Thu May 10 16:48:34 EAT 2018 comment

 

SINA BAHATI

Ni miaka tisa sasa tangia nimalize shahada yangu ya sheria katika Chuo Kikuu cha Mzumbe na sijawahi kupata kazi kutokana na nilichokisomea  soma zaidi...


Thu Oct 27 11:14:24 EAT 2016 comment

 

HADITHI: Mwinyi mbu mbu mbu, aanika uchi gwarideni

WATU wengi walichukulia kuwa urafiki kati ya Pengo, Soo na Sindwele ulianzia shuleni Maka. Ndivyo alivyoamini hata Pengo mwenyewe.  soma zaidi...


Thu Oct 20 13:52:38 EAT 2016 comment

 

HADITHI: JITU ADUI

Zilikuwa ni shamrashamra za kuiaga karne ya 20. Huu ulikuwa ni usiku wa kuikaribisha karne ya 21.         soma zaidi...


Thu Aug 25 12:12:11 EAT 2016 comment

 

HADITHI: Mwalimu Mwinyi atafuta wafuasi

TABASAMU iliyokuwa imemkauka kwa muda, ilianza kurejea. Mwanzoni mwa muhula, alijawa hofu lakini sasa alikuwa kaanza kutulia.  soma zaidi...


Thu Jul 28 14:45:22 EAT 2016 comment

 

HADITHI: UKUTA WA GIZA - Sura ya Nne

Stella akiwa ni mwanadada mrembo, aliyeumbika alikuwa  akinywa kinywaji chake laini aina ya Cinzano wala hakuonyesha wasiwasi wowote na kuonyesha kuwa alikuwa mwanamke wa shoka.  soma zaidi...


Thu Jul 28 14:41:07 EAT 2016 comment

 

HADITHI: UKUTA WA GIZA - Sura ya Tatu

Humo ndani, mbele yake upande wa kushoto palikuwa na kabati kubwa ambalo ndani yake kulikuwa na seti nzima ya muziki wa kisasa pamoja na runinga bapa kubwa iliyokuwa  imetundikwa ukutani.  soma zaidi...


Thu Jul 28 14:25:01 EAT 2016 comment

 

HADITHI: UKUTA WA GIZA - Sura ya Pili

“Unaniita mimi?” Marko akamuuliza  mwanadada huyo ambaye alikuwa anamwangalia kwa sura ya tabasamu.  soma zaidi...


Thu Jul 28 14:23:42 EAT 2016 comment

 

HADITHI: UKUTA WA GIZA - Sura ya Kwanza

Alijulikana kwa jina la Marko Kitenge mtoto wa mjini anayetafuta maisha ndani ya jiji la Dar es Salaam  soma zaidi...


Mon Jul 25 15:19:45 EAT 2016 comment

 

HADITHI: Kijasho chepesi

Mlango wa ofisi ukagongwa mara mbili kisha ukafunguliwa taratibu na akaingia mwanamume mmoja aliyekuwa amevalia kofia ya baraghashia. Katika mkono wake wa kushoto alikuwa ameshika mkoba wa ngozi.  soma zaidi...


Mon Jul 25 15:14:02 EAT 2016 comment

 

HADITHI: MBIO ZA SAKAFUNI - Sura ya Nne

Upepo uliokuwa ukivuma kwa utulivu ulimsaidia kwa kiasi kuyatuliza maumivu lakini kwa Ben hakuwa katika hali ya kutulia au kuridhishwa na chochote.  soma zaidi...


Sat Jul 16 12:34:02 EAT 2016 comment

 

HADITHI: MBIO ZA SAKAFUNI - Sura ya Tatu

Kachero Inspekta James na Delilah wakabaki pale ofisini wakimsubiri Mhasibu Mkuu Othman Mbega afike pale tayari kwa mahojiano.  soma zaidi...


Thu Jul 14 21:04:19 EAT 2016 comment

 

HADITHI: MBIO ZA SAKAFUNI - Sura ya Kwanza

Delilah Maurice Shikonyi, mwanadada mrembo akiwa anaendesha gari lake jioni moja alimgonga kwa bahati mbaya mtembea kwa miguu aliyevuka kizembe.  soma zaidi...


Thu Jul 14 21:12:59 EAT 2016 comment

 

HADITHI: MBIO ZA SAKAFUNI - Sura ya Pili

Inaendelea kutoka sura iliyotangulia “Unataka kinywaji gani?” Delilah alimuuliza Ben.  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu