30/12/2017 comment

 

Mpenzi wa awali anatishia uhusiano wangu mpya

Niliyemuacha ameanza kumpigia simu mpenzi wangu akidai bado ananipenda na atafanya juu chini kunipata; nishauri.  soma zaidi...


29/12/2017 comment

 

Ameungama kuwa hanipendi eti alinihurumia tu!

Nilipomuuliza msichana ninayempenda juzi alikiri kuwa hanipendi na eti alinikubali kwa kunihurumia tu; nifanyeje?  soma zaidi...


28/12/2017 comment

 

Tabia yake ya kuniomba pesa yanifanya nimshuku

Shangazi nina mwanamke mpenzi lakini mahitaji yake ya pesa yameanza kunishinda.  soma zaidi...


2/11/2017 comment

 

SHANGAZI: Anahofia nikienda kazi mbali nitapata mwingine

Mambo shangazi. Nina mpenzi na tunapendana sana. Nimehamishwa kikazi majuzi nikapelekwa mbali na mpenzi wangu. Jambo hilo limemkasirisha sana kiasi kwamba ameacha kupokea simu zangu na kwa wiki  soma zaidi...


1/11/2017 comment

 

SHANGAZI: Najuta kutoa siri za uhusiano wangu kwa rafiki

Mimi ninajuta kwa kutoa siri zangu na mpenzi wangu kwa mwanaume rafiki yangu mkubwa. Jamaa huyo ni rafiki yangu wa miaka mingi na amekuwa kama ndugu yangu kwa hivyo nimekuwa nikimuelezea mambo yote  soma zaidi...


1/11/2017 comment

 

FUNGUKA: Nazimikia wakongwe

Kutana na Eliza, binti mwenye umri wa miaka 37, mojawapo ya waimbaji shupavu katika kanisa moja mtaani ninamoishi. Lakini yeye sio mmoja wa wale mabinti wanaopotelea katika masuala ya kidini na  soma zaidi...


2/10/2017 comment

 

Mume huwahadaa watu eti hana mke

Kwako shangazi. Nimeolewa lakini mume wangu ana tabia mbaya. Amekuwa akitembea mitaani akidanganya wasichana wadogo eti hana mke. Nahofia atanieletea magonjwa nyumbani. Nishauri. Kupitia SMS  soma zaidi...


8/7/2017 comment

 

Mpenzi wake rafiki yangu anataka uhusiano wa kando

Vipi shangazi? Nina umri wa miaka 30 na bado sijapata mpenzi naendelea kutafuta. Kuna mwanamke mpenzi wa rafiki yangu ambaye simuelewi. Ni mara mbili sasa akinitumia SMS kunishawishi tuwe na  soma zaidi...


29/5/2017 comment

 

Alihamia mjini majuzi tu na tayari amenyakwa!

SHIKAMOO shangazi? Kijana mpenzi wangu alihamia mjini mwezi uliopita baada ya kupata kazi. Tumekuwa tukiwasiliana vizuri lakini rafiki yangu anayeishi mjini aliniambia amemuona mara kadhaa na  soma zaidi...


29/5/2017 comment

 

Mawazo ya virusi yananiua

Shikamoo Shangazi. Nilipimwa nikapatikana na virusi vya Ukimwi nikiwa shule ya msingi na sasa niko mwaka wa mwisho katika shule ya upili. Hali yangu hiyo imekuwa ikiniletea mawazo mengi hata  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu