Kaladze aelezea anavyodumisha utamaduni kwa Kigiriama

Imepakiwa - Wednesday, June 24  2015 at  14:10

Kwa Muhtasari

Mtaalamu wa Biashara Wilson Karisa, maarufu kama Vidze Kaladze Vidze anaendeleza na kutukuza utamaduni kupitia nyimbo anazoimba kwa lugha yake asili ya Kigiriama. Video/PAULINE ONGAJI

 

Kaladze atumia Kigiriama kudumisha utamaduni