Nkurunziza azuru TZ kwa mara ya kwanza tangu jaribio la mapinduzi

Pierre Nkurunziza

Takriban miaka miwili sasa imetimia tangu jaribio la kutaka kupindua serikali ya Burundi chini ya

Tolea Maoni...

Qatar yapunguziwa masharti iliyopewa

MATAIFA manne ya Kiarabu yaliyositisha uhusiano wake wa kidiplomasia na Qatar, sasa

Tolea Maoni...

Wizkid kutumbuiza katika shoo ya mbashara KICC

Wizkid

Mashabiki wa mwanamuziki Ayodeji Ibrahim Balogun al-maarufu Wizkid kutoka Nigeria, wana kila

Tolea Maoni...

Rais Trump alifanya mkutano wa faragha na Putin

Vladimir Putin

Vyombo vya habari Marekani Jumatano vimedokeza kuwa Rais wa taifa hili Donald Trump alikutana na

Tolea Maoni...

Maseneta wawili wakwamisha mpango kubadili ‘Obamacare’

Donald J. Trump

Juhudi za Rais Donald Trump kutaka kuubadili muswada wa afya wa matibabu nafuu ulioidhinishwa na

Tolea Maoni...

Ndege ya makamu wa rais Afghanistan yakatazwa kutua

Ndege iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa Afghanistan Abdul Rashid Dostun ilikatazwa kutua

Tolea Maoni...

Upinzani watishia kususia uchaguzi Congo

UPINZANI umetishia kususia uchaguzi wa wabunge na madiwani utakaofanyika Jumapili ikiwa serikali

Tolea Maoni...

Waumini wafariki wakibatizwa mtoni

MAAFISA wa polisi wamemtia mbaroni mchungaji wa Kanisa la Shalom kufuatia kifo cha waumini wawili

Tolea Maoni...

Qatar yapunguziwa masharti iliyopewa

Mataifa manne ya Kiarabu yaliyositisha uhusiano wake wa kidiplomasia na Qatar, sasa

Tolea Maoni...

Hisia za mapenzi kati ya Delle Ali na Rubi zazidi kufifia

PENZI la kiungo hatari wa Tottenham Hotspurs, Delle Ali kwa kichuna  mwanamitindo Ruby Mae huenda

Tolea Maoni...

Courtois amtema mpenzi wake kuchumbia mlezi wa mbwa

Thibaut Courtois

BAADA ya kuthibitisha kumtema demu wake wa siku nyingi Marta Dominguez ambaye anatarajia kumzalia

Tolea Maoni...

'Team Mafisi' wachochea demu wa Ronaldo kufutwa kazi

Cristiano Ronaldo

TEAM mafisi wamemsababisha msupa wa fowadi hatari Cristiano Ronaldo, kichuna Georgina Rodriguez

Tolea Maoni...

Rais Magufuli azindua reli ya kisasa 'SGR'

Rais John Magaufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa reli ya kisasa ya ‘Standard Gauge” katika

Tolea Maoni...

Taasisi zakemea utekaji nyara Tanzania

Matokeo ya utekaji yanayoendelea nchini yanazidi kupingwa na taasisi tofauti ambazo zinaitaka

Tolea Maoni...

A Man Like You kuoneshwa katika mataifa kadha Afrika

Baada ya kuzinduliwa mwaka 2016, mchezo kwa jina A Man Like You unatarajiwa kuonyeshwa katika

Tolea Maoni...

Makali ya njaa yakeketa nchi nyingi Afrika

Baa la njaa Baringo

Nchi kadha barani Afrika zimekumbwa na baa la njaa kiasi cha Umoja wa Mataifa (UN) kutaja hali

Tolea Maoni...

Janet Jackson apapurwa mtandaoni

Janet Jackson

Muda wa saa kadha baada ya uvumi kuenea kuwa nyota wa pop kutoka nchini Marekani Janet Jackson na

Tolea Maoni...

Kenya yadumisha ubabe Daegu Marathon

KWA mwaka wa pili mfululizo Kenya imenyakua mataji ya Daegu Marathon nchini Korea Kusini baada ya

Tolea Maoni...

Mandela aipa Maritzburg United ushindi

MKENYA Brian Mandela alifungia wenyeji Maritzburg United bao lililozamisha Ajax Cape Town 2-1

Tolea Maoni...

Maradona kuishtaki kampuni ya michezo ya video

Diego Maradona amesema kuwa atamshtaki mwanzilishi wa video ya michezo ya Pro Evolution, Konami.

Tolea Maoni...

Nyamweya amtaka Mwendwa amheshimu

Sam Nyamweya

Rais wa zamani wa Shirikisho la soka nchini Sam Nyamweya kamtaka mrithi wake Nick Mwendwa ampe

Tolea Maoni...

Kabras, Harlequins zafuzu nusu fainali raga

Kabras Sugar na Kenya Harlequins zimefuzu kushiriki mechi za nusu-fainali za Ligi Kuu ya Raga ya

Tolea Maoni...

Michael Olunga aendelea kula benchi Guizhou

Licha ya kung’aa katika Harambee Stars, Michael Olunga alisalia shabiki kwa mechi ya tatu

Tolea Maoni...

