http://www.swahilihub.com/image/view/-/3785954/medRes/1483762/-/k309cm/-/dasa.jpg

 

Marekani, Mexico, na Canada kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia 2026

Donald Trump

Rais wa Marekani Donald Trump. Picha/AFP 

Na MASHIRIKA

Imepakiwa - Wednesday, June 13  2018 at  15:11

Kwa Muhtasari

Marekani, Mexico, na Canada kwa pamoja kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia Mwaka 2026; Rais Donald Trump kwenye ukurasa wake wa Twitter ameonyesha furaha yake akisema ni kutokana na bidii.

 

MAREKANI Mexico, na Canada kwa pamoja kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia Mwaka 2026; Rais Donald Trump kwenye ukurasa wake wa Twitter ameonyesha furaha yake akisema ni kutokana na bidii.

Zimeibwaga Morocco.