18/4/2017 comment

 

Hali na maendeleo ya Kiswahili nchini Rwanda

Kwa kipindi kirefu sana kabla ya ukoloni, nchi ya Rwanda ilikuwa na utawala wa kifalme. Ni katika baadhi ya nchi nyingi za kiafrika ambapo Kiswahili huzungumzwa kwa nadra sana.   soma zaidi...


18/4/2017 comment

 

Mtindo katika lugha ya mawasiliano ya wanajamii

LUGHA imeweza kutumiwa kuleta mabadiliko na huwa na athari chanya na hasi katika jamii kutegemea na watumizi lugha, yaani msemaji na msemewa.  soma zaidi...


18/4/2017 comment

 

Mkabala wa kisintaksia katika kuainisha ngeli za nomino

UAINISHAJI wa ngeli kwa kutumia mkabala au mtazamo wa kisintaksia ni mpana mno. Hii ni kwa sababu ya kuzalishwa kwa uwakilishaji wa nomino nyingi zaidi katika sarufi ya lugha.  soma zaidi...


18/4/2017 comment

 

Ukanushi wa 'Ni' na 'Ndio' si sawa kama inavyodhaniwa

KATIKA hali ya kukanusha maneno ya Kiswahili, ni jambo faafu mno kuzingatia neno lenyewe kabla ya kufikia tamati na kuidhinisha kuwa neno hilo ndilo jibu sahihi.  soma zaidi...


22/1/2017 comment

 

Mustakabali wa maendeleo ya Kiswahili katika Jumuiya ya Afrika Mashariki

WAKATI wa kipindi cha kupigania uhuru nchini Tanganyika na kwa kiasi kikubwa Kenya, Kiswahili ndiyo lugha iliyotumiwa kuwaunganisha wakazi wa mataifa hayo.  soma zaidi...


22/1/2017 comment

 

Uandishi ni kama kufuma mkuki gizani

INGAWA mojawapo ya changamoto kubwa zinazotatiza jitihada za kueneza na kukiendeleza Kiswahili humu nchini ni kukosekana kwa tafiti nyingi zinazohusu lugha hiyo, wachapishaji na waandishi wa vitabu  soma zaidi...


22/1/2017 comment

 

Matumizi ya lugha katika kueneza tamaduni

KUNA haja ya kuielewa lugha kuwa si tu kielelezo cha utamaduni bali ni njia mahsusi ya kuelezea na kusambazia utamaduni wenyewe.  soma zaidi...


22/1/2017 comment

 

Kiswahili kinavyomudu kasi ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia

WAKATI Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEKNOHAMA) ikizidi kuimarika na kuchukua nafasi ya njia kongwe za mawasiliano, fasihi ya Kiswahili nayo inajikuta kwenye changamoto ya kuakisi mabadiliko  soma zaidi...


22/1/2017 comment

 

Haja ya kupanua Kiswahili kimatumizi baada ya kufanywa lugha rasmi nchini

KWA kuwa lugha ni amana na kitendo cha kijamii, basi inahitaji kuhifadhiwa, kukuzwa na kulindwa ili isife na kutoweka kabisa pindi watumiaji wake wanapopungua au itakapokosa kutimiza jukumu muhimu  soma zaidi...


22/1/2017 comment

 

Haja ya kuainisha ngeli zaidi za nomino za Kiswahili kisintaksia

SARUFI ya lugha yoyote ile ni kanuni za lugha zinazotumika ili kupata ufasaha na usahihi katika lugha. Ni taaluma ya isimu inayojishughulisha na kanuni za uchambuzi wa vipengele mbalimbali vya  soma zaidi...


22/1/2017 comment

 

Ushirikiano utapiga jeki maendeleo ya Kiswahili Afrika Mashariki

JINSI ambavyo zipo jamii nyingi za tamaduni mbalimbali duniani, vivyo hivyo ndivyo zilivyo lugha mbalimbali zilizoundwa ili kukidhi haja muhimu ya mawasiliano miongoni mwa watu mbalimbali.  soma zaidi...


22/1/2017 comment

 

Ushairi ni kama hisabati inayotegemea maneno badala ya nambari

USHAIRI ni sanaa kongwe na pevu sana. Ni kongwe kwa kuwa ndiyo njia ya kwanza aliyoitumia mwanadamu kufafanua hisia zake kupitia lugha na sauti hata kabla ya kuanza kutumia njia nyingine za  soma zaidi...


22/1/2017 comment

 

Ugumu wa kutenganisha ubunifu na uongo katika fasihi

INGAWAJE kazi ya fasihi kwa kawaida huwa ikijaribu kuyaumba upya maisha ya binadamu kwa njia moja au nyingine, tunatambua ukweli kwamba yaliyotungwa na mwanafasihi katika sanaa yake si kiwakilishi  soma zaidi...


22/1/2017 comment

 

Ugumu wa kutenganisha fasihi na maisha ya wanajamii

NYINGI za fasili ambazo zimetolewa na wataalamu kuhusu fasihi, zimeegemea katika kuileza sanaa hiyo kwa kujikita katika msingi wa uhusiano wake na jamii.  soma zaidi...


