4/3/2019 comment

 

Washairi Tanzania

Hadi hodi gazetini, kwenu naja kurasani, Niweke japo pembeni, nisomeke hadharani. Niyatowe ya moyoni, kwa washairi nchini, Washairi Tanzania, tengenezeni umoja.    soma zaidi...


4/3/2019 comment

 

ZAMA ZA HAPA KAZI

Ni zama za Magufuli, John Pombe wa Josefu,  Kuongoza serikali, ya taifa takatifu,  Niwa chuma mhimili, kiboko ya wakosefu,  Ni zama za hapa kazi, wavivu kaeni kando.  soma zaidi...


4/3/2019 comment

 

TANZANIA YA FURAHA

Nabakia Tanzania, siondoki Tanzania, Nitaishi Tanzania, na kukua Tanzania, Nitajenga Tanzania, na kuoa Tanzania, Tanzania nchi bora, busitani ya furaha.  soma zaidi...


14/5/2018 comment

 

MAMA AFRIKA

Mama wa kiafrika, nguzo  yetu kiukwasi, Juhudi akajitwika, mengine ya ukakasi,  soma zaidi...


14/5/2018 comment

 

MAMA AFRIKA

Mama wa kiafrika, nguzo  yetu kiukwasi, Juhudi akajitwika, mengine ya ukakasi,  soma zaidi...


2/10/2017 comment

 

Tusidunishe Kiswahili

Kiswahili lugha yetu, mbona tunakidunisha, Twakikabili ja chatu, maisha kinahatarisha? Wanakitumia watu, wasokuwa na maisha!  soma zaidi...


28/7/2016 comment

 

MWENYEKITI  MAGUFULI

Ninatunga kumi beti, shairi kwa Kiswahili, Nawasalimu umati, kawajalia Jalali,  soma zaidi...


28/7/2016 comment

 

 Furaha ya Ndoa Watoto

YOB nasema, ya ndoa huwa watoto, Oa mke hata kama, kwa mapenzi motomoto,  soma zaidi...


28/7/2016 comment

 

VIWANDA: Nguvukazi ya vijana

Twakumbusha viwanda, vimekosa muamala, Wamevurundavurunda, mliyowapa dhamana,  soma zaidi...


28/7/2016 comment

 

Mke mzuri tabia

Mabibi ni mama zetu, si vyema kuwaingilia, Wengine ni dada zetu, hatarini wajitia,  soma zaidi...


25/7/2016 comment

 

Kitanda kinacholia

Edita naja kiwandani, nifae tungo pa safu, Nimeipata ajenda, kwa Siwema maarufu,  soma zaidi...


25/7/2016 comment

 

UJANA

Ujana kitu kitamu, tena ni azizi sana, Maungoni mwangu humu, nilikuwa nao jana,  soma zaidi...


25/7/2016 comment

 

Wachawi saidieni

Sifa zenu naamini, zimeenea mjini, Kadhalika vijijini, pia kote duniani,  soma zaidi...


14/7/2016 comment

 

Salamu kutoka Nakuru

Nawasalimu darasa, kitumai mu buheri, Kipindi cha hivi sasa, aina za mashairi,  soma zaidi...


14/7/2016 comment

 

Mke wa mtu ni sumu

Wake mke kamuoa, yanini kumchokoa, Mahariye katoa, acha kujishongondoa,  soma zaidi...


14/7/2016 comment

 

Wa Shinyanga nambieni

Mi Shinyanga sijafika, yalikuwa maongezi, Aliyenena Mayunga, kwenye zake simulizi,  soma zaidi...


14/7/2016 comment

 

Shati limenitenda

Shati langu nilipenda, nilipata kwa amana, Nalivaa kwa kupenda, kwa marefu na mapana,  soma zaidi...


14/7/2016 comment

 

Heko Kikwete, wewe kielelezo

Mtu akisema neno, ambalo ni la maana, Lenye kujaza unono, mazuri kuandamana, Ni kwetu kwa mfano, tulifurahia sana, Hongera Bwana Kikwete, Rais wa Tanzania.  soma zaidi...