AFC Leopards yaipapura Nzoia Sugar 2-1

AFC Leopards

Mabingwa wa zamani AFC Leopards wamesajili ushindi wa pili mfululizo katika Ligi Kuu ya Soka ya

Tolea Maoni...

Kayole Asubuhi yaipepeta Ajax Youth magoli 5-0

MacMillan

Kayole Asubuhi iliipepeta Ajax Youth kwa magoli 5-0 kwenye mgaragazano wa kufukuzia ubingwa wa

Tolea Maoni...

Jepkosgei avunja rekodi ya ulimwengu ya Half Marathon

Joyciline Jepkosgei

Mkenya Joyciline Jepkosgei amevunja rekodi ya Ulimwengu ya Prague Half Marathon katika fainali ya

Tolea Maoni...

Copa Coca-Cola yapigwa jeki Sh15 milioni

Mashindano ya soka ya chipukizi ya Copa Coca-Cola yamepigwa jeki kwa Sh15 milioni na kampuni ya

Tolea Maoni...

Ze Maria akubali kurudi kazini baada ya kuigomea Gor

Ze Maria

Mkufunzi wa Gor Mahia raia wa Brazil, ‘Ze Maria’ Marcelo kakubali kurudi kazini baada ya mgomo wa

Tolea Maoni...

Paul Tergat aomba fursa kuisafisha NOCK

Paul Tergat

Mwanariadha mstaafu Paul Tergat, mshikilizi wa zamani wa rekodi ya dunia mbio za marathon,

Tolea Maoni...

Ndani miaka 21 kwa kumbaka mtoto wake msagaji

Mwanamume mmoja Muingereza amefungwa jela miaka 21 kwa makosa 13, moja la kubaka mtoto wake wa

Tolea Maoni...

Trump adai Obama alidukua mawasiliano yake ya simu

Donald Trump

Ni katika juhudi za Rais Trump kupambana dhidi ya shutuma zilizoelekezwa kwake kuhusu uhusiano

Tolea Maoni...

Mwathiriwa na mbakaji wake waandika kitabu pamoja

Muathiriwa wa unajisi na mbakaji wake wameandika kitabu kusaidia watu waliojipata katika hali

Tolea Maoni...

Dereva kufurushwa kwa kufumaniwa akipapasa kichuna

Mzawa mmoja wa India anayeishi nchini New Zealand huenda akafurushwa baada ya kupatikana na hatia

Tolea Maoni...

Nokia kizimbani kwa kuiba uvumbuzi wa Blackberry

KAMPUNI ya Nokia iliyokosa mpinzani katika masuala ya teknolojia ya simu katika miaka ya 2000 na

Tolea Maoni...

Australia kutumia Sh397m kuangamiza paka shume

Serikali ya Australia itatumia karibu Sh397 milioni kuua paka shume milioni mbili kufikia mwaka

Tolea Maoni...

Mugabe atawania urais akiwa maiti na ashinde - Grace

mugabe

MKEWE Rais wa Zimbabwe, Robert Bob Mugabe, Bi Grace Mugabe amesema kiongozi huyo anahusudiwa

Tolea Maoni...

Waziri wa Sudan Kusini ajiuzulu na kujiunga na waasi

Riek Machar

Waziri katika serikali ya Sudan Kusini amejiuzulu na kujiunga na mrengo wa waasi.

Tolea Maoni...

Watu 1.1 milioni hufa kutokana na hewa chafu India

Machafuko ya hewa India yanasababisha vifo vya watu milioni 1.1 kila mwaka, idadi inayodhaniwa

Tolea Maoni...

Pendekezo wanaovaa 'mharisho' wapigwe faini

VIJANA wanaopenda kushusha suruali ndefu chini ya makalio wakiwa mitaani wamo hatarini kutozwa

Tolea Maoni...

Asema aliiba kwa kuwa Yesu alitaka awe bwanyenye

LAKELAND, UINGEREZA MSHUKIWA wa wizi alishangaza mahakama aliposema aliiba kwa sababu Yesu

Tolea Maoni...

Eric Omondi amshukuru Diamond Platnumz

Eric Omondi

Eric Omondi ambaye ndani ya miezi miwili ijayo atakuwa na shoo yake ya televisheni nchini

Tolea Maoni...

Jinsi arosto inavyowaathiri watumiaji wa dawa za kulevya

Daktari bingwa mwandamizi wa Tiba na Afya ya Akili katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)

Tolea Maoni...

Shambulizi la kombora laua watu 3 Mogadishu

Takriban watu watatu wakiwemo watoto wawili waliuawa na wengine watano walijeruhiwa

Tolea Maoni...

Mwanamke wa miaka 64 ajifungua pacha

MWANAMKE wa miaka 64 alijifungua pacha mjini Burgos, Kaskazini mwa Uhispania.

Tolea Maoni...

Gaidi ajiua akilenga kushambulia wanajeshi

MAGAIDI wa kundi la ISIS wanazidi kuangamia kwa njia za kushangaza Syria, kwani mwingine tena

Tolea Maoni...

Binti afichua uovu wa marehemu babake kwenye tanzia

MWANAMKE alienda kinyume na matarajio alipoandika tanzia ya babake, Bw Leslie Ray Charping kwa

Tolea Maoni...

