Kuwa mpole kaka, Rachier amwambia Mwendwa

KWA kweli fahari wawili hawakai zizi moja. Wataumizana bure. Ndivyo hali ilivyo kati ya  naibu

Tolea Maoni...

Hall kutumia mfumo wa 3-5-2 kuwaangusha wapinzani KPL

YULE kocha mzungu wa AFC Leopards, Stewart Hall kadri anavyozidi kukifua kikosi chake akisubiria

Tolea Maoni...

Tusker na Ulinzi kujisuka upya baada ya matokeo duni

BAADA ya raundi  ya kwanza ya mechi za madimba ya Barani, Tusker FC wanaoshiriki  klabu bingwa na

Tolea Maoni...

Harambee Stars U20 yatarajiwa nchini baada ya kichapo Senegal

Timu ya soka ya Kenya ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 ya wanaume inatarajiwa nchini

Tolea Maoni...

Sare ya Chelsea yafufua matumaini ya makocha wa 'Top 6'

Viongozi Chelsea wametupa uongozi na kupigwa breki na Burnley 1-1 katika mechi ya kusisimua ya

Tolea Maoni...

Lierse ya Timbe yafungua mwanya kileleni mwa jedwali

Lierse imefungua mwanya wa pointi nne juu ya jedwali la mashindano ya kuingia Ligi Kuu ya

Tolea Maoni...

Ni tabasamu tu kwa Kirui akilenga ushindi London Marathon

Bingwa mara mbili wa marathon katika Riadha za Dunia, Abel Kirui amefurahishwa na muda wake

Tolea Maoni...

Ethiopia yafufua ubabe kwenye Hong Kong Marathon

Ethiopia ilionyesha kivumbi mahasimu wao wa jadi Kenya katika mbio za Hong Kong Marathon mwaka

Tolea Maoni...

Kiplagat na Langat watwaa ushindi Barcelona Half Marathon

Wakenya Florence Kiplagat na Leonard Langat wameibuka washindi wa mbio za Barcelona Half Marathon

Tolea Maoni...

Arsenal yailambisha sakafu Hull City

Alexis Sanchez

Arsenal imedumisha rekodi yake ya kutoshindwa na Hull City hadi mechi 14 baada ya kuibwaga 2-0

Tolea Maoni...

Wenyeji wateswa na wageni raga

Wenyeji Strathmore Leos, Western Bulls, Blak Blad, Mean Machine na Nondies wameona cha mtema kuni

Tolea Maoni...

AFC Leopards na Posta Rangers nguvu sawa

Mabingwa mara 13 wa Ligi Kuu ya Kenya, AFC Leopards wametoka sare ya 1-1 na Posta Rangers katika

Tolea Maoni...

Tusker yatoka sare 1-1 na AS Port-Louis 2000

Humprey Mieno

Mabingwa wa Kenya, Tusker wametupa uongozi na kukabwa 1-1 na AS Port-Louis 2000 katika mechi ya

Tolea Maoni...

Kipkoech na Birgen wafanya vyema mbio za Copernicus Cup

Wakenya Nicholas Kiplangat Kipkoech na Bethwell Kiprotich Birgen walitikisa katika mbio za mita

Tolea Maoni...

Chozi la Urusi huenda likanufaisha Wakenya wawili

Wakenya Janeth Jepkosgei na Pamela Jelimo huenda wakatuzwa medali za fedha na shaba za Riadha za

Tolea Maoni...

Senegal yaichapa Kenya 2-0 mechi ya kirafiki

Senegal iliendeleza rekodi yake nzuri dhidi ya Kenya kwa kuipiga 2-0 katika mechi ya kirafiki ya

Tolea Maoni...

Rachier amtaka Mwendwa azingatie majadiliano

Huku vita kati ya Shirikisho la soka FKF na bodi inayoendesha ligi kuu nchini KPL vikiwa

Tolea Maoni...

Ulinzi Stars yapigwa 1-0 na wenyeji Al Hilal Benghazi

James Saruni

Ulinzi Stars imepigwa 1-0 na wenyeji wao Al Hilal Benghazi ya Libya uwanjani Cairo nchini Misri,

Tolea Maoni...

Mahakama: Ligi Kuu itang'oa nanga Februari 25

Ligi Kuu ya Soka ya Kenya mwaka 2017 itaanza Februari 25, Mahakama ya Kusikiza kesi za michezo

Tolea Maoni...

Strathmore Leos kujaribu mwujiza dhidi ya KCB

Strathmore Leos itajaribu kufanya miujiza ambayo klabu zingine 10 zimeshindwa kufanya katika Ligi

Tolea Maoni...

