Imepakiwa - Sunday, July 5  2015 at  12:49

Kwa Muhtasari

Inatia moyo kuona mtoto mdogo, Ivy Gakii Mutuma ambaye tayari ameng'amua kuwa Maulana amejaalia kipawa cha uimbaji na bila kusita yu mbioni kukiendeleza. Video/CHARLES WASONGA

 

Mtoto gwiji wa nyimbo za injili