Mwanamke mwingine akamatwa kuhusiana na mauaji

Maafisa wa polisi wanachunguza mauaji ya ndugu wa kambo wa kiongozi wa Korea Kaskazini.

Tolea Maoni...

Kizaazaa mwili jenezani 'kutekwa nyara' sababu ya deni

Kizazaa kilitokea wakati wahudumu katika makaburi walitoa mwili jenezani na ‘kuuteka nyara’ kwa

Tolea Maoni...

Mpiga kengele aanguka kutoka futi 100 juu ya kanisa

KISA cha kushangaza kilishuhudiwa wakati mpigaji kengele kanisani aliponusurika kifo kwa

Tolea Maoni...

Sitashiriki Olimpiki 2020, Bolt aweka wazi

Usain Bolt amethibitisha kuwa hatashiriki Olimpiki 2020. Baada ya kupokonywa medali moja ya

Tolea Maoni...

Yahoo yaonya kuhusu kudukuliwa kwa akaunti za baruapepe

Shirika la Yahoo limeonya watumiaji kuhusu uwezekano wa kuingiliwa kwa akaunti zao kati ya 2015

Tolea Maoni...

Chunga! kupiga hedi husababisha matatizo ya ubongo

WACHEZAJI kandanda huenda wakahitajika kujihadhari baada ya utafiti kupata mtindo wa kupiga

Tolea Maoni...

Marekani kuipa Kenya mabilioni kukabili ukame

Uhaba wa maji

Marekani imetangaza rasmi kwamba janga kuu linashuhudiwa katika maeneo kame nchini Kenya kutokana

Tolea Maoni...

Uchaguzi DRC hautufanyika, fedha hazitoshi

Nchi ya Congo (DRC) haitafanya uchaguzi wa urais mwaka huu kwa kukosa pesa za kutosha kufanyisha

Tolea Maoni...

Msisimko buibui kumlemea nyoka kwenye vita vikali

MSISIMKO umetanda mitandaoni baada ya vita visivyo vya kawaida kati ya nyoka na buibui kunaswa

Tolea Maoni...

Aliyedai wanyama hawana haki 'aadhibiwa' na fahali

MWANAMUME alinusurika kifo alipogongwagongwa na ng’ombe dume baada ya kudai “wanyama hawana

Tolea Maoni...

Je, hii ni ithibati ya Adele kuolewa?

Tetesi zinaeleza kuwa Mshindi wa Grammy Adele ameolewa.

Tolea Maoni...

Marekani yawaangamiza magaidi 60,000 wa ISIS

Mkuu wa Jeshi Maalum la Marekani Jumanne alisema majeshi ya Marekani na washirika wake yalikuwa

Tolea Maoni...

Yafichuka Kim Jong Nam aliuawa na wanawake

Imebainika kuwa nduguye kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un aliuawa na wanawake wawili.

Tolea Maoni...

Yaibuka wandani wa Trump walishirikiana na Urusi

NI WAZI sasa, wasaidizi wa Trump walikuwa katika mawasiliano na Urusi wakati wa kampeni zake.

Tolea Maoni...

Shimo kubwa latokea ghafla, nusura limeze watu

Lilisababisha maafa makubwa kwani barabara katika eneo hilo iliporomoka.

Tolea Maoni...

Raia wa Pakistan walivyoteseka Valentino kufutwa

Raia wa Pakistan hawakusherehekea siku ya Valentine baada ya Mahakama Kuu kupiga marufuku sherehe

Tolea Maoni...

Uchunguzi waanzishwa kuhusu kifo cha nduguye Kim Jong Un

Mwanamume anayedhaniwa kuwa nduguye wa kambo kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un alifariki

Tolea Maoni...

Trump ampiga marufuku rais wa Venezuela kuzuru Amerika

Marekani imemfungia nje Makamu wa Rais wa Venezuela Tareck El Aissami kwa madai ya kuhusika

Tolea Maoni...

Watu 13 wauawa katika vita vya kikabila Mali

Takriban watu 13 waliuawa katikati mwa Mali kutokana na migogoro ya kijamii kati ya makabila ya

Tolea Maoni...

Mwanamume ndani kwa kuwakojolea wasagaji

MWANAMUME alikamatwa kwa kushambulia wapenzi wasagaji na kuwakojolea ndani ya treni.

Tolea Maoni...

Sababu ya Flynn kugura kazi yake White House

Mshauri wa White House wa masuala ya kiusalama Michael Flynn alijiuzulu Jumatatu Februari 13,

Tolea Maoni...

Nokia sasa yapanga kurudisha 3310 sokoni

KAMPUNI ya utengezaji simu ya Nokia inapanga kuanza upya utengezaji wa simu aina ya Nokia 3310,

Tolea Maoni...

Bwawa labomoka na kusababisha mafuriko mjini

MAMIA ya maelfu ya wakazi wamelazimika kuhama baada ya bwawa kubwa la Oroville kubomoka.

Tolea Maoni...

Huzuni mtoto kufariki baada ya kuangukiwa na kabati

HUZUNI ilitanda katika duka la mavazi wakati kabati lilipoangukia mtoto mwenye umri wa miaka 10

Tolea Maoni...

