Miamba wa siasa wabwagwa

Ababu Namwamba

MIAMBA kadhaa wa kisiasa wameonekana kutingishwa na wapigakura katika uchaguzi uliofanyika

Tolea Maoni...

Matiang'i awapongeza Wakenya kwa kudumisha amani

Fred Matiang'i

Kaimu Waziri wa Usalama wa Ndani Dkt Fred Matiang'i amepongeza wananchi kwa kudumisha amani siku

Tolea Maoni...

Mwangi Wa Iria kidedea, arejea afisini kwa awamu ya pili

Mwangi wa Iria

Gavana wa kaunti ya Murang’a, Mwangi wa Iria, amerejea afisini kwa awamu ya pili baada ya kuzoa

Tolea Maoni...

Wanawake waendelea kuvuna nafuu katika matokeo ya uchaguzi 2017

Anne Waiguru

Historia tena imeandikwa hapa nchini Kenya kupitia wanawake wawili kuchaguliwa moja kwa moja

Tolea Maoni...

Nick Salat wa 'ndani' atupwa nje

Nick Salat

Mwasisi wa kauli mbiu ya Ndani, Ndani, Ndani Kabisa katika kampeni za uchaguzi mkuu wa Agosti 8,

Tolea Maoni...

Joyce Laboso aibuka gavana wa kwanza mwanamke kuchaguliwa Kenya

Joyce Laboso

Gavana wa kwanza mwanamke hapa nchini ameibuka kwa umbo na sura ya Bi Joyce Labosso ambaye

Tolea Maoni...

Raila adai matokeo hayaakisi hali halisi

Raila Odinga

Kinara wa muungano pinzani wa National Super Alliance (Nasa) Raila Odinga amepinga vikali matokeo

Tolea Maoni...

LIVE BLOG 3: Uchaguzi Mkuu 2017

UCHAGUZI Mkuu umeendeshwa kwa amani Alasiri ya Jumanne licha ya visa vya hapa na pale vya hongo

Tolea Maoni...

LIVE BLOG 2: Uchaguzi Mkuu 2017

Mutomo

Uchaguzi Mkuu unaendela Jumanne katika vituo vingi. Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amesema

Tolea Maoni...

LIVE BLOG 1: Uchaguzi Mkuu 2017

Uchaguzi Mkuu

SIKU ambayo Wakenya wamekuwa wakiisubiri kwa hamu hatimaye imefika, Agosti 8, 2017. Wawaniaji wa

Tolea Maoni...

Rais Magufuli ‘awakaanga’ mawaziri wake

Charles Tibenza

Ni Charles Mwijage, Dkt Tibeza na Profesa Mbarawa

Tolea Maoni...

Rais awarai Wakenya kudumisha amani uchaguzini

Rais Uhuru Kenyatta

RAIS Uhuru Kenyatta Jumatatu aliwahimiza Wakenya kuzingatia amani, akisisitiza kwamba Uchaguzi

Tolea Maoni...

Onyo kali la Chebukati dhidi ya kuingiliwa kwa maafisa

Wafula Chebukati

MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amewaonya maafisa wa

Tolea Maoni...

Hofu mauaji ya kisiasa ni ishara patazuka fujo

Kagwiria Mbogori

TUME ya Kitaifa kuhusu Haki za Binadamu (KNCHR) imeeleza wasiwasi wake kuhusu ongezeko la visa

Tolea Maoni...

Jubilee kutumia machifu kupeleka watu vituoni

Alex Ole Nkoyo

CHAMA cha Jubilee kimeweka mpango unaowahusisha hata machifu kuhakikisha kila mmoja wao

Tolea Maoni...

Shaka ya NASA kuhusu hatua za mwisho za IEBC

Kalonzo na Mudavadi

MUUNGANO wa NASA umeibua wasiwasi upya kuhusu maandalizi ya Uchaguzi Mkuu utakaofanywa Jumanne.

Tolea Maoni...

Uchaguzi 2017: Uamuzi ni wako

Uhuru Raila

WAKENYA sasa wana fursa nyingine ya kuamua ni nani atawaongoza kwa kipindi kingine cha miaka

Tolea Maoni...

Mikakati ya kudumisha amani, kufanikisha uchaguzi mkuu yaanza

Foleni ya kupiga kura

Usalama mkali utawekwa kuanzia Jumamosi, siku tatu kabla ya Kenya kuingia katika maamuzi ya

Tolea Maoni...