14/7/2016 comment

 

Bangi na Sanaa

Wajisifu wakivuta, bangi yawasisimua, Mwisho siku kujutia, vichwa ikiwasumbua, Washindwa kufurukuta, wengine kujinunia, Bangi na sanaa noma, kama mkijivutia.  soma zaidi...


14/7/2016 comment

 

Atakaye kusifiwa

Kazi umejifanyia na ujura unapewa, Wajibu uliokuwa, wala haujatimia, Ufanisi umevia, na ufanifu nafaa, Atakaye kusifiwa, wasiwasi anitia.  soma zaidi...


14/7/2016 comment

 

Afrika ya Leo

Afrika yetu ya leo, siyo kama ya jana, Binadamu wanauana, kikatili wachinjana, Hakuna hurumiana, wote wanalaumiana, Afrika yetu ya kesho, haitokuwa ya leo.  soma zaidi...


14/7/2016 comment

 

Idd iwe na Amani

Naanza Bismillah, kwa nguvu zake Wadodi, Ni sikukuu Wallahi, inayokuja na Idd,  soma zaidi...


29/1/2015 comment

 

KWAHERI OMAR BABU

Kwanza ni mwanzaji, mwisho ni kwa muishaji, Kwaheri Omar Babu, tulobaki twakumbuka.  soma zaidi...


29/1/2015 comment

 

KIFO SOTOA FIDIA!

Ni hisia sauti, yake Abu Marijani, Ole wako wachukuwa, paso naya kaisari.  soma zaidi...


24/1/2015 comment

 

HAKI HAIPO

Napangusa machozi, liyotukia Lang’ata, Tutapata wapi haki, Kenya imejaa dhambi.  soma zaidi...


22/1/2015 comment

 

RAMBIRAMBI BABU

Swahiba Babu Omari , alikuwa ni mahiri Mtunzi wa mashairi , mwandishi na mhariri  soma zaidi...


22/1/2015 comment

 

BURIANI ABU

Alikuwa maridhia, si mtu mwenye kuringa, Na asingeshabikia, lugha ukiiboronga  soma zaidi...


22/1/2015 comment

 

MLAZE PEMA BABU

Shaha akatutokeko, dunina kaiagako, Roho yake Marjani, Ilazwe pema peponi.  soma zaidi...


22/1/2015 comment

 

MSIBA ULOTUFIKA

Hatuwezi kususia, kifo ni tangu wa tangu, Mola mlaze peponi, ndugu Abu Marijani.  soma zaidi...


29/1/2015 comment

 

AMETUAGA OMAR BABU

Alo msomi aali, gonjwa kamfanya tuli, Jalia mlaze pema, mhadhiri Omar Babu.  soma zaidi...


29/1/2015 comment

 

AII! BOB OKOTH TENA?

Mhariri mtajika, wa zama Taifa Leo, Namlia bwana Bob, kumbe hayu nasi tena!  soma zaidi...


29/1/2015 comment

 

ILLAHI TUHIFADHIE

Alikuwa ni mteshi, sikizani niwambie. Amehama Ulimwengu, Omar katuondokea.  soma zaidi...


29/1/2015 comment

 

BURIANI MARIJANI

Mangi ulinifundisha, Lugha ngeli na mitungo, Buriani marijani, Mola kakulaze pema!  soma zaidi...


29/1/2015 comment

 

KWAHERI OMAR BABU

Kwanza ni mwanzaji, mwisho ni kwa muishaji, Kwaheri Omar Babu, tulobaki twakumbuka.  soma zaidi...


29/1/2015 comment

 

KIFO SOTOA FIDIA!

Ni hisia sauti, yake Abu Marijani, Ole wako wachukuwa, paso naya kaisari.  soma zaidi...


29/1/2015 comment

 

MOLA AMLAZE PEMA!

Ninasoma gazetini, hayupo tena Omari, Mola amlaze pema, peponi palipo wema.  soma zaidi...


22/1/2015 comment

 

MSILILIE MARIJANI

Tukiuliza kwa nini, atayejibu ni nani? Msilie Marijani, roho zenu lilieni.  soma zaidi...


