Na MWANDISHI WETU ( email Mwandishi)
Imepakiwa - Thursday, February 2 2012 at 23:35Kwa Mukhtasari
Wabunge wa ODM waambia Rais kuwa alifanyiwa hisani kwa kuungwa mkono na Waziri Mkuu Raila Odinga mwaka 2002
SHEREHE za ufunguzi wa uwanja mpya wa ndege wa kimataifa wa Kisumu ziligeuzwa uwanja wa siasa Alhamisi huku wabunge wa ODM wakimtaka Rais Mwai Kibaki aeleze uungaji mkono wake kwa Waziri Mkuu Raila Odinga kuwa rais.
Wabunge hao walioongozwa na Waziri wa Ardhi, Bw James Orengo, na Kiranja mwenza wa serikali bungeni, Bw Jakoyo Midiwo waliambia Rais kuwa alifanyiwa hisani kwa kuungwa mkono na Waziri Mkuu Raila Odinga mwaka 2002.
Lakini Rais Kibaki hakuzungumzia siasa. Rais alikuwa ameandamana na Bw Odinga kufungua uwanja huo uliokarabatiwa kwa gharama ya Sh3 bilioni na kufanywa wa ngazi ya kimataifa.
Wabunge 175 nchini Zimbabwe watapashwa tohara kufikia mwisho wa mwezi ujao katika juhudi za kuhamasisha wanaume
MWANAWE Waziri wa Fedha Njeru Githae anadaiwa kujiua nyumbani kwao Runda, Nairobi. Polisi wameanzisha uchunguzi
Polisi wameanzisha msako mkali kutafuta washukiwa waliotekeleza shambulio la kigaidi katika mkahawa wa Bella Vista,
Ibada mbili tofauti zilifanywa kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha bingwa wa marathon katika Olimpiki Samuel