Makwatta kukosa mechi ya kufungua Confederations Cup

MVAMIZI matata wa Ulinzi Stars John Makwatta atakosa mechi ya mkondo wa kwanza ya CAF

Tolea Maoni...

Mataifa 102 kushiriki Ras Khaimah Half Marathon

Kivumbi kinatarajiwa Ijumaa katika mbio za Ras Khaimah Half Marathon, ambazo zimevutia mataifa

Tolea Maoni...

Alaves, FC Barcelona kukutana fainali Copa del Rey

Neymar da Silva Santos Junior

Alaves itakutana na Barcelona katika fainali ya Copa del Rey mnamo Mei 27.

Tolea Maoni...

Cameroon yaorodheshwa nambari 33 duniani

Cameroon

Mabingwa wapya wa Afrika, Cameroon ndiyo timu iliyomarika zaidi katika viwango vipya wa soka

Tolea Maoni...

Matip na wenzake watazama waliochezea Cameroon wakila nyama

Wachezaji wanane wa Cameroon waliokataa kujiunga na timu hiyo kwa shughuli nzito ya AFCON sasa

Tolea Maoni...

Rio Ferdinand: Kidonda kumpoteza mke hakijapona

Beki wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand ambaye kwa sasa ni mchanganuzi wa soka, kasema

Tolea Maoni...

FKF yaipiga marufuku KPL na viongozi wake wanne

Nick Mwendwa

Shirikisho la Soka Nchini (FKF) limepiga marufuku kampuni inayosimamia timu za Ligi Kuu (KPL)

Tolea Maoni...

IAAF yasitisha mchakato wa wanariadha kuhamia kwingineko

Sebastian Coe

Mataifa ya Uarabuni, Bahrain na mengine yapatikanayo katika bonde la Gulf, yamepigwa kumbo na

Tolea Maoni...

Cameroon kufungua kampeni Confederations dhidi ya Chile

Cameroon

Mabingwa wapya wa Afrika, Cameroon watafungua kampeni yao ya Soka ya FIFA Confederations Cup

Tolea Maoni...

Najivunia kuwa Mkenya, Origi asema baada ya kufunga bao Brazil

Divock Origi

Baada ya Divock Origi kusaidia Ubelgiji kufuzu kwa kundi H kwenye dimba la dunia kule Brazil,

Tolea Maoni...

Ronaldo akiri shida zinawazonga Wareno Kombe la Dunia

Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo amekiri hawawezi kufika popote katika Kombe la Dunia kwa sababu

Tolea Maoni...

MATUKIO 2014: Brazil ilivyodhalilishwa nyumbani katika Kombe la Dunia

Brazil yafeli

Kipute cha Kombe la Dunia kilishuhudia makala yake ya 20 yakiandaliwa katika nyuga mbalimbali

Tolea Maoni...

AC Milan yamsajili Torres kwa kandarasi ya kudumu

Fernando Torres

Siku chache kabla ya shughuli ya kusajili wachezaji kuanza katika Ligi Kuu za Uingereza,

Tolea Maoni...

Chelsea yaaibishwa na Sunderland Capital One

Jose Mourinho

Matumaini ya Chelsea kupigania angaa mataji manne msimu huu yaligonga mwamba usiku wa kuamkia leo

Tolea Maoni...

Amrouche atawazwa kocha bora wa Cecafa 2013

Harambee Stars Adel Amrouche

Kocha wa Harambee Stars, Adel Amrouche ametawazwa kocha bora wa mashindano ya 2013 GOtv CECAFA.

Tolea Maoni...

Mourinho adai wachezaji walimkaanga Real Madrid

Jose Mourinho

Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amewakashifu wachezaji wa timu yake ya zamani Real Madrid,

Tolea Maoni...

AFC yapunguza ada ya kiingilio mechi ya SuperSport

AFC Leopards Charles Okwembah

AFC Leopards imepunguza ada ya kiingilio katika mechi ya Jumapili dhidi ya SuperSport.

Tolea Maoni...

Hodgson amsifu Welbeck kwa kusaidia kubwaga Waswizi

Dany Welbeck

Kocha wa England, Roy Hodgson amemlimbikizia sifa straika mpya wa Arsenal, Danny Welbeck kwa kazi

Tolea Maoni...

Jelimo asema yuko tayari kutetea taji

Pamela Jelimo

Bingwa wa Olimpiki katika mbio za mita 800, Pamela Jelimo 'ameiva’ na sasa yuko tayari kutetea

Tolea Maoni...