21/1/2015 comment

 

KIFO KIMEATUWA MIOYO

“Mti mkuu kugwaa, viyoyo tu mashakani, Kifo cha Omar Babu, kimeatua mioyo.”  soma zaidi...


21/1/2015 comment

 

MTUNZI OMAR BABU

Kazi yake Rahamani, kwa Omari ‘metimia, Tumuage kwa heshima, mtunzi Omari Babu.  soma zaidi...


21/1/2015 comment

 

AMEONDOKA MHENGA

Umetuwacha mhenga, akusetiri Jalali, Mungu akulaze pema, ndugu yetu Marjani.  soma zaidi...


21/1/2015 comment

 

KIFO CHA MARIJANI PIGO

Angengoja ziraili, Marijani awe babu, Akitutiya makali, Kiswahili Kiarabu, Kifo chake shaha 'Abu, ni mjeledi mkali!  soma zaidi...


21/1/2015 comment

 

PENGO KUBWA LITABAKI

La mno limetukia, katukumba ukumbini, Pengo kubwa litabaki, Marjan kutuacha.  soma zaidi...


22/1/2015 comment

 

BURIANI ABU

Alikuwa maridhia, si mtu mwenye kuringa, Na asingeshabikia, lugha ukiiboronga  soma zaidi...


22/1/2015 comment

 

MLAZE PEMA BABU

Shaha akatutokeko, dunina kaiagako, Roho yake Marjani, Ilazwe pema peponi.  soma zaidi...


22/1/2015 comment

 

MSIBA ULOTUFIKA

Hatuwezi kususia, kifo ni tangu wa tangu, Mola mlaze peponi, ndugu Abu Marijani.  soma zaidi...


22/1/2015 comment

 

BURIANI MARIJANI

Kifo chako Marijani, wengi tumeshitukiya, Kule kwetu ukumbini, kilio umetwachiya  soma zaidi...


13/1/2015 comment

 

WAGANGA MNA NINI!

Enzi ya utandawazi, kwa wengine tandawizi, Twambiye nani mkweli, na nani ni mtapeli!  soma zaidi...


11/12/2014 comment

 

KATI YA SURA NA TABIA

Nawauza n'anueni, weledi wa haya mambo,  soma zaidi...


6/12/2014 comment

 

MANDERA KULIKONI

Mandera ya waziwazi, mikosi na mavamizi, Mandera twomba azizi, utusikie Mwenyezi!  soma zaidi...


6/12/2014 comment

 

UBAKAJI USHINDWE

Rijali liso utu chembe, kiusena lawazuga, Twamkemeya shetani, wa ubakaji kabisa!  soma zaidi...


6/12/2014 comment

 

KIMAKONDE SI KINGINDO

Timazi ya lugha gwanda, ata kuiweka kando, Kimakonde si Kingindo, lafudhi hipigwi randa.  soma zaidi...


6/12/2014 comment

 

TUKISIFIE KISWAHILI

Ngalawa ninaabiri, Kiswahili kusifia, Sitokoma kome kome, kusifia Kiswahili.  soma zaidi...


6/12/2014 comment

 

MASKINI WA NIDHAMU

Vazi lako ukipima, viungovyo lisetiri, Masikini wa nidhamu, limwengu mekuzoea.  soma zaidi...


3/12/2014 comment

 

TUSIFU KISWAHILI

Ngalawa ninaabiri, Kiswahili kusifia, Kinazidi kushamiri, taifani chaenea, Sitokoma kome kome, kusifia Kiswahili.  soma zaidi...


3/12/2014 comment

 

TUJIFUNZE KISWAHILI

Neno moja liliyoko, la tafauti maani Nami pia tabaini, niongeze yaliyoko  soma zaidi...


27/11/2014 comment

 

MANDERA KULIKONI?

Mandera twomba tulizi, ndo usalama tetezi, Mandera twomba azizi, utusikie Mwenyezi!  soma zaidi...


5/12/2014 comment

 

TUMECHOKA KUFA

Kila siku visavisa, roho zinadekadeka Mauaji ya Mandera, sasa tumechoka kufa!  soma zaidi...