Mwanamke amnyonyesha nguruwe hadharani

LIMA, PERU MWANAMKE aliwaacha watu wengi midomo wazi alipoamua kumnyonyesha mwananguruwe

Tolea Maoni...

Sijarudiana na Wiz Khalifa, asema Amber Rose

Amber Rose

Amber Rose, amekanusha tetesi kuwa karudiana na mume wake rapa mkali Wiz Khalifa licha ya wao

Tolea Maoni...

Wimbo wa masimango I Run 254 ulinifungulia milango - Khaligraph

Khaligraph Jones

Rapa Khaligraph Jones amedai kuwa wimbo wake wa masimango (diss-track) ‘I Run 254’ dhidi ya rapa

Tolea Maoni...

Twitter bado yaselelea katika mapato

Twitter

Mtandao wa kijamii maarufu Twitter haujapata nafuu.

Tolea Maoni...

Diamond aahidi kumrudisha Q-Chief kwenye gemu

Q-Chief

Mkali wa Bongo Flava, Diamond Platnumz kadai kuwa amejipanga kumrudisha tena msanii staa

Tolea Maoni...

Sioni haja ya kuanika picha ya mpenzi wangu - Mavoko

Rich Mavoko

Msanii wa Bongo Flava, Rich Mavoko, kasema kuwa katika maisha yake ya muziki, haoni la maana

Tolea Maoni...

Watu saba wanyongwa kwa kutekeleza mauaji

WATU saba akiwemo jamaa wa kiongozi wa taifa walinyongwa Jumatano, kulingana na shirika la

Tolea Maoni...

Basi linalojiendesha lenyewe lazinduliwa

PARIS, UFARANSA BASI linalojiendesha lenyewe bila dereva linafanyiwa majaribio kubadili hali ya

Tolea Maoni...

Mlipuko wa mabomu waua watu saba Somalia

WATU wasiopungua saba waliuawa baada ya mabomu yaliyotegwa kwenye magari yalipolipuka nje ya

Tolea Maoni...

Mlipuko watokea katika kiwanda cha bangi

KIWANDA cha bangi kilishika moto mkubwa uliohitaji zaidi ya wazimamoto 70 kuudhibiti, ripoti

Tolea Maoni...

Mtoto atiwa nguvuni kwa kushiriki ugaidi

MVULANA mwenye umri wa miaka 12 amekamatwa kwa madai ya kushiriki kwa ugaidi Vienna.

Tolea Maoni...

Uislamu wapigwa marufuku shuleni

SERIKALI imepiga marufuku mafunzo ya dini ya Kiislamu na dini nyingine zote isipokuwa Kikristo

Tolea Maoni...

Ndani kwa kujifanya kikaragosi ili kumshtua mama mjamzito

Kijana aliyekuwa amekamata shoka na kuvalia kama karagosi alihukumiwa kifungo cha miezi sita kwa

Tolea Maoni...

Mtoto akiri kudukua intaneti ya uwanja wa ndege

MTOTO mmoja nchini Marekani alikubali kudukua mfumo wa intaneti wa Uwanja wa Ndege wa Brussels

Tolea Maoni...

Hofu Trump akitazamiwa kuzima mpango wa Green Card

Huenda Marekani ikakomesha mpango wa Green Card Lottery kwa maelfu ya Wakenya ikiwa Rais Donald

Tolea Maoni...

Rwanda yarasimisha Kiswahili kwa mawasiliano

Wabunge wa bunge la chini nchini Rwanda jana waliipitisha sheria ya kukifanya Kiswahili kuwa

Tolea Maoni...

Facebook yaunda kifaa kuimarisha usalama

Facebook

Facebook imetengeneza kifaa cha kuimarisha usalama kinachowawezesha watu kuomba msaada

Tolea Maoni...

Afueni kwa Wema, aachiliwa kwa dhamana ya Sh5 milioni

Wema Sepetu

Malkia wa urembo nchini Tanzania mwaka wa 2006 Wema Sepetu alifikishwa mahakamani Kisutu Jijini

Tolea Maoni...

'Mama Safi' ajitolea kufanya kazi kwa dume akiwa uchi

MAFISI mpo? Mwanamke amejitolea kufanya kazi za nyumbani kwa wanaume akiwa uchi wa mnyama!

Tolea Maoni...

Kimwana atumia Sh10 milioni kwa upasuaji afanane na doli

KIPUSA ameamua kutumia pauni 80,000 (Sh10.4 milioni) kufanyiwa upasuaji ili afanane na doli.

Tolea Maoni...

Mtoto afariki akiadhibiwa kwa kukojoa kitandani

MVULANA mwenye umri wa miaka mitano alifariki baada ya kuadhibiwa na babake wa kambo kwa

Tolea Maoni...

Mwanamume ashangaza kubugia pombe kupitia puani

VIDEO ya kushangaza imechipuka mitandaoni ikionyesha mwanamume akinywa pombe kwa pua lake.

Tolea Maoni...

Afariki kwa kuumwa na nyoka alipojaribu kumbusu

MAPENZI ya nyoka yaligeuka mauti wakati kijana alipofariki baada ya kuumwa na nyoka aliyejaribu

Tolea Maoni...

