Arati ataka Ruto kumkoma Raila

Imepakiwa - Saturday, June 27  2015 at  09:37

Kwa Muhtasari

Arati ataka Ruto kumkoma Raila

 

Mbunge Simba Arati (Dagoretti Kaskazini - ODM) ahutubia wanahabari nje ya majengo ya Bunge ambapo anamtaka Naibu Rais William Ruto kukoma kuliingiza jina la Raila katika tuhuma zinazomkabili za sehemu ya ardhi ya Hoteli ya Weston. Arati ataka Rais Uhuru Kenyatta kumuuliza Naibu wake William Ruto kujiuzulu kutokana na sakata hiyo kama kweli amejitolea kupambana na ufisadi. Video/CHARLES WASONGA