Imepakiwa - Thursday, October 30 2008 at 20:13
http://www.mwananchi.co.tz
Kwa muda mrefu, wasomi na wakereketwa wa lugha ya Kiswahili wamekuwa wakihangaika kuhusu mahali ambapo wangeweza kubadilishana maoni ya kitaalamu pamoja na kuiinua, kuipamba na kuikuza lugha ya Kiswahili. Basi! Hakuna subiri subiri tena! Mtandao huu wa Swahilihub utakufahamisha, kukuchangamsha na kukujuza mengi kuhusu lugha hii teule na stahiki...................................