Bwanyenye ashtua wengi kununua boti la Sh46 bilioni

NOBISKRUG, UJERUMANI HISIA tofauti zimetolewa baada ya bwanyenye kununua boti dogo la kifahari

Tolea Maoni...

Kampuni 97 sasa zafika kortini kumpinga Trump

MASAIBU yanazidi kumkumba Rais wa Amerika Donald Trump baada ya kampuni kubwa 97 kuwasilisha

Tolea Maoni...

Nyoka akwama katika sikio la mwanamke

MWANAMKE aliyekuwa akicheza na nyoka alijuta wakati nyoka huyo alipokwama sikioni mwake.

Tolea Maoni...

Asutwa kwa kumtoa paka manyoya na kumchora tatuu

UPENDO wa Sanaa ya kuchora tatuu mwilini ulimsukuma mchoraji kumfanyia paka wake usanii huo.

Tolea Maoni...

Paka mwenye vichwa viwili na macho matatu azaliwa

KISA  cha kushangaza kilishuhudiwa wakati paka alipozaliwa akiwa na vichwa viwili na macho

Tolea Maoni...

Mama alivyomuua mtoto wake kwa kukataa kupiga mswaki

MWANAMKE alikamatwa kwa kumpiga mtoto wake teke hadi akafariki kwa sababu ya kutopiga mswaki.

Tolea Maoni...

Msichana ajutia 'kuingia boxi' ya jibaba la miaka 37

MSICHANA mwenye umri wa miaka 15 amejutia uamuzi wake wa kutoroka nyumbani na kwenda kuishi na

Tolea Maoni...

Wakatoliki waandamana dhidi ya Papa Francis Roma

Urbi et Orbi

MABANGO yanayomkashifu Papa Francis yalisambaa Roma wikendi lakini yakaondolewa haraka na

Tolea Maoni...

Kanda za muziki wa Bob Marley zapatikana

Bob Marley

Miaka 40 baada ya kupotea kanda za mwanamuziki Bob Marley kwenye chumba cha chini ya ardhi cha

Tolea Maoni...

Madaktari waondoa uvimbe wa kilo 59 tumboni mwa jitu

MADAKTARI walipata uvimbe wenye uzito a kilo 59 kutoka tumboni mwa mwanamume aliyekuwa na uzani

Tolea Maoni...

Uhalifu peupe huku polisi wakianza mgomo

NI soko huru kwa wahalifu Brazil baada ya polisi kugoma katika Jimbo la Espirito Santo.

Tolea Maoni...

Shinikizo aila isimpe Madonna wana pacha

Madonna

Familia ya pacha wa miaka minne ambao mwanamuziki Madonna anapania kuwapanga imeombwa isikubali

Tolea Maoni...

Obama alivyofurahia michezo ya baharini kwenye likizo

Barack Obama

PICHA za kusisimua zimechapishwa kwa mara ya kwanza zikionyesha jinsi Rais wa Amerika aliyeondoka

Tolea Maoni...

Magufuli atoa tamko kuhusu dawa za kulevya

Rais John Magufuli akitoa hotuba

Huku vita dhidi ya dawa za kulevya vikiendelea, Rais wa Tanzania amejitokea kuwaonya wote

Tolea Maoni...

Mkataba wa kibiashara wamrejesha Justin Bieber mtandaoni

Justin Bieber

Mkataba wa tangazo umemrudisha staa wa RnB Justin Bieber kwenye mtandao wa kijamii Instagram

Tolea Maoni...

Kanye West amruka Trump

Kanye West

Baada ya kuwa miongoni mwa wasanii wachache wenye asili ya watu weusi, wanaomsapoti Rais

Tolea Maoni...

SMZ: Epukeni kutumia makuti ujenzi wa hoteli

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amewashauri wawekezaji katika sekta ya

Tolea Maoni...

Bomu lamlipukia gaidi akilitega barabarani

MTAALAMU wa utengenezaji wa bomu zinazotumiwa na magaidi wa kundi la ISIS alijilipua pamoja na

Tolea Maoni...

Familia yashtuka kupata nyoka 29 ndani ya nyumba

FAMILIA ilishtuka wakati nyoka 29 walipopatikana katika sehemu tofauti nyumbani mwao.

Tolea Maoni...

Polisi waomba radhi kuhusu ujumbe wa Twitter

Polisi Atlanta walilazimika kuomba msamaha baada ya kuweka ujumbe katika mtandao wa Twitter

Tolea Maoni...

Obama na familia wafurahia maisha baada ya urais

RAIS wa Amerika aliyeondoka Barack Obama ameonekana kufurahia maisha yake ya uraia akiwa likizoni

Tolea Maoni...

Ni #Brexit 100%, wabunge Uingereza warasimisha

Wabunge Uingereza wameidhinisha mswada wa kumruhusu Waziri Mkuu Theresa May kutumia Kipengee cha

Tolea Maoni...

Trump avunja uhusiano wa Amerika na Australia

Mazungumzo ya simu kati ya Rais Donald Trump na Waziri Mkuu wa Australia Malcolm Turnbull yamezua

Tolea Maoni...

