Nafsi Huru hajajifunga, afanya usanii wowote ule

Imepakiwa - Wednesday, June 24  2015 at  14:21

Kwa Muhtasari

Nafsi Huru hajajifunga, afanya usanii wowote ule

 

Anajiita Nafsi Huru kutokana na sababu kuwa hajazuiwa na mipaka ya kujihusisha na usanii wa aina yoyote kwani mbali na kuwa muimbaji yeye pia ni mwandishi wa nyimbo na hata mtunzi wa mashairi. Video/PAULINE ONGAJI