http://www.swahilihub.com/image/view/-/4659356/medRes/2042223/-/11cx3p2z/-/maombi.png

 

Wafanya maombi maalumu katikati ya barabara kuzuia ajali

Waumini wa Kanisa la The Pool Of Siloam Jijini Mbeya wakifanya maombi maalum katika Barabara kuu ya Tanzania - Zambia eneo la Mteremko Iwambi – Mbalizi jana, kwa ajili ya kuepusha matukio ya ajali ambazo zimekuwa zikitokea na kusababisha vifo na kujeruhi watu katika barabara hiyo mkoani Mbeya. Picha na Godfrey Kahngo 

Na Godfrey Kahango na Ipyana Samson

Imepakiwa - Thursday, July 12  2018 at  14:05

Kwa Muhtasari

Waliwakilisha maeneo yote ambayo ajali hutokea mara kwa mara