Wapenzi walishwa mijeledi kwa kula uroda nje ya ndoa

WAPENZI wawili walicharazwa mijedeli 26 kila mmoja hadharani baada ya kupatikana wakifanya

Tolea Maoni...

Mama ya Yesu alishiriki mapenzi na Yusufu - mtawa

Yesu Kristo

Mtawa mmoja wa Kanisa Katoliki alishtua waumini wa kanisa hilo kwa kudai kuwa mama wa Yesu Bikira

Tolea Maoni...

Jamii iliyoishi eneo moja kwa miaka 8,000

WATAFITI kutoka Chuo Kikuu cha Cambridge wamebainisha kuna jamii ambayo vizazi vyake havijawahi

Tolea Maoni...

Waombolezaji warushiwa gesi ya kutoa machozi

POLISI walifyatulia waombolezaji gesi ya kutoa machozi walipokuwa wamekusanyika kumwombolesa

Tolea Maoni...

Anyofolewa uume wake kwa kujaribu kuoa 'wa kando'

MWANAMUME aliachwa pabaya aliponyofolewa uume wake kwa kupanga kuoa mwanamke tofauti.

Tolea Maoni...

Zanu-PF kuchinja ng'ombe 150 kwa hafla ya Mugabe

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe

Chama kinachoongoza nchini Zimbabwe cha ruling Zanu-PF kimeanza shughuli ya kuchangisha fedha ili

Tolea Maoni...

KDF kurejea Sudan Kusini baada ya makubaliano

Wanajeshi wa Kenya watarejea Sudan Kusini kujiunga na vikosi vya kudumisha amani baada ya Rais

Tolea Maoni...

Waingereza wataka Trump azimwe kuzuru taifa lao

Donald Trump anazidi kukabiliwa na upinzani kutokana na hatua yake ya kupiga marufuku raia kutoka

Tolea Maoni...

Hisia mseto kuhusu likizo ya hedhi kwa mabinti

Sheria inayowaruhusu wanawake siku moja kila mwezi kukaa nyumbani wanapokuwa na hedhi inaendelea

Tolea Maoni...

Mbwa walilemea joka la futi 8 kwa miereka

MWANAMKE aliponea kuuawa na joka la futi nane wakati mbwa wake wanne walipopigana nalo hadi

Tolea Maoni...

Ki Moon ajiondoa kinyang'anyiro cha urais Korea Kusini

Ban Ki-moon

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki moon amejiondoa katika kinyang’anyiro cha urais

Tolea Maoni...

Loh! Kipusa araruka makalio 'akidondosa'

MITINDO ya kisasa ya wasichana kucheza densi kwa kujionyesha walivyoumbika sehemu za nyuma

Tolea Maoni...

Avamia harusi na kufyatulia umati risasi

ALAGOAS, BRAZIL BIBI na bwana harusi waliponea chupuchupu wakati mvamizi mwenye bunduki

Tolea Maoni...

Adam Johnson kukata rufaa

Adam Johnson

Kiungo wa zamani wa Liverpool na Sunderland, Adam Johnson anayesotea jela akihudumia kifungo

Tolea Maoni...

Sakubimbi waache kumuumbua Diamond - Zari

Zari Hassan

Zari kasema hataki kuzisikia taarifa zozote kuhusu mchepuko wa mpenzi wake na hata kama upo

Tolea Maoni...

Ray C azaliwa upya kwenye tasnia ya muziki

Ray C

Baada ya kutumbuiza kwa mafanikio katika hafla moja ya kiserikali jijini Dodoma hivi majuzi,

Tolea Maoni...

Chris Brown atoa masharti ya kufanya kolabo

Chris Brown

Msanii wa muziki wa Rnb kutoka Marekani, Chris Brown amefunguka kuhusu makubaliano ambayo lazima

Tolea Maoni...

Mafuriko yaleta maafa Mpwapwa

Watu wanne wakiwamo watatu wa familia moja, wamefariki dunia baada ya nyumba zao kusombwa na

Tolea Maoni...

Pharrell Williams na mkewe wajaliwa pacha watatu

Pharrell Williams

Mwanamuziki shupavu na produsa wa kishua aliyehiti mwaka juzi na kibao ‘Happy’ Pharrell Williams

Tolea Maoni...

Size 8 amtajia Akothee faida za kuokoka

Akothee

Mwanamuziki wa injili Size 8, katika ile hali ya kumtia moyo msanii mwenzake Akothee atilie mkazo

Tolea Maoni...

Vanessa alalama habibi wake mbwete kujibu simu

Vanessa Mdee aka ‘Cash Madam’ na mpenzi wake Jux, wamedai kuwa simu inachangia asilimia kubwa ya

Tolea Maoni...

Rihanna, Azelia watofautiana kuhusu sera za Trump

Donald Trump

Tofauti baina ya wanamuziki Rihanna na Azelia Banks kuhusu hatua ya rais wa Marekani, Donald

Tolea Maoni...

Antonio Banderas alazwa hospitalini

Mwigizaji Antonio Banderas anaendelea kupata nafuu siku kadha baada ya kulazwa hospitalini akiwa

Tolea Maoni...

Western Sahara kuwa huru baada ya Morocco kuingia AU

Eneo la Western Sahara linatazamia kuwa huru huku likizidi kuzungumza na taifa la Morocco.