23/2/2017 comment

 

Umuhimu wa sanaa za maonyesho katika makuzi na maendeleo ya lugha

SANAA ni uzuri unaojitokeza katika umbo lililosanifiwa, umbo ambalo mtu hulitumia kueleza hisi zinazomgusa kwa kutoa kielelezo au vielelezo vyenye dhana maalum.  soma zaidi...


23/2/2017 comment

 

Utata na uchangamano katika kusafili dhana 'Lahaja za Kiswahili'

DHANA ya lahaja ni changamano kwa kuwa hutokana na jinsi mtu anayefasili dhana yenyewe anavyotumia ama kigezo cha isimujamii au cha kiisimu katika ufafanuzi wake.  soma zaidi...


23/2/2017 comment

 

Uhakiki wa Fasihi una misingi yake katika mwingiliano wa Fani na Maudhui

TUKICHUNGUZA hazina ya uhakiki uliofanywa katika taaluma ya fasihi ya Kiswahili na kuiweka katika mizani, upande mmoja ubebe tahakiki zilizozingatia maudhui na mwingine zile zilizoangaza fani,  soma zaidi...


23/2/2017 comment

 

Dhana ya Vishazi Tegemezi na Vishazi vya Masharti katika sentensi za Kiswahili

SENTENSI sharti ya Kiswahili ni aina ya sentensi inayojumuisha vishazi viwili au zaidi vinavyowasilisha hali za mambo hivi kwamba kutokea kwa hali ya jambo moja kunaweka sharti dhidi ya kutokea  soma zaidi...


23/2/2017 comment

 

Kanuni za lugha ndizo hutoa mwongozo kuhusu namna wanajamii huwasiliana

TAKRIBAN wataalamu wote wanaafikiana kwamba lugha ni sauti za nasibu. Hili haliwezi kupingika. Ukweli unaoweza kuzua ubishani ni kwamba, ndani ya sauti hizo za nasibu mna aina moja au nyingine ya  soma zaidi...


23/2/2017 comment

 

Vipengele vya Isimujamii vinavyochangia katika urasmi wa lugha

KATIKA kuchunguza lugha, wanaisimu hutumia misingi ya kisayansi kama zifanyavyo sayansi nyingine. Maswala katika isimu huelezwa kwa udhahiri usio na utata wowote. Hoja huelezwa bila kuleta vuguvugu  soma zaidi...


23/2/2017 comment

 

Nafasi ya mazingira katika mabadiliko ya lugha kihistoria

MWANADAMU daima hujikuta katika mazingira mbalimbali. Kwa kuyachunguza mazingira hayo, mwanadamu hupata fikira na dhana mbalimbali kuhusu vitu vilivyomo katika mazingira hayo.  soma zaidi...


23/2/2017 comment

 

Nafasi ya sajili katika kuchunguza jinsi lugha inavyotumika katika jamii

SAJILI ni aina ya lugha katika lugha moja kwa kutegemea kazi mbalimbali. Kila taaluma au uwanja wa kikazi hudhihirisha tofauti za kipekee katika matumizi ya lugha.  soma zaidi...


23/2/2017 comment

 

Kiini cha baadhi ya nomino kuainishwa katika ngeli mbili tofauti

KUNA idadi isiyo ndogo ya majina kwenye Kiswahili ambayo huchukua maumbile na makundi tofauti.  soma zaidi...


23/2/2017 comment

 

Kanuni za upole ni kinga dhidi ya msuguano usiostahili katika matamshi

MISINGI ya kufafanua utegemeano baina ya jamii na kanuni za adabu ya lugha kiisimu ni dhana pana sana kuelezeka. Uwezo na stadi za kutumia na kufasiri elementi za lugha ya adabu ndizo kanuni  soma zaidi...


23/2/2017 comment

 

Kiswahili kina uwezo wa kukidhi mahitaji ya kitaaluma na kimawasiliano ndani na nje ya Kenya

PAMOJA na baadhi ya watu kuibeza lugha ya Kiswahili, harakati za wadau kuikuza lugha hiyo kitaifa na kimataifa zimepamba moto.  soma zaidi...


23/2/2017 comment

 

Nafasi ya taaluma za Ukalimani na Tafsiri katika kusambaza tamaduni za jamii

DUNIA inabadilika kila uchao huku maendeleo ya sayansi na teknolojia yakishuhudiwa kila kukicha. Ingawa mambo haya yote huwaweka watu pamoja kutoka kila kona ya dunia, wote hawazungumzi lugha moja  soma zaidi...


23/2/2017 comment

 

Kuwa mjuzi wa lugha kwahitaji maarifa ya isimu

KATIKA hali ya kawaida imekuwa ni mazoea mtu kusema “mimi ninajua lugha” au “hawa hawajui lugha”. Lakini je, ni nini hasa kujua lugha?  soma zaidi...


23/2/2017 comment

 

Dhana ya Tafsiri na mahusiano yake na taaluma nyinginezo katika sayansi ya lugha

TAALUMA ya tafsiri imefasiliwa tafsiri kuwa zoezi la uhawilishaji wa mawazo katika maandishi kutoka lugha moja hadi nyingine (Mwansoko na wenzake, 2006).  soma zaidi...


Zilizopata Umaarufu