Barabara ya kisasa Pangani

Barabara ya kisasa Pangani

Imepakiwa - Tuesday, February 21  2012  at 15:18

Kwa Mukhtasari

Barabara ya kisasa Pangani

 

Kukamilika kwa barabara kuu ya Thika kunatarajiwa kuchangia katika kupunguza msongamano katika barabara hiyo yenye shughuli nyingi. Pangani ni moja ya maeneo yanayounga barabara hiyo iliyofunguliwa kwa utumiaji wa magari. Hatua hiyo imepunguza msongamano kwa kiasi kikubwa. Eneo hilo la Pangani lina muundo wa kipekee wa barabara hizo mpya katika kanda ya Afrika Mashariki.

Share Bookmark Print

Rating

 

 

 

 

 

 

Most Popular

Wabunge 175 kutahiriwa Zimbabwe

Wabunge 175 nchini Zimbabwe watapashwa tohara kufikia mwisho wa mwezi ujao katika juhudi za kuhamasisha wanaume

Mwanawe Waziri wa Fedha ajitia kitanzi

MWANAWE Waziri wa Fedha Njeru Githae anadaiwa kujiua nyumbani kwao Runda, Nairobi. Polisi wameanzisha uchunguzi

Polisi waendelea kusaka walioshambulia Mombasa

Polisi wameanzisha msako mkali kutafuta washukiwa waliotekeleza shambulio la kigaidi katika mkahawa wa Bella Vista,

Utengano wakumba ukumbusho wa Wanjiru

Ibada mbili tofauti zilifanywa kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha bingwa wa marathon katika Olimpiki Samuel