Tolea Maoni...

Akamatwa kwa kutumia nyororo za mbwa kufunga wanawake

Mwanamume mmoja Nigeria kwa jina Mike Eze-Nwalie Nwogu aliwakasirisha wananchi baada ya picha

Tolea Maoni...

Kenya yaisukumia Amerika walanguzi sugu wa Heroine

Wana wa Akasha

Serikali imewahamishia wanawe mlanguzi wa dawa za kulevya marehemu Ibrahim Akasha

Tolea Maoni...

Agizo la Trump kutimua Waislamu lawafurahisha ISIS

Agizo la Donald Trump ya kuwapiga marufuku wahamiaji kutoka mataifa yaliyo na Waislamu wengi

Tolea Maoni...

Trump awafokea wakosoaji wa Democrat, ataka thibitisho la seneti

Donald Trump

Siku mmoja baada ya Rais Donald Trump kumfuta kazi mwanasheria mkuu kwa kukataa kutetea agizo

Tolea Maoni...

Yamkini Kanye West atakosa kuhudhuria Grammy’s 2017

Kanye West

Huenda rapa Kanye West, Drake na mwanamuziki Justin Bieber wasihudhurie tuzo za mwaka 2017 za

Tolea Maoni...

Wachimbaji waliokuwa wamefukiwa watoka hospitali, warejea migodini

Ezekiel Kyunga

Wachimbaji 15 wa madini waliookolewa kwenye mgodi wa RZ baada ya kufukiwa kwa siku nne wametoka

Tolea Maoni...

Simulizi kwa waliokaa chini ya mgodi siku tano

Aniceti Masanja

“Uji, biskuti na maji waliotushushia jana ndivyo vilivyoturudushia uhai wetu.”

Tolea Maoni...

Mwananchi gazeti bora kwa mwaka 2016

Bakari Machumu

Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imeng’ara baada ya gazeti lake la Mwananchi

Tolea Maoni...

AU njia panda kuafikia ruwaza ya 2063

Moussa Faki Mahamat

Mwenyekiti mpya wa Kamati kuu ya muungano wa Afrika Bw Moussa Mahamat sasa ndiye anatazamiwa

Tolea Maoni...

Amina Mohamed aambulia patupu AU

Amina Mohammed

Waziri wa masuala ya kigeni Bi Amina Mohamed Jumatatu amefeli kutwaa uenyekiti wa tume ya

Tolea Maoni...

Mbwa 45 wa kijeshi wauawa sababu ya uzee

LONDON, UINGEREZA MBWA zaidi ya 45 wa kijeshi wameuawa bila sababu tangu 2013 na serikali, kwa

Tolea Maoni...

Ulevi chakari mijini huku 'Njaanuari' ikitamatika

DEVON, UINGEREZA POLISI walikabiliwa na wakati mgumu kutuliza walevi waliojitokeza mijini kukata

Tolea Maoni...

Basi linalojiendesha lenyewe lazinduliwa

PARIS, UFARANSA BASI linalojiendesha lenyewe bila dereva linafanyiwa majaribio kubadili hali ya

Tolea Maoni...

Wanawake wanne walia kunyimwa kazi, kisa unene

Wanawake wanne wamekilalamikia kiwanda cha nguo kinachomilikiwa na raia wa Uchina cha Tooku

Tolea Maoni...

Tiba nyingine ya kihistoria ya Taasisi ya Moyo, Muhimbili

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji wa moyo bila

Tolea Maoni...

Mbilia Bel kutia 'fullstop' kwa muziki

Mbilia Bel

Mwimbaji wa Lingala na Kifaransa, Mbilia Bel kutoka Kinshasa, Congo aliyetamba humu nchini miaka

Tolea Maoni...

Ashley Judd aghasika Donald Trump kuapishwa Rais

Mwigizaji Ashley Judd ameongeza sauti yake katika orodhaya watu maarufu ambao bado

Tolea Maoni...

Maandalizi ya makala ya 88 tuzo za Oscars yaendelea

Huku tuzo za filamu za Oscars zikitarajiwa kufanyika Februari 15, maandalizi ya makala ya 88 ya

Tolea Maoni...

Betri za simu zaundiwa 'zimamoto'

Betri aina ya Lithium-ion

Sasa watafiti wanawazia kuanza kuziwekea betri za simu za kisasa ‘zimamoto’ ili kupunguza

Tolea Maoni...

Yadaiwa Nicole Kidman kafanyiwa upasuaji wa kimapambo

Nicole Kidman

Uvumi unaendelea kuenea kuwa huenda mwigizaji wa Australia Nicole Kidman alifanyiwa upasuaji wa

Tolea Maoni...

Djibouti kumuunga mkono Amina uenyekiti AU

Waziri wa Mashauri ya Kigeni Amina Mohamed

TAIFA la Djibouti limetangaza kuwa linamuunga mkono Waziri wa Mashauri ya Kigeni Balozi Amina

Tolea Maoni...

NEW KCC: Matumaini tele kwa wafugaji 2017

Mfanyakazi wa New KCC

Ukulima wa maziwa umepigwa jeki baada ya serikali kukubali kulipa wanahisa wa KCC Sh500milioni

Tolea Maoni...

