http://www.swahilihub.com/image/view/-/4849560/medRes/2168785/-/q5tli4/-/sokrato.jpg

 

Wasomi mbalimbali ambao wamechangia dhana ya Falsafa

Socrates

Socrates alikuwa ni mwanafalsafa wa Ugiriki. Picha/HISANI 

Na MARY WANGARI

Imepakiwa - Tuesday, November 13  2018 at  11:56

Kwa Muhtasari

Falsafa inatokana na maneno mawili ya Kigiriki ambayo ni 'Philo' lenye maana kupenda na 'Sophia' lenye maana hekima.

 

KUNA wasomi mbalimbali kutoka pande zote za ulimwengu ambao wamechangia katika nadharia ya falsafa.

Wanafalsafa hao tajika ambao wanasomwa kartika taaluma mbalimbali katika vyuo vikuu wanaweza kugawanywa katika vitengo vifuatavyo:

Wanafalsafa wa Ugiriki ya Kale

i. Socrates

ii. Aristotle

iii. Plato

iv. Pythagoras

v. Epikur

vi. Galenos

Wanafalsafa wa Mapokeo ya Magharibi

i. John Locke

ii. David Hume

iii. Rene Descartes

iv. Thomas Hobbes

v. Thomas Aquinas

vi. Severini Boesyo

vii. Agostino wa Hppo

viii. Niccolo Machiavelli

ix. Gottfried Wilhelm Leibiz

x. George Berkeley

xi. Baruch Spinoza

xii. Immanuel Kant

xiii. Auguste Comte

xiv. George Wilhelm Frederich Hegel

xv. Jean-Jacques Rousseau

xvi. Arthur Schopenhauer 

xvii. Mary Wollstonecraft

xviii. Friedrich Engels

xix. John Stuart Mill

xx. Soren Kierkegaard

xxi. Karl Marx

xxii. Friedrich Nietzsche

xxiii. Jacques Maritain

Wanafalsafa wa Kisasa kutoka Ulaya na Marekani

i. Rudy Garns

ii. Noam Chomsky

iii. Eugene T. Gendin

iv. Ayn Rand

v. Ludwig Wittgensten

vi. Bertand Russell

vii. Simone de Beauvoir

viii. Karl Popper

ix. Willard Van Orman Quine

Wanafalsafa wa Afrika

i. Plotinus

ii. Zera Yakobu

Wanafalsafa wa Asia

i. Konfutse (Confucius)

ii. Al-Ghazali

iii. Lao Tze

iv. Acharya Maddhwa (Madhavacharya)

v. Siddhtarta Gautama (Buddha)

vi. Ibn Sina (Avicenna)

Historia ya Falsafa

Huku tukichambua mada hii ni vyema kufahamu kwamba dhana ya falsafa hutoshelezwa na matawi yake kwa namna mbalimbali.

Vilevile wataalamu wameelezea Falsafa kwa namna mbalimbali ambazo kwa namna moja au nyingine zinatosheleza matawi yake.

Neno Falsafa au ukipenda filosofia Kiontomolojia limetokana na maneno mawili ya Kigiriki kama yafuatayo

Philo - lenye maana Kupenda

Sophia - lenye maana Hekima.

Dhana falsafa imefasiliwa kwa namna mbalimbali na wataalamu anuwai jinsi ifuatavyo:

Sadipo (1973) anasema Falsafa ni mawazo, fikra na udadisi kuhusu dhana na kanuni zinazotusaidia kuongeza uzoefu kuhusu maadili, dini, maisha ya kisiasa, sheria, saikolojia, historia na sayansi za jamii.

 

Marejeo

Bowker, John (1999). [[[:Kigezo:Google books]] The Oxford Dictionary of World Religions]. Oxford University Press, Incorporated.

Copenhaver (24 September 1992). [[[:Kigezo:Google books]] Renaissance philosophy]. Oxford University Press.

Nehemas, A. (1985). Life as Literature. Havard University Press.

Sadipo. (1973). Woman and African Society. France: Strabourg.