Fungakazi: Kampeni zafika tamati Kenya kupisha uchaguzi Agosti 8

Afraha

Jumamosi Agosti 5, 2017 imekuwa siku ya mwisho kwa wanasiasa na mirengo mikuu nchini Kenya

Tolea Maoni...

PK asema yeye asiposhinda anaamini Sonko atachaguliwa

Peter Kenneth

Huku kampeni kwa wawaniaji nyadhifa katika uchaguzi mkuu wa Jumanne ijayo zikiwa zimefika kikomo

Tolea Maoni...

Moto wasababisha hasara Mbaraki

Mafuta

Watu kadhaa wamepata majeraha mabaya baada ya moto mkubwa kuteketeza kampuni ya mafuta ya Mbaraki

Tolea Maoni...

Kagame ashinda urais Rwanda

Paul Kagame

Rais wa Rwanda Paul Kagame amehifadhi kiti chake cha urais ahudumu awamu ya tatu kipindi cha

Tolea Maoni...

Pigo kwa Jubilee kaunti ya Kisii, mwaniaji wake wa pili aaga dunia

Mikosi ya kupoteza wawaniaji katika jamii ya Wagusii inaendelea kuandama chama cha Jubilee Party,

Tolea Maoni...

Waganda wawili, Mkenya wanaswa Uganda kuhusiana na kifo cha Msando

Waganda wawili na Mkenya wameripotiwa kutiwa mbaroni katika taifa jirani la Uganda wakihusishwa

Tolea Maoni...

Jumbe za amani zatawala mkutano wa Jubilee uwanjani Uhuru Park

Uhuru Park

Mrengo wa serikali ya Jubilee unaoongozwa na Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto

Tolea Maoni...

Jamleck Kamau avitaka vyombo vya habari viwajibikie uchaguzi mkuu kisheria

Jamleck Kamau

Jamleck Irungu Kamau ambaye ni mbunge anayeondoka wa eneo bunge la Kigumo sasa amejitokeza

Tolea Maoni...

Watu 11 wauawa kwenye shambulio Tana River

Samuel Kilele

Watu 11 wameuawa na wengine 10 kujeruhiwa alfajiri katika shambulio linalodaiwa kuwa la ulipizaji

Tolea Maoni...

Ardhi ya Adc isipigwe mnada, watishia viongozi

Shirika la Maendeleo ya Kilimo

Viongozi wa kaunti ya Trans Nzoia wameitaka serikali kusitisha mpango wa kuuzwa, kwa njia ya

Tolea Maoni...

Jinsi walivyoingia Kenya wakahatarisha usalama

Uhalifu wa teknolojia ya kisasa

Katika kipindi cha mwezi mmoja, raia 77 wa Uchina na wengine zaidi ya 80 wa Ethiopia walipatikana

Tolea Maoni...

Amrouche kutangaza kikosi cha Cecafa Jumapili

Kocha wa Harambee Stars, Adel Amrouche mnamo Jumapili atataja kikosi kitakachowakilisha Kenya

Tolea Maoni...

Njia ya watu waongo kwenye uhusiano kuwa fupi karibuni

Wachumba

Ikiwa wewe ni mwanamume na umezoea kutoa ahadi za uongo kwamba utawaoa wanawake, kaa chonjo.

Tolea Maoni...

Aibu mwalimu kunaswa na kamera akiiba dukani

Mwalimu wa shule ya msingi ni kati ya washukiwa watatu waliokamatwa Jumapili kuhusiana na wizi

Tolea Maoni...

TNA kupinga jaribio la kaunti kukopa Sh4b

Onyango Oloo

Chama cha The National Alliance (TNA) kimesema kwamba kitapinga jaribio la serikali ya Kaunti ya

Tolea Maoni...

Wachuuzi wa kike wamwosha mwenzao hadharani

Wakulima, Nakuru

Kulikuwa na kizaazaa katika soko la Wakulima, Nakuru baada ya wachuuzi wa kike kumwosha kwa nguvu

Tolea Maoni...

Mbwembwe zasheheni maadhimisho ya miaka 50 ya jeshi la angani

Kulikuwa na mbwembwe tele leo katika makao makuu ya Jeshi la Wanahewa Kenya mtaani Eastleigh,

Tolea Maoni...

Wamtetea Murkomen eti alihusika kuondolewa kwa Kimaiyo

Kundi la vijana na wataalamu wamemtetea Seneta Kipchumba Murkomen dhidi ya madai ya baadhi ya

Tolea Maoni...

HABARI ZA HIVI PUNDE

Toa Maoni

 

 

Blogu

Toa Maoni