiwa hutaki mke apendeze au apendwe basi ungeoa sokwe

Wewe utakuwa gumegume kama tabia yako ni kukereka na kuchukizwa moyo mwenzio akipendeza na kupendwa.  soma zaidi...


6/1/2016 comment

 

Tuwaepushe vijana kuzama katika lindi la ufuska

Bila kujali raha leo, karaha kesho, kila kukicha vijana wanazidi kuzama katika kilindi cha ufuska na matumizi ya dawa za kulevya.  soma zaidi...


28/10/2015 comment

 

Usiamshe majirani, kisa na maana umenyimwa uhondo

Badala ya kuzua vioja nyumbani, jamani tuvumiliane! Badala ya makeke na mateke ndani ya ndoa, tuukuzeni unyenyekevu!  soma zaidi...


7/10/2015 comment

 

Kama hajatoa mahari hata sidiria asione ng’o!

Kama bwege halijakutolea mahari hata kanchiri halistahili kuona!  soma zaidi...


30/9/2015 comment

 

Mabusu ya nini vijiani kwa mtu mliyeachana ujanani?

Kama sio kufa, wengi wenye tabia za kulamba mate yaliyotemwa wamejikuta taabani wamenaswa wakanata mitegoni.  soma zaidi...


23/9/2015 comment

 

Upendo ni kudumisha heshima kabla jazba

Lau wanaume wa leo wangaliwajibikia kukuza maadili, nani asingalikuwa na mke mwema?  soma zaidi...


16/9/2015 comment

 

Uungwana wa mume halisi ni unyamavu na usikivu

Inakera mno hasa kumwona mwanamume mpayukaji mwepesi kupaza sauti na kugombana kwa vijimambo vinavyoweza kutatuliwa taratibu tena chumbani.  soma zaidi...


2/9/2015 comment

 

Wanaume ndio wanachochea mavazi duni ya kina dada

Wanaume hushawishika na kujazibika kama wehu hasa wanapowaona wanawake wameacha maungo wazi kama mende.  soma zaidi...


26/8/2015 comment

 

Hebu niambieni, sababu za kuoa wake wawili ni nini hasa?

Furaha ya mke ni kumtunza ipasavyo ili kumwondolea ujuha, ushamba na utoto aliolelewa nao; angalau kumfanya mtu mbele ya watu!  soma zaidi...


12/8/2015 comment

 

Mnaoita wanaharamu, nani kawaharamisha?

Haramisheni tendo siharamisheni watoto!  soma zaidi...


5/8/2015 comment

 

Kula ushibe lakini tarajia kishindo pindi mnapokosana

Safari ya huba inavutia kwa wapendanao lakini linapozuka jambo ndipo utajua mwanamume wa leo kama dunia rangi rangile hasa pale dunia nzima itashiba hadithi jinsi ulivyo degi bovu tena kinu kisicho  soma zaidi...


22/7/2015 comment

 

Mke mwema ni hekima, sio paja lichumalo hela

Mapenzi yamegeuzwa biashara; huba ndio bidhaa, mwanamke ni muuzaji na mwanamume ni mnunuzi.  soma zaidi...


8/7/2015 comment

 

Kula raha kiholela kwaweza kukuachia shubiri kinywani

Mwanamume kamili, siku za mavuno sisahau kujenga ghala. Sisahau hekima ya kula kidogo; na kidogo kibindoni.  soma zaidi...


4/2/2015 comment

 

Nyege ni kunyegezana, kwa nini asiwe mke wako?

Mwanamke wa kunifanya mtu mbele ya watu kwa nini nisimpe mwili, roho na nafsi yangu? Kwa nini nisijitolee kufa kupona angalau kumfaa jinsi alivyonifaa? Kwa nini nisimfanye mke na mtu wa hadhi.  soma zaidi...


28/1/2015 comment

 

Wanaume wengi wamegeuka debe tupu

Wanaume wa leo hawajui kufunga vinywa au kuvuta subira. Hawajui stara kunyenyekea mbele ya watu. Wamegeuka debe tupu linaotika!  soma zaidi...


21/1/2015 comment

 

Mume wa leo ameweka mawazo katika korodani

Pesa zimekuwa adui sio tu kwa wanaume wa leo, bali pia kwa wanawake.  soma zaidi...


