Wakili anayetaka kumuoa Malia Obama ajitokeza

.
29/5/2015

Wakili Felix Kiprono Matagei, 24, ambaye habari zake za kutaka kumuoa bintiye Rais wa Marekani Barack Obama, Malia, zimezagaa kote duniani amejitokeza na kusema amejitolea kutimiza ndoto hiyo. Anapanga kulipa ng’ombe 50, kondoo 70 na mbuzi 30.