3/12/2014 comment

 

TUSIFU KISWAHILI

Ngalawa ninaabiri, Kiswahili kusifia, Kinazidi kushamiri, taifani chaenea, Sitokoma kome kome, kusifia Kiswahili.  soma zaidi...


3/12/2014 comment

 

TUJIFUNZE KISWAHILI

Neno moja liliyoko, la tafauti maani Nami pia tabaini, niongeze yaliyoko  soma zaidi...


27/11/2014 comment

 

TUJILINDE TULINDANE

Tuepukeni lawama, Kimaiyo Lenku pia, Raia watajituma, waseme yanotokea.  soma zaidi...


27/11/2014 comment

 

MANDERA KULIKONI?

Mandera twomba tulizi, ndo usalama tetezi, Mandera twomba azizi, utusikie Mwenyezi!  soma zaidi...


27/11/2014 comment

 

MAGAZETI KUFUNGIA NYAMA

Kwa kero ninainama, kuyikashifu dosari, Siyafungieni nyama, magazeti hifadhini!  soma zaidi...


19/11/2014 comment

 

KIFO CHA OTIENO KAJWANG

Daima alisimama, kutetea walegevu Bwana Otieno Kajwang, Mola amlaze pema.  soma zaidi...


19/11/2014 comment

 

VISKETI VYA KUBANA

Wavaaje rinda duni, tena rinda la kubana Lioneshalo mwilini, viungo vya siri pana Kama huo si uhuni, tuuitaje kwa jina?  soma zaidi...


17/11/2014 comment

 

KINA DADA WAKO HURU

Jamani si ustarabu, ghashi kumdhalilisha, Kina dada wako huru, kuvalia wapendavyo.  soma zaidi...


12/11/2014 comment

 

DUNIANI KUNA WAJA

Mengi nimeangalia, moyoni nikaumia, Dunia hini dunia, kuna waja yaonea.  soma zaidi...


12/11/2014 comment

 

MAZINGIRA TUYATUNZE

Tafakuri naileta, iwe chanzo cha karamu, Tuiambae sakata, mazingira tuyatunze,  soma zaidi...


12/11/2014 comment

 

MIHADARATI ACHENI

Haya ninayoyanena, si mambo ya kutania Kueleza ilo wazi, mihadarati acheni  soma zaidi...


12/11/2014 comment

 

TUJIFUNZE KISWAHILI

Paa sehemu ya nyumba, jengo linapo simama, Paa mfume kigumba, nawe ukapate nyama,  soma zaidi...


10/11/2014 comment

 

MOLA WALAZE PEMA

Machungu yatulemea, shufaa metutoweka, Mola awalaze pema, polisi walouwawa.  soma zaidi...


10/11/2014 comment

 

HONGERA GOR MAHIA

Kwa hakika mekazana, hamnani wa kukana, Hongera Gor mahia, ligi kuu kunyakua.  soma zaidi...


5/11/2014 comment

 

Bodaboda zatuponda

Kila mara yatendeka, wananchi waumia, Bodaboda zatuponda, wendeshaji tahadhari  soma zaidi...


5/11/2014 comment

 

Injili yenye vitimbi

Vinatendwa bila haya, leyo wamepatikana Injili hii ni ipi?,mchungaji awa fisi  soma zaidi...


5/11/2014 comment

 

Mkosa si mwana

Mkono utaniunga, na kuitia saini Usimlaumu mwana, makosa niye mzazi  soma zaidi...


5/11/2014 comment

 

Mnafiki ni mfitini

Wangi wao ni ja nyuki, na ukiwo mizingani Twabiya ya mnafiki, ni moja na mfitini!  soma zaidi...


5/11/2014 comment

 

Msaada upelekwe Turkana

Wahisani nalia tena,kisikieni kilio hali mbaya Turkana,ni maafa Nakurio  soma zaidi...


5/11/2014 comment

 

Mashabiki tulieni

Mashabiki nawaomba, wasitarabu tuweni Mashabiki tulieni, zetu timu zikicheza  soma zaidi...