14/1/2015 comment

 

Mie kigae kidogo, katu sibishani na mfinyazi

Binadamu hajui thamani yangu! Sina haja wala kusudi kumkadiria. N’naridhika nilivyo! Natosheka moyoni.  soma zaidi...


7/1/2015 comment

 

Mke si kinu kutwangwa kwa mchi wa maneno

Chambilecho wahenga, dharau ni dhara! Mwanamke sio jimbu lipitishalo maji ya mvua na majitaka vilevile. Kila jambo – bovu na baya lavurumishwa kwake! Kila tusi – haluli na hasiri laelekezwa kwake!  soma zaidi...


31/12/2014 comment

 

Usiwe mzito kutafakari na mwepesi wa kunena

Napenda sana wanaume labizi wanapokutana na kuzungumza juu ya mambo kadha wa kadha. Mikutano baina ya waja ndiyo huchangia ukuaji wa akili na ukomavu wa fikira sisemi kuimarisha maisha ya  soma zaidi...


17/12/2014 comment

 

Mnawaposa wakiwa mbichi na kisha kuwadhalilisha katika uzee wao

Enyi wnaume wa leo, sikilizeni hizi sauti za kina mama. Sauti za ndani kwa ndani zinazoashiria sononeko moyoni. Sauti za wanyonge wakilalama jinsi nyinyi mnavyowatenda na kuwatendea unyama. Hivi  soma zaidi...


10/12/2014 comment

 

Sihadaike na umbo, mke mwema ni tabia si sura

Mume wa leo balaa! Anavyozuzukia maumbile ya wanawake, utashangaa na kubaki kinywa wazi mdomo juu! Daima, tabia za mke ndizo kigezo cha kwanza! Utamjua mke mwema kwa tabia zake. Kama ni sura, hata  soma zaidi...


3/12/2014 comment

 

Mwanaume ni kichwa na shingo hana budi kubeba

Hata kichwa kikijaa kichaa kamwe hakiwezi kuchachawaa kikakataa kutulia juu ya shingo! Eti mwanamume kamili lakini huishi kutoka kamasi kama mwanambuzi anayeugua mafua  soma zaidi...


26/11/2014 comment

 

Uvumilivu ni ngao, ukatili sio sifa ya mume kamili

Ukimwona mwanamume mwingi wa lalama na tetesi, mwepesi wa hasira na mpenda vita tahadhari kabla hatari.  soma zaidi...


26/11/2014 comment

 

Uvumilivu ni ngao, ukatili sio sifa ya mume kamili

Ukimwona mwanamume mwingi wa lalama na tetesi, mwepesi wa hasira na mpenda vita tahadhari kabla hatari.  soma zaidi...


19/11/2014 comment

 

Kumbikumbi pia hujawa na aibu, sembuse binadamu

Nguo za mtu huficha siri. Wala hakuna mwenye radhi kufichua siri hiyo ila mwenyewe kwa hiari. Nalemewa kwa shehena ya soni na aibu kufuatia visa vya wanawake kuvuliwa nguo hadharani! Jamani hata  soma zaidi...


11/11/2014 comment

 

Mwanamume ni kudhibiti matamshi na fikra

Mwanamume si ndevu, kwani hata mbuzi anazo! Mwanamume kamili ni akili tulivu, mawazo chanya na vitendo vya hadhi.  soma zaidi...


5/11/2014 comment

 

Mwanamume gumegume hana shukrani hata chembe!

Jamani ewe mke mwingi wa chozi na masikitiko, mbona kujinyima usingizi wa pono eti walilia mwanamume aliyetelekeza nyumba?  soma zaidi...


30/10/2014 comment

 

Raha za kuhubiana na kukwepa

Mwatudunisha mno kwa zenu raha za kuhubiana na mwishowe kuwakwepa wenzenu kama wenye maradhi.  soma zaidi...


28/10/2014 comment

 

Wanaume wa leo hawajui kusema la!

Mtihani wa mwanamume sio mchezo! Ole wenu nyinyi wanawake wenye kudakia uhusiano kama daladala!  soma zaidi...


20/8/2014 comment

 

Mume kamili ni dafina ya hekima na ustaarabu

Mwenzio atakuvumilia hadi lini ilhali wamchanja kwa maneno na mabezo kama ukuni?  Kama ni lazima mume kusema, basi toa mwongozo mara moja na waachie wenye meno kutafuna mabuyu. Kelele kila siku  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu