http://www.swahilihub.com/image/view/-/2763636/thumbnail/1044779/-/11flg2v/-/lymo.jpg

 

Lymo alivyoandika kitabu kimnasue ulevini

Na PAULINE ONGAJI

Imepakiwa - Wednesday, June 24  2015 at  13:53

Kwa Muhtasari

Lymo alivyoandika kitabu kimnasue ulevini

 

Wasemao mui huwa mwema katu hawakosei kwani Chris Lymo ameweza kujinasua kutoka kwa utumwa wa pombe baada ya kujiwekea mwongozo kwenye kitabu My Side of the Street kinachoeleza madhila aliyopitia akiwa mlevi. Video/PAULINE ONGAJI