Utangulizi

Utangulizi: Sehemu hii imeandaliwa mahsusi kwa wasomi, wataalamu, watafiti, wapenzi wa Kiswahili, walimu na wanafunzi wa lugha hii katika taasisi zote

ulimwenguni ili wafaidi na makala na tasnifu ambazo hazipatikani kwa pamoja katika tovuti yoyote au maktaba yoyote ulimwenguni. Mtandao wa Swahili Hub umeshirikiana na makundi ya wasomi wa Kiswahili na Vyuo vikuu inavyotoa Shahada na machapisho ya utafiti ili kuwaandalia ukumbi huu usio mfanowe. Karibuni.

 

Neno La Siku

Kikopesa MAANA:

Nafasi iliyo chini ya paa nje ya nyumba. Pia upenu.

Mfano katika sentensi: Nililala kwenye kikopesa baada ya kupoteza ufunguo wa nyumba yangu.

Mchakacho ujao haulengwi jiwe.

Maana:

Mchakacho ni sauti ya majani makavu. Ukisikia sauti fulani ikija kutoka mafichoni usirushe silaha kwa kuwa hujui iwapo anaweza kuwa ni ng’ombe wako au hata mwanao.


Matumizi: Tusifanye mashambulizi au kuchukua hatua za kiholela haraka bila kutafakari kwa kuwa tunaweza kumuumiza jamaa au rafiki yetu.

 

JUNGU LA SOKOMOKO

MIAKA

2009 2007 1987 1986

Soma Sampuli

Miaka 50 ya uhuru wa Tanzania

download

Mawaidha ya dini ya Kiislamu

download

Darubini ya kaunti za Kenya

download

Dondoo za hapa na pale

download

Tahariri na maoni

download
Tunga shairi lako
Pakua mashairi Tufuate kwa Facebook

 

 

Revision-all subject

KCSE 2010 Kiswahili

Sample KCPE Paper FREE Down-loads

KCSE 2009 Kiswahili

Sample KCPE Paper FREE Down-loads

KCPE 2009 Kiswahili

Sample KCPE Paper FREE Down-loads

KCPE 2009 Mathematics

Sample KCPE Paper FREE Down-loads

KCPE 2009 Social Studies

Sample KCPE Paper FREE Down-loads

KCPE 2009 Composition

Sample KCPE Paper FREE Down-loads