Mashindano ya miereka ya ngamia yavutia maelfu

ANKARA, UTURUKI MASHINDANO ya miereka ya ngamia yalivutia maelfu ya watu ambao walijitokeza

Tolea Maoni...

Kijibwa chanyakua kijiko jikoni na kukimeza

KITOTO cha mbwa kilinusurika kifo baada ya kumeza kijiko cha urefu wa zaidi ya sentimita 14,

Tolea Maoni...

Wapagawa baada ya kusoma ujumbe kwa WhatsApp

WhatsApp

VIDEO ya kutisha imesambazwa mitandaoni ikionyesha mabinti wawili wanaosemekana walipagawa na

Tolea Maoni...

Bikira wa miaka 40 ashindwa kupata taji

LAGOS, NIGERIA MWANAMKE mwenye umri wa miaka 40 alikuwa miongoni mwa washindani wa taji la

Tolea Maoni...

Mabadiliko: Wakenya wasikitika kuona Obama akistaafu

Rais Mstaafu Barack Obama

Tangu Rais wa Marekani Donald Trump aapishwe Ijumaa Wakenya wamedhihirisha hisia zao wakihuzunika

Tolea Maoni...

Kumbe Mark Zuckerberg kamwe hatumii Facebook!

HISIA tofauti zimetolewa baada ya kubainika kwamba mwanzilishi na mkuu wa mtandao wa kijamii wa

Tolea Maoni...

'Fisi' akamatwa kwa kushiriki ngono bila kuwaarifu polisi

MWANAMUME alikamatwa kwa kushiriki ngono na mwanamke bila idhini ya polisi.

Tolea Maoni...

Watu 30 wazikwa na theluji hotelini

FARINDOLA, ITALIA WATU wasiopungua 30 walifariki wakati hoteli walimokuwa ilipoangukiwa na

Tolea Maoni...

TI amweleza Trump namna ya kuwakosha weusi

Clifford "T.I." Harris

Yaonekana kana kwamba rapa TI amelegeza msimamo wake dhidi ya Rais mteule nchini Marekani, Donald

Tolea Maoni...

Agizo la JPM lazibeba nchi sita za EAC: Ni lile la kubana matumizi

Rais John Magufuli akitoa hotuba

Agizo la kubana matumiizi lililotolewa na Mwenyekiti wa Wakuu wa nchi sita za Jumuiya ya Afrika

Tolea Maoni...

Familia zilizolitikisa Bunge nchini Tanzania

Inaweza kuonekana kuwa ni kitu cha ajabu kwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Abdallah

Tolea Maoni...

Familia yataka shangaziye Obama azikwe Kenya

Zeituni Onyango

Familia ya Rais wa Marekani Barack Obama, inataka shangazi yake Bi Zeituni Onyango aliyekuwa

Tolea Maoni...

Matumaini ya kupata ndege ya Malaysia iliyotoweka yaongezeka

Juhudi za kutafuta ndege ya Malaysia ya MH370 iliyotoweka mwezi mmoja uliopita zimezua matumaini

Tolea Maoni...

Netanyahu awaagiza mawaziri wake wasiwasiliane na wenzao Palestina

Benjamin Netanyahu

Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amewaagiza mawaziri wake wasitishe mawasiliano yoyote

Tolea Maoni...

Ndege isiyo rubani ya Amerika yaanguka Somalia

Al-Shabaab

Ndege ya kivita ya Marekani isiyokuwa na rubani ilianguka nchini Somalia, Jumanne na mabaki yake

Tolea Maoni...

Bensouda akemea viongozi AU kwa kutetea “wahalifu”

Fatou Bensouda

Kiongozi wa mashtaka wa mahakama ya ICC Fatou Bensouda, amewakashifu viongozi wa Umoja wa Afrika

Tolea Maoni...

Ronaldo kumpiku Eto’o kwa kulipwa donge nono

Cristiano Ronaldo

Klabu ya Real Madrid inapania kumfanya kiungo Cristiano Ronaldo, 28, kuwa mchezaji anayelipwa

Tolea Maoni...

Tangazo juu ya kupotea ndege lakosolewa vikali Malaysia

Jamaa za abiria wa ndege ya MH370 wamekosoa Shirika la Ndege la Malaysia linaloendelea kushtumiwa

Tolea Maoni...

19 wajeruhiwa baada ya majumba 3 kuporomoka

Zimamoto wakikabiliana na moto

Watu 19 walijeruhiwa Alhamisi wakati majumba matatu yalipoporomoka na kuwaka moto katika kile

Tolea Maoni...

Mugabe aanguka kwenye ngazi baada ya kurudi Zimbabwe

Robert Mugabe

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, 90, ameanguka akishuka kwa kutumia ngazi baada ya kuhutubia

Tolea Maoni...

Amerika yarefusha vikwazo dhidi ya Mugabe, washirika

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe

Licha ya Muungano wa Ulaya kuendelea kuimarisha uhusiano wake na Zimbabwe, Amerika imeamua

Tolea Maoni...

HABARI ZA HIVI PUNDE

Toa Maoni

 

 

Blogu

Toa Maoni