Short Cart akuambia bidii na stahamala ndio mkondo wa maisha

Imepakiwa - Thursday, June 25  2015 at  17:54

Kwa Muhtasari

Short Cart akuambia bidii na stahamala ndio mkondo

 

Mtaalamu wa masuala ya kifedha Dennis Njoroge, maarufu kama "Short Cart", amejikita katika tasnia ya muziki, lengo lake kuu likiwa ni kutoa nasaha ya namna ya kuyafanya maisha kuwa mepesi kwa njia ya bidii na stahamala. Video/PAULINE ONGAJI