11/6/2018 comment

 

Mke mwenye busara

Mwanamke mwenye busara anaelewa wajibu kama; wajibu kama mama iwapo umejaliwa watoto na mipaka ya ndugu, jamaa na marafiki.  soma zaidi...


8/11/2017 comment

 

Jinsi ya kukabiliana na makombora ya lawama na majibizano kwenye uhusiano

KUNA baadhi ya watu wamejaliwa kuzungumza. Tena mazungumzo yao siku zote yametawaliwa na makombora ya lawama.  soma zaidi...


1/11/2017 comment

 

UMBEA: Epuka mume wa mtu, kumbuka ana asali nyumbani anayoila kwa muda aupendao

Kawaida yangu huwa napenda kudodosa, hasa pale ninapoona jambo ambalo lina utata na ambalo halijakaa sawa. Hivi karibuni katika shughuli zangu nilijipata nikilala hotelini kwa usiku mmoja.  soma zaidi...


3/8/2016 comment

 

Uhusiano ni maelewano na wala sio kukwazana

Ukomavu katika uhusiano ni kuweza kuzungumza yaliyo moyoni bila ya jazba, lawana ama kumnyooshea kidole mwenzako.  soma zaidi...


25/11/2015 comment

 

Kukabili tofauti zinazotokea katika maisha ya ndoa

Iwapo mkeo ama mumeo ana upungufu, anafanya vijimambo kinyume na matarajio yako, usimtendee ukatili na kumfanya akose raha ya maisha ya ndoa.  soma zaidi...


28/10/2015 comment

 

Fisadi wa mapenzi, fanya uhalifu wako kwa siri tafadhali!

Katika huu ulimwengu kuna wanawake mabaradhuli, wasiokuwa na haya wala aibu. Wale wanaoweza kukutendea unyama huku wakitabasamu na kukuonyesha hadi jino la sikukuu.  soma zaidi...


7/10/2015 comment

 

‘Nawasihi kina mama kutafakari zaidi kabla kuwakeketa mabinti’

Roho yangu ilijawa na simanzi niliposikiliza kina dada waliokeketwa wakieleza jinsi maisha yao yalivyo magumu na yenye mateso mengi hasa unapokuja wakati wa kujifungua ama kukutana kimwili na waume  soma zaidi...


30/9/2015 comment

 

Iwapo wachepuka, hata ukilinda simu, ukweli utachipuka

Nitamwita Misuli Minene, kijana ambaye alizoea kutumia simu ya mkononi kutongoza wasichana, wanawake na hata wanafunzi huku akijua bayana ameoa na anao